Ntatfuta kazi ya 'Saidia fundi' nipo Dar es Salaam

Swizbe

Member
Jun 2, 2021
10
7
Habari Wana jf, mm ni kijana jinsia Me naishi DSM natafuta mafundi wa kunishika mkono kwnye tenda mbalimbali za ujenzi.

Naweza safirI mahali popote jijini Dar es Salaam pia nshafanya kazi mbali mbali za usaidiz katika kampuni mbalimbali ikiwemo ujenzi wa terminal three(3) ya mwalim Julius kambarage nyerere nikiwa kama kibarua, na usafishaji mazingira ikiwemo ukataji miti na ufagiaji maeneo makubwa.

Kwa mawasiliano zaid napatikana kwa namba 0629868082 shukran
 
Back
Top Bottom