forums

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
  3. Cybercurex

    JamiiForums Tanzania Jamii forums app clone + modification kwa kutumia flutter

    Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo wa Flutter kwenye mobile app development, na pia kujaribu kuibua ideas mpya kwa ajili ya apps...
  4. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Idea ya Bodaboda Forums - Njoo Tuzungumze

    Habari wanadau, Naandika kwa tumaini kubwa kuwa wote tunaendelea vizuri. Ni mchana na kuna kajoto hapa Morogoro. Nashukuru Mola kwa nafasi nyingine ya kupigana. Tuendelee kupambana, kwani iko siku. Mwezi Mei mwaka 2018, nilikaribishwa na mwandishi mmoja maarufu ambaye alikuwa ameombwa na...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Taratibu kwa wale walio wagen huku Jamii forums

    Naombeni mnipe utaratibu huku. Ni mgeni tokea Twitter X. Nmezoea spana za kule huku vip.
  6. The Librarian

    JamiiForums Tanzania The Need for JamiiForums Mobile Apps Feedback & Discussion Forums

    Guys kwema! Sorry, I'm looking for a forum special for discussing bugs and giving suggestions on the jamii forums app. Thanks.
  7. Hharyson

    JamiiForums Tanzania ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 (PICHANI NI 3BEDROOMS SIMPLE HOUSE ON 25X13M PLOT)

    ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️ Naahidi kuendelea kutoa huduma...
  8. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Ni dada wa miaka 45 Nimepanga Sijaolewa Ni mfanyabiashara ndogondogo Niko jijini Dar Es Salaam Nitashukuru sana.
  9. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Jamii Forums . Nyumbani,. kudos To Maxcence,Mike Mushi na Team Nzima ya Staff members Bila kusahau All members

    Laying this infrastructure was a crucial step. My first encounter with Demi Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook... Kuwa crushed na kupewa rules and regs.. Mshana Jr na Uzi wake wa meditation... Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa Uzi wa Naomba kuongea na...
  10. Poker

    JamiiForums Tanzania Kwanini JamiiForums hamtaki kuanzisha AI yenu?

    Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao. Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku. Kwa sasa user interactions...
  11. Mr Anova

    JamiiForums Tanzania Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  12. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania Jamii Forums, jukwaa maarufu la majadiliano na taarifa, limekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha, kuelimisha, na kuendeleza vijana wa Tanzania. Kupitia majukwaa yake mbalimbali, Jamii Forums imeweza kuchangia katika...
  13. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Je Jamii Forums ina Premium Contents, kama zipo utaratibu umekaaje Kuweza kuaccess premium contents?

    Habari wanajamvi, Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko. Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

    Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪 Niwatie moyo sana na tusikate tamaa.. Elimu tulipata itusaidie tuweze kujimudu kimaisha kupitia...
  15. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!, Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
  16. kimboideas

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi JamiiForums

    Habari ya wakati huu mabibi na mabwana. Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi. Asante.
  17. Joseph Kadasula

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  19. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
Back
Top Bottom