fundi

  1. JamiiForums Tanzania Rally Bwalya ana undugu na Ramirez yule fundi aliyewahi chezea Chelsea

    Unamkumbuka yule box to box mildfielder Ramirez kijana toka Brazil,aliyekioiga Chelsea miaka ya nyuma,ni tumbo moja na kiungo fundi wa simba Bwalya.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa biodigester (Mashimo ya Choo)

    Hello wadau, Nahitaji fundi wa mashimo ya choo kwa sehem zenye maji maji sana. Nadhani wanayaita biodegester. Kama kuna fundi yupo Arusha naomba anipm. Itapendeza akintumia sample picha ya kazi alizowaho fanya (Ikiwa zaidi ya moja itapendeza). Thanks
  3. JamiiForums Tanzania Fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika

    Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh. 100,000/=. Nahitaji flat bar iliyoshiba. Ni vizuri pia ukinionyesha 'sample' za kazi ulizofanya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa wastani wa gharama za upauaji kwa fundi

    Naomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Anayeishi "condemned cell" anaweza kuishi salama na aliye uraiani akatwaliwa. Mungu huyu ni fundi!

    Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka kigungoni milele. Lakini aishivyo Mwenyenzi Mungu alimweka huyu Condem pia anaweza akatwaliwa katika...
  6. JamiiForums Tanzania Siku nzima umeshinda site kama saidia fundi, kwanini usijipongeze jioni

  7. JamiiForums Tanzania Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

    Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo. Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa magari na diagnosis

    Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa naomba mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote aniunganishe 0629177983
  10. I

    JamiiForums Tanzania Usimtendee visa asiye kufanyia visa

    Hapa mtaani kwetu jirani yetu ni fundi wa magari. Ana garage yake mtaani na watu wanamwamni ni fundi mzuri sana. Ameoa msichana wa mijini peace kali, wale wa dada wa human hair na lace wigi. Wanaishi kwenye chumba na sebule na mrs hana ajira huwa tunashinda nae mtaani. Juzi kati walikua na...
  11. JamiiForums Tanzania Kama fundi anakosa kazi mkoani mshauri aje Dodoma

    Kuna fursa nyingi Sana za kazi dodoma kwa mafundi Kuna uhaba wa mafundi kila Kona ujenzi unaendelea hivyo Ni wazi kuwa fundi akiwa serious hakosi kazi. Unakuta fundi analalamika kuwa kazi siku hizi zimekuwa ngumu kumbe ye alichokosea Ni kwamba hayupo mahali sahihi.kwa ujenzi kwa kweli dodoma...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji Fundi Mzuri wa Mitambo

    Habari Wakuu, Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic based machines hasa upande wa Transmission na Engine kwa Grader, Excavator, Compactor n.k πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Fundi wa kupaua nyumba Arusha Mjini

    Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800. Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake. Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70. Wa pili amesema mbao...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Habarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis,gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010 Tatizo: 1.Inakosa nguvu 2.Inatoa mngurumo tofauti na kawaida 3. Misfire...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Vifaa vya umeme

    Kwa matatizo yote ya TV, ( iwe imezima ghafla, imeungua taa, kioo haikionyeshi, picha ina vibrate, inaonyesha nusu n. K) karibu, tukudumie kwa gharama nafuu, kwa wakazi wa dar popote tunakufikia, pia tunatengeneza, subwoofer, radio, home theater na vifaa vingine vya umeme. Call/sms/whatsapp...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa ngazi ya spiral

    Natafuta fundi mzuri wa ngazi ya spiral ya chuma. Nipo Dar. Nitumie sample ya kazi yako kama unayo kupitia msirisana@yahoo.com. Waweza weka pia kazi zako hapa pia, gharama na contact info.
  17. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ntatfuta kazi ya 'Saidia fundi' nipo Dar es Salaam

    Habari Wana jf, mm ni kijana jinsia Me naishi DSM natafuta mafundi wa kunishika mkono kwnye tenda mbalimbali za ujenzi. Naweza safirI mahali popote jijini Dar es Salaam pia nshafanya kazi mbali mbali za usaidiz katika kampuni mbalimbali ikiwemo ujenzi wa terminal three(3) ya mwalim Julius...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa magari natafuta ajira. Nimehitimu Veta, nina uzoefu wa kazi kutoka Gereji mbalimbali

    Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali. natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097 Email: sylivesterstephano66@gmail.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…