forums

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. Elisha Sarikiel

    Hodi katika jukwaa lililo bora la JamiiForums

    BWANA ASIFIWE ............. ! Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu. Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa ! Mimi nina mke mmoja mpaka kifo, na nina watoto wa kiume na kike katika familia niliyojaliwa, na Mungu aliyemwumba...
  2. Samedi Amba

    Forums za chuo na wanachuo

    Habari wanajamvi, Natumaini tuko salama. Bila kupoteza muda naomba kujua kama kuna mkeka (forum) ya wanavyuo, ambako wanashare fursa nk. Kama kuna anayefahamu, tuonane inbox.
  3. T

    Msaada wenu waungwana wa Jamii Forums

    Heshima yenu wakuu: Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es salaam na katika harakati za kielemu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita. Pia kupitia marafiki nimefanikiwa kuwa na ujuzi wa kutumia Computer na applications zake mbalimbali ikiwemo namna ya ku install hizo apps na kuzitumia na kwa...
  4. okiwira

    Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  5. Lord denning

    Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

    Amani iwe nanyi wadau! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
  6. Firmino bobby

    Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

    Muda mrefu nimekua msomaji tu wa mada zenu nikifuatilia karibu kila post inayowekwa katika mtandao huu, nina circle ndogo sana ya marafiki na watu ninao fahamiana nao kwa muda mrefu sasa hali inayo ni fanya muda mwingi ninao upata niwe nautumia kuwasomeni enyi wakuu wangu, ninavyo vingi vya...
  7. B

    Utafiti: Mada za Corona viz a vis mada nyingine kwenye forums mbalimbali

    Kwa muda sasa tangia ugonjwa wa Corona umeingia miye kama mdau katika maisha ya kawaida nimekuwa nikifuatilia mwelekeo wa ugonjwa na wa mada katika forums mbali mbali. Kote mada trending zimeendelea (kama si zote) kuwa ni za kuhusiana na Corona. Nadhani ni kwa sababu kama hizo ndiyo maana hata...
  8. YEHODAYA

    Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

    Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
  9. J

    Pascal Mayalla: JamiiForums ndio mtandao bora kwenye utoaji elimu japokuwa wengine waliomba corona ije kupitia hukohuko

    Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini. Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
  10. YEHODAYA

    Yehodaya nawaageni jamii forums nitakuwa masomoni tutaonana Sept.2020

    Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020. Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea I will miss you all
  11. Kibuje

    Top 10 threads zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums

    Habari ya leo wanaJF, JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii...
Back
Top Bottom