fundi

  1. maishakujipanga

    JamiiForums Tanzania Pendezesha nyumba yako na Fundi Tiles Dodoma

    Je unatafuta Fundi tiles (Fundi Vigae) (Fundi ceramics)? Kwa design nzuri na ubora wa nymba yako, tonaoatikana Dodoma. Tuna uzoefu wa miaka zaidi ya kumi Tunakufanyia free consultation na gharama za kazi yote pamoja na vipimo Piga Namba 0757915043
  2. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi hii Solidarity Fund ya Ndugu yetu Mwigulu!

    Wakati bado waziri wetu wa fedha anaendelea kutapa tapa kwa vigugumizi akielezea mambo ambayo naamini hata yeye mwenyewe moyoni mwake anajua anatekeleza wajibu tu na si ukweli, tunaambiwa ni namna ya watu wengi, wananchi washiriki kwenye kuchangia SOLIDARITY FUND! - hebu nisaidieni ufafanuzi wa...
  3. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Fundi body mzuri Gongo la Mboto

    Wadau naomba kama kuna mtu anajua fundi/garage nzuri ya kuripea body ya gari, maeneo ya gmboto, mwisho wa lami, Pugu kona na Chanika road, asiwe mwizi wa masega na bei za tamaa.
  4. yousaw

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kujengewa Tiles, Tarazo, Mable, Tanga stone, Mosaic na Palving Stone njoo hapa

    Habari wakuu, kwa mwenye mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, mosaic, mable, tangastone na palving stones kwa mitindo wa kisasa na gharama rafiki na hata kwa malipo ya awamu kama huna cash, wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo; - 0782369491 na -0654121218 na wasap kwa picha zaidi. au barua...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme (Samico Tanzania) aomba pambano na Mandonga, ashusha bei za ufundi kwa wateja wa Jamii Forums tu

    Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA. OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)! Ofa hii...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  7. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Furssa ya ajira fundi pikipiki

    Abraar Education Centre tunahitaji fundi pikipiki mzoefu ambae ana uwezo wa kutatua matatizo yote ya kiufundi kwa pikipiki zilizozoeleka Tanzania. Tunaanzisha kituo kipya cha mafunzo ya ufundi pikipiki kwa vitendo. Fundi awe na uzoefu wa kutosha kufanya kazi zake bila kusimamiwa. Kutatolewa...
  8. Introver

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa bei kwa fundi welding

    Habali wana jamvi. Husika na kichwa cha habari hapo juu Naomba kujua bei za madirisha ya chuma mageti na vitanda kulingana na vipimo vyake. Asante
  9. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Fundi Maiko Tukutane hapa!!

    Dah! Aisee Acheni jamani Yanatukuta mengi Hamjui tu,Utundu wa kujifanya Fundi umeme kila switch nyumbani naweka mwenyewe kuna siku Nikavamia ile Inaitwa Junction Box kwa Jirani...Acheni Jamani Kumbe Tangu siku Ile Sishangai kuona samaki Anazama Baharini.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Fundi tunataka nguo zetu za Idd

    Leo ndo Idd, hutuambii kitu.
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Fundi urembo wa nguzo anahitajika kwa bei nafuu

    Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50. Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wenzetu Uganda wana Fundi Michelle (haki sawa kwa wote)

  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ramani ya fundi Maiko, inachorwa bila proportions lakini nyumba inasimama

  14. Mr kenice

    JamiiForums Tanzania Gharama za vitu sasa ipo juu lakini Fundi ujenzi bei yake iko palepale

    Habarini waja JF, Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk Lakini fundi bei yake palepale, tell me why. Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na...
  15. Mwendece

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo Morogoro Mjini anahitajika

    Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi. mwenye uhitaji huo nicheki...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

    Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24. Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

    Habari! Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wako katika sekta fulani. Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea. Mifano ni mingi njtakuja kuwaletea. Usimwamini fundi!
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
  19. Epateletech

    JamiiForums Tanzania Fundi simu anapatikana

    Hiyo link ni Display na bei zake Hiyo bei ni pamoja na ufundi Share link Epateletech epate ==== SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge TECNO ✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa fundi nguo, yaani mshonaji nguo

    Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33 Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya. Ashone nguo za kiume na kike kama hajui zingne awe tayari kujifunza. Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu yaani miaka mingi Awe tayari...
Back
Top Bottom