Pamoja na Afrika kuwa na utajiri wa rasilimali zote lakini waafrika si tu kwamba hawafaidi rasilimali zao lakini pia zimewatesa sana rasilimali zao kwa vita za kuchonganishwa.
Afrika imebarikiwa hata hali ya hewa ya Afrika inavutia lakini viongozi wetu wanaongoza kuwatukuza wakoloni wa kizungu...
IMETIMIA miaka 48 sasa tangu muasisi wa taifa la Zanzibar Abeid Amani Karume, kuuawa kikatili na wapinga maendeleo mnamo Aprili 7, 1972.
Wanaopinga maendeleo walimshambulia Karume na kumua akiwa kwenye makao makuu ya chama kilicholeta uhuru cha ASP ofisi ya Kisiwandui.
Tamko la Baraza la...
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha...
Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
Leo ningependa kugusia a very dominant premise ya wanasiasa wetu, "Tuzaliane tuongezeke ili uchumi wetu ukue, au tukuze uchumi" kwa ufupi they believe there's a strong correlation between population increase/growth and economic development/growth.
Binafsi siamini suala kuongeza idadi ya watu...
Kuna wanaofikiria vyama vya upinzani na fikra za upinzani ni kitu kimoja. Tanzania watu wana utamaduni na fikra za kupingana na ubishi hii hakuna mtu ataweza kuiondoa.
Ilikuwepo kabla ya uhuru mpaka sasa.
Vyama vitakufa kwasababu ni taasisi zinazoweza kubanwa lakini fikra ya upinzani ni kama...
Kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuua au kutoua, kufa au kutokufa kwa upinzani Tanzania. Ukiangalia kwa ukaribu jambo hili; kuna watu wanafikiri upinzani ukifa litakuwa jambo la faida kwa taifa, ila kiuhalisia litakuwa ni jambo la hasara kwa watu wote na pengine la hatari...
*Na Emmanuel J. Shilatu*
Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli iingie madarakani imekazania kununua ndege kwa ajili ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL). Baadhi ya Watu wanahoji kwanini pesa hizo za kununulia ndege aina...
Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!
Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa.
Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.