fikra

  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Fikra duni za mbeba maboksi kuhusu mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao.

    Mbeba maboksi here I come with my two cents from a distance. Nianze kwa kuwatakia heri ya Krismasi kwenu waumini wa Kristo. Kwa wasio waumini, nanyi nawatakieni sikukuu njema na mapumziko mema. Nimekuwa nikiifuatilia hii mijadala ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kwa juu juu tu. Sikuwa kabisa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe umechoka katika fikra zaidi kuliko mwili

    Hellow Tanganyika!! Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako. 1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt Mbowe kuchoka, Ndugu Mbowe umeshasahau kuwa Mwaka 2014 chama chako kimekuwa mstari wa mbele kudai...
  3. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania KAULI NYINGINE HUIBUA FIKRA MCHANGANYIKO

    Habari za wakati huu By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani. Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anapenda kuwa Askari polisi namsaidiaje kufuta fikra hizo?

    Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti. Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka...
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  6. 2v1

    JamiiForums Tanzania Nahisi hisia tofauti tofauti kama mwanadamu, nimekaa nafikiria hapa maisha ambayo natamani kuyaishi,

    Habari zenu members, mnaweza fikiria chochote kile na mkaandika katika uzi huu. Nahisi hisia tofauti tofauti kama mwanadamu, nimekaa nafikiria hapa maisha ambayo natamani kuyaishi, napenda sana kuwa na mwanamke mmoja tu maishani mwangu ambaye nitaishi naye na kupata naye watoto na kulea naye...
  7. smttz

    JamiiForums Tanzania Fikra zangu mimi kama Mwanakijiji

    As great thinkers naimani wabobezi wa sera za kiuchumi watanisaidia mimi mwanakijiji kuelewa. -Mara nyingi hujiuliza kwa bidhaa kama hii kuagizwa kutoka nje ya nchi !!! Ipo athari yeyote katika uchumi wetu? Kama ndio hatua zipi zichukuliwe? -Mwanakijiji kwa umri nilionao sina hakika kama...
  8. Propofol 0

    JamiiForums Tanzania Kidumu Chama cha Mapinduzi-zife fikra na vizazi

    Chama cha mapinduzi kimejengwa katika misingi ya Utu na Uzalendo,toka kuasisiwa kwake. Look Dunia ya sasa, Geopolitics na mienendo ya dunia inahitaji kila taifa kujiimarisha haswa ktk uchumi,siasa na elimu(intelligence) Taifa lolote ili liweze kutekeleza hayo linahitaji mkuu wa nchi aliye...
  9. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Tujikwamue kwa fikra za maendeleo dhidi ya fikra za kuogopa matatizo

    Salaamu wanajamvi, Imekuwa ada kuanzisha hata kusajili vikundi vya kusaidiana mambo ya kijamii kama vile msiba na sherehe. Sio jambo baya kwa vile linakuza ushirikiano na ustawi wa jamii. Ila huwa najiuliza kwanini huwa tunatumia nguvu kubwa mno kuanzisha vikundi vya kuzikana na shughuli za...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fikra inayodai Mwanaume hapaswi kuchelewa kupata mtoto tumeipata wapi?

    Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa Kwanza utaitwa Mchelewaji wa kuwa na Mtoto na kwamba hutoweza Kumlea vizuri na sijui atakuwa anakuita...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Iko haja ya upinzani nchini kubadilika mtindo na falsafa ya ushawishi kutoka kulalamika tu, hadi kuja na fikra mpya na mipango mbadala ya maendeleo

    Kulalamika na kulaumu pekee ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na waupinzani nchini, isiyo na tija na iliyopitwa na wakati. Haijawahi kuwa na msaada wala manufaa yoyote kwa vyama vyao wala kuleta mabadilko yoyote kwa wananchi... Falsafa hii inawadumaza zaidi tu na kuwaacha wadumavu mara dufu...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa mtoto umefungwa ndani ya fikra na akili ya mzazi! Tusiwalaumu watoto tu wakati mwingine!

    Umasikini umefungwa ndani ya fikra na akili ya mtu. Wazazi kama fikra zao ni za kimasikini huwa na uhakika uzao wake wote watakuwa masikini. Katika jamii ninayoishi kuna watoto wengi ambao tunawasomesha shule za umma na za binafsi. Sasa hizi shule za umma (za Serikali) kutokana na changamoto...
  13. Princesswaprince

    JamiiForums Tanzania SoC04 TASAF iwe ya kujenga fikra za walengwa kujijenga/ kujikuza kiuchumi na siyo kuwa tegemezi

    Mfuko wa maendeleo ya jamii ulioanzishwa mnamo mwaka 2000 katika moja ya lengo lake lake la kuinua kaya masikini kwa kuwapatia kiasi cha fedha za kujikimu kulingana na mahitaji husika mfano kulipia watoto shule , matibabu n.k Ulikuwa ni mpango wenye nia nzuri na kwa kiasi fulani umesaidia sana...
  14. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwa miaka 5-15 Tanzania tuwekeze katika kubadili fikra za watu kutoka walaji(consumers)kuwa wazalishaji(producers)

    Mabadiliko Yote muhimu lazima yaanzie katika fikra na mtazamo. Watanzania wengi tumekuwa na changamoto ya kuwa na fikra na mtazamo wa utegemezi kutoka mahali fulani. Watoto wanakuzwa wakifundishwa kutegemea serikali kuwapatia kazi na maisha Bora. Viongozi wanategemea nchi kuendelea kwa misaada...
  15. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni fikra za umaskini zinazofanya watu wafikiri kila aliyefanikiwa ni freemason ama atoa kafara au chuki dhidi ya waliofanikiwa?

    Habari zenu ndugu zangu. Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa. Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata sababu ya msingi. Nimeshuhudia na kusikia hadithi za watu wengi waliofanikiwa sehemu ninazoishi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Fikra bunifu kuboresha Sekta ya Afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25: 1. Upungufu wa watumishi wa Afya Changamoto: Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu Mikakati ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee TBC wanapita wakati mgumu, rasilimali watu ina tatizo la fikra lililozalishwa uchawa

    TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza. Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...
  19. L

    JamiiForums Tanzania "Makubaliano ya Dar es Salaam" yazidi kuvunja fikra potofu kwamba "maendeleo ya kisasa ni sawa na mambo ya kimagharibi"

    Mkutano wa 13 wa Baraza la Washauri la China na Afrika ulifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ulifikia "Makubaliano ya Kukuza Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa kati ya China na Afrika," unaojulikana pia kama "Makubaliano ya Dar es Salaam." Kama mafanikio muhimu...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

    Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
Back
Top Bottom