fundi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

    Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24. Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

    Habari! Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wako katika sekta fulani. Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea. Mifano ni mingi njtakuja kuwaletea. Usimwamini fundi!
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
  4. Epateletech

    JamiiForums Tanzania Fundi simu anapatikana

    Hiyo link ni Display na bei zake Hiyo bei ni pamoja na ufundi Share link Epateletech epate ==== SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge TECNO ✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa fundi nguo, yaani mshonaji nguo

    Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33 Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya. Ashone nguo za kiume na kike kama hajui zingne awe tayari kujifunza. Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu yaani miaka mingi Awe tayari...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya contemporary inavuja na ukuta unaoza

    Tahadhari ni muhimu na watu tuliwaambia,nyumba za hidden roof sio za kupunguza gharama. Ona sasa fundi Maiko kamliza mtu,nyumba inavuja na ukuta unaoza,anaanza upya kufumua. Hakuna kitu rahisi,cheki hapa👇
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  8. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Habari nyingi wakuu.. Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi. Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

    That's real
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
  11. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Fundi welding na mziba pancha wanahtajika.

    Habari ndugu zangu nimefungua kijiwe cha welding na compressor kwa ajili ya kuunga vyuma na kuziba pancha za magari yote , Hivyo wanahtajika vijana wawili kwa ajili ya kazi hizi alie tayari ani pm Location ushrombo karibu na sheli ya moil.
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

    Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rally Bwalya ana undugu na Ramirez yule fundi aliyewahi chezea Chelsea

    Unamkumbuka yule box to box mildfielder Ramirez kijana toka Brazil,aliyekioiga Chelsea miaka ya nyuma,ni tumbo moja na kiungo fundi wa simba Bwalya.
  14. dist111

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa biodigester (Mashimo ya Choo)

    Hello wadau, Nahitaji fundi wa mashimo ya choo kwa sehem zenye maji maji sana. Nadhani wanayaita biodegester. Kama kuna fundi yupo Arusha naomba anipm. Itapendeza akintumia sample picha ya kazi alizowaho fanya (Ikiwa zaidi ya moja itapendeza). Thanks
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika

    Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh. 100,000/=. Nahitaji flat bar iliyoshiba. Ni vizuri pia ukinionyesha 'sample' za kazi ulizofanya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa wastani wa gharama za upauaji kwa fundi

    Naomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Anayeishi "condemned cell" anaweza kuishi salama na aliye uraiani akatwaliwa. Mungu huyu ni fundi!

    Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka kigungoni milele. Lakini aishivyo Mwenyenzi Mungu alimweka huyu Condem pia anaweza akatwaliwa katika...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Siku nzima umeshinda site kama saidia fundi, kwanini usijipongeze jioni

  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

    Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo. Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
Back
Top Bottom