furaha

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

    Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
  2. JamiiForums Tanzania Rushwa, umasikini, gharama za maisha na kutoshirikishwa ni kati ya vitu vinafanya Watanzania kutokuwa na Furaha

    Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
  3. JamiiForums Tanzania Utawezaje kuishi Kwa Furaha?

    UTAWEZAJE KUISHI KWA FURAHA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nashukuru nilijifunza kuishi na Furaha tangu nikiwa mdogo. Popote utakapokutana na Taikon utamuona ni mwenye furaha, Kwa sababu Furaha inaishi ndani yangu. Furaha huishi kwa Washindi. Ndugu yangu sisemi haya kama motivation...
  4. JamiiForums Tanzania Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

    Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili. Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi kwa furaha Afrika(Tanzania) kubali kuwa mjinga

    Kuna mdau mmoja katika moja ya nyuzi zangu ali comment hivi "Ukitaka kuishi kwa furaha Afrika kubali kuwa mjinga". Yule member alikuwa sahihi kabisa ukitaka kuishi kwa furaha Afrika mfano Tanzania kubali kuwa mjinga. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha Afrika hasa kusini mwa...
  6. JamiiForums Tanzania Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
  7. JamiiForums Tanzania Malasusa awa askofu mkuu KKKT, lakini walutheri wengi hawana furaha na amani, nini shida?

    Nimefuatilia mwitikio wa waumini wa kanisa la Lutheran hapa Tanzania (KKKT) baada ya Askofu Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa askofu mkuu wa kanisa hilo hapa Tanzania. Hali imekuwa tofauti kidogo, kwa waumini kadhaa ambao nimefanikiwa kuwasikiliza ni kama vile hawajafurahia hilo au wamechukizwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Ngao ya jamii na furaha bandia

    Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu nyingine? Tunajua kuwa tumeupata huu Ushindi kwa kelele nyingi juu ya waamuzi kutoka ndani na nje ya uwanja...
  9. JamiiForums Tanzania Wameshinda kesi lakini hawana furaha

    Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu. Kuna raha fulani unapofanya ubakaji. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi. Inatisha sana sana. Na m'bakaji pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Raia wa Malawi aliyetibiwa Magonjwa ya Moyo, asimulia JKCI ilivyorejesha furaha yake

    Jane Chimuyaka, raia wa Nchini Malawi aliyekuwa akisumbuliwa na Magonjwa ya Moyo ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kuanzisha matibabu ya moyo nchini kusaidia wagonjwa wa moyo waliopo Tanzania na nchi za jirani. Jane aligundulika kuwa na matatizo ya moyo kupitia kambi maalum ya...
  11. JamiiForums Tanzania Furaha ya maskini ni kusikia tajiri kapata matatizo na si kuona umaskini unaondoka katika maisha yake.

    Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya. Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu. Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimwambia ni mzuri na ukampa furaha anakuwa Mzuri

    MWANAMKE UKIMWAMBIA NI MZURI NA UKAMPA FURAHA ANAKUWA MZURI. Anaandika, Robert Heriel Mastermind. Ukitaka Mkeo au Mpenzi wako anone, awe pisikali iliyonyooka mpaka Sisi wanaume wengine tumtolee udenda, Kwa maana hiyo ndio Raha ya kuwa na MKE. Sio unakuwa na MKE amekondeana, umemchosha...
  14. JamiiForums Tanzania Simba ni timu isiyo na furaha, ona hapa!

    Hali yao ni ngumu sana, hebu watizame usoni utagundua hili
  15. JamiiForums Tanzania Wanasimba Acheni Kulazimisha furaha!

    Imekua kawaida sasa kuona mashabiki wa simba wakifanyiwa mizaha na viongozi wao kwa kuendesha propaganda ambazo ni wazi nyuma yake kuna viongozi wao. Nasema hivi kwa sababu kwanini wanaozusha hizi propaganda ni vyomba vya habari especially online tvs na baadhi ya wachambuzi wa mpira? Niwaamshe...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kupunguza/ kujiondolea stress haraka ili upate amani na furaha

    Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia. Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia. Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu. Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  18. JamiiForums Tanzania Furahia maisha na Marafiki (video)

    Watanzania hufurahi pamoja katika nyakati zote
  19. JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…