fikra

  1. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Waandishi waliomuhoji ndg. H. Polepole ni wapuuzi , walidhihirisha ufinyu wa fikra za watanzania wengi

    Kulikua na maswali mengi mazuri ya kumuhoji ndg polepole ila waandishi walituangusha hasahasa yule zungu. Nimesikitika sana
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa Na John Jayros Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Upinzani wa fikra sio uadui

    Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc. Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
  5. Elly official

    JamiiForums Tanzania Dini ni uongo unaopumbaza na kuendeleza fikra za kitumwa

    1. UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia imekuwa kifaa cha kihistoria cha udanganyifu, unyonyaji, uongo, na utumwa wa kiakili. Kwa bara la...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

    GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  8. Tormenter

    JamiiForums Tanzania Umri wako sio gereza, acha kujihukumu na ondoa hiyo fikra

    USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO... Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu— Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani. Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu

    Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu. 1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa sana..hii ilikuwa Moro vijijini. 2.miaka hiyo hiyo nikiwa kwa bibi maeneo ya kibungo juu kuna siku mvua...
  10. Brother Hassan

    JamiiForums Tanzania Sababu 6 zinazopelekea kuwa na fikra (Mtwazom)mgando

    Kama kuna mambo yana ludiaha nyuma maendeleo ya vijana wengi kwa sasa ni pamoja na umasikini wa kuwa na fikra tanduzi. Na hapa kuna sababu sita zinazo sababisha vijana kujikuta katika hili janga la kuwa na fikra mgando katika jami unaweza kuyaepuka kwa kuzijua sababubu zake. Mjadala huru
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Jamaa kashtuka saa nane usiku dali limefungulia na panya mkubwa kaingia chumbani kwake.

  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Tupunguze kuwa wakali katika ku-approach nyuzi za watu, hatufanani fikra na maono, wengine ni msaada wanataka ili kuwa bora

    Tunaishia kuwabeza kulingana na uandishi wao. Wengine ni madogo humu , hawana experiences zenu, wanaiona duniani tofauti, so anapoleta kitu, msimamoe katika kumboresha , wengine wapo katika msongo hata anavyoandika unaweza kufikiri mbumbumbu. Na wewe pia unaeleta hoja ya kuomba msaada, kuwa...
  14. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania Fikra za kujiua zimenitawala sana. Naomba msaada na ushauri

    Nimeandika nyuzi kadhaa hapa JF katika kipindi hiki Cha mwaka 2025 mwezi march, Ila sikuwahi kuandika chochote before. Kiukweli kilichonileta huku kwa namna ya mwandishi badala tu ya kua mfwatiliaji wa nyuzi za watu kama nilivokua hapo kabla ni upweke. Leo nimefikiri kua niandikie kitu Cha...
  15. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Fikra huru, kesho iliyo bora ni leo iliyoandaliwa vyema

    Tanzania ya kesho haitajijenga yenyewe – inajengwa na sisi, vijana wa leo. Katika dunia inayobadilika kwa kasi, hatuwezi kuendelea kuwa watazamaji wa hatima yetu. Lazima tuamke, tutafakari, na kuchukua hatua sasa! Kwa Nini Fikra Huru ni Muhimu? Fikra huru ni silaha kubwa dhidi ya udanganyifu...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania msikubali kubabaishwa au kurubuniwa fikra, uhuru, pesa na haki zenu za kikatiba za kupiga kura, uchaguzi mkuu Mwaka huu2025

    Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania. Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  18. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Sylvester Kasulumbai: Mbowe amechoka atolewe tunataka fikra hasa toka kwa vijana

    https://youtu.be/Ps_At3HbjrE?si=ZUrRKKExyS_OxZ_z Mbunge mstaafu wa CHADEMA Maswa anatamani Mbowe awekwe kando ili zipatikane fikra mpya
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado haijakomaa kidemokrasia, mioyo na fikra za baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa

    Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao. Shari inayombatana na masharti juu ya...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Huku Watanzania tunajisifu ujinga kila mtoto ajipambanie from scratch, kijana wa kisomali miaka 25 anasimamia malori 90 biashara iliyoanzishwa na babu

    Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia. Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud Ni boss...
Back
Top Bottom