fikra

  1. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kwa ile dialogue ya TCD, tuna watu wenye fikra zenye walakini

    Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtu kujitangaza kaokoka ama watu kumsemea kaokoka ni undumilakuwili, matendo yake ya mafichoni na fikra zake haviwezi kuonekana kirahisi.

    Mimi nimeokoka sikuhizi, Fulani kaokoka baada ya kutoka jela, fulani kaokoka baada ya kuponea chupu chupu ajali, n.k, ni kauli ambazo nikizisikia namrefer mhusika moja kwa moja na ndumilakuwili. Kuokoka huwa ni siri ya mtu binafsi na Mwenyezi Mungu, kwamba yeye anatenda, kufikiri, kunena, n.k...
  3. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Fikra yangu sio dini yangu

    Katika maisha ya kawaida jamii inakuwa na watu wa kila tabia na tabia ndio zinazoweza kuitambulisha jamii husika Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alianzisha kampeni yake yakupambana na wamiliki wa Madangulo katika viunga vya jiji la Dar Kwa hulka za waungwana ni kweli ukahaba sio...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mjadala na fikra ya kuunda tanu kalieni camp bombay mkesha wa xmas 1945 baada ya kumalizika vita vya pili vya dunia

    https://youtu.be/vbYWViPdGYk Historia hii ya fikra ya kuunda TANU kutoka Kalieni Camp, nje kidogo ya Bombay Mkesha wa Xmas mwaka wa 1945 ipo katika kitabu hicho hapo chini kilichoandikwa na Judith Listowel na kuchapwa mara ya kwanza London 1965.
  5. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

    Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100, Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi.... Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

    Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti. Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine...
  7. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa CHADEMA siyo maskini wala matajiri; wana amani na fikra huru. Kuna la kujifunza kwao

    CHADEMA ina viongozi ambao siyo matajiri sana na siyo maskini sana. Siyo mafisadi wala hawana nafasi yakupata kipato kisicho halali. Wanafamilia sawa na viongozi wa CCM na wanavaa na kula kama wenzao wa chama tawala. Pamoja na kuwa na kipato cha haki ila wako huru kueleza hisia zao kisiasa...
  9. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa,mkombozi wa fikra za Watanzania

    Nakiri wazi kwamba Mimi ni miongoni mwa Watanzania wanaokupenda Sana na ambao wanavutiwa Sana na wajihi wako. Nilianza kukupenda wakati ukiwa mbunge na wakati huo nilikuwa mwanafunzi wa level ya secondary. Nilivutiwa Sana hoja zako bungeni Na namna ulivyokuwa ukitetea raslimali za nchi kwa...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jaribu kukua kifikra

    Wakati nasoma ushuhuda wa yule binti wa Mbinguni na kuzimu miaka 10 nyuma, kuna vitu viliniingia kichwani. 1. Kamwe usimwamini binadamu. Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua binadamu si malaika. Kila binadamu ana maisha ya pande mbili, kuna upande wa kwanza unaoujua, upande mwema lakini pia kuna...
  11. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  12. Invisible

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
  13. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

    Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato. Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji. Popote penye watu Pana pesa,watu ndio soko lenyewe. umasikini ni hali ya mtu kushindwa kuchukua pesa Toka kwa watu.Bakhresa anachukua pesa...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Jifunze utulivu wa fikra hasa kwenye kupokea habari yoyote hususani kuhusu wengine

    Habarini nyote, Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu. Tutende haki ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ina nguvu sehemu zenye umaskini wa fikra na mali?

    CCM inazidi kukosa nguvu kwenye majiji na makao makuu ya miji; hakuna mtu anayevaa kofia na t-shirt kama ishara ya uzalendo tena....wazee nao wamepungua kwa kasi huku idadi ya vijana ikiongezeka. Idadi kubwa ya vijana wanahama kutoka maeneo yasiyo na ajira na kukimbilia mijini. Dar es salaam...
  16. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

    Ati ukiachana na mpenzi wako basi litampata baya huko aendako na hata kama likimpata baya usifikiri limempata kwasababu aliachana nawewe! Huo ni upuuzi tu ambao ni kama failure ya ubongo. Your not the one who made every heart beat for anyone, so stop that foolish idea. Wacha kufikiri kuna kitu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msukuma siyo wa kumuamini, ni muovu wa fikra na muovu katika maisha yake

    Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje. Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu jinsi ya kuboresha Sekta ya Elimu nchini

    Habari wana bodi ni matumaini Yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kitanzania miaka 23 pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi. Siku ya Leo nimewaza Sana ambayo yanaweza boresha sekta ya elimu na maisha ya walimu kwa ujumla kama ifuatavyo; 01. Kuwe na Kodi ya...
  19. Hotuba za Mnyonge

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la maendeleo ya dunia (Global Development Initiative) latoa changamoto kwenye fikra za kimagharibi kuhusu maendeleo

    Kwa muda mrefu sasa nchi za magharibi zimekuwa na sauti kubwa kwenye sera na mipango ya maendeleo ya uchumi duniani, kiasi kwamba imekuwa ni kawaida kuamini kuwa sera na nadharia za uchumi za nchi za magharibi ni sahihi. Inapotea kuwa nchi zinazofuata nadharia hizo zinaendelea kuwa nyuma...
Back
Top Bottom