Siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele na harakati nyingi sana kutoka kwa wenye mamlaka na raia wengi kuhusu suala la maadili katika nchi hii.
Kujali huku madili kumefikia kiwango cha ajabu na sasa tunaona hata midoli inayowekwa kwenye maduka ya nguo kuonyesha fashion (mannequin) ikipigwa...
Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu.
Sera ya Elimu yetu
Mfumo wa Elimu yetu
Mitaala
Ubora
Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo.
Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo.
Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea.
Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya...
Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
Ukifika TRA unakuta na mizigo mingi sana kwa mfano TRA pale Longroom pamekua kama godwn la kuhifadhia mizigo,ukiangalia pale Kuna mizigo ya Congo,Rwanda,Burundi,Zimbabwe,Malawi,Zambia nk..ukiuliza wanakwambia hii ni mizigo tumeikamata haikua na Efd machine.
Nikamuuliza mmoja wao je hii mizigo...
Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100
1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani.
2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao
3.Smartphone zitakuwa kama...
Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto.
Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni...
Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi
Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi kuliko sasa kitu ambacho sio kweli. Au uchumi ulikuwa mkubwa zaidi kitu ambacho sio kweli. Hata wengine...
Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu.
Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
Leo nimeamua kutoa ya moyoni kuhusu, Manufaa niliyoyapata JamiiForums.
Kiukweli, nilibahatika kujiunga na JamiiForums mwezi wa saba~ mwaka huu mara baada ya kutumiwa tangazo linalohuso shindano la "STORIES OF CHANGE 2022" kutoka kwa rafiki yangu ambaye anadai aliliona kutoka kwenye mtandao wa...
Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo watu hawa kwasababu tu wamekuwa tofauti na vilivyokuwa na mizizi na kuzoeleka.
Baruch De Spinoza...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
MIMI SIYO “MZALENDO”
Napenda kumshukuru Mungu wangu kwa kunikirimu afya njema bila ya kumfanyia chochote cha maana. Hiyo ndiyo maana kubwa ya neema kwa jinsi ninavyoelewa mimi.
Ahsante sana Mungu wangu kwa neema hii. Naweka msisitizo katika neno “wangu” kwa maana kila mtu ana imani yake juu ya...
Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022)
UTANGULIZI
Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
UTANGULIZI
Hali ya kuwa watu wa visingizio siyo ya kubeza. Ina athari na inarudisha maendeleo yetu nyuma. Visingizio hivi sio mtindo bora wa maisha. Ni mtindo wa kurudi nyuma.
Katika Sehemu hii ya Pili, visingizio hivi vimepewa namba 11 hadi 20, lakini sio lazima usome kuanzia 11 hadi 20 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.