fedha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni 130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023

    Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti "Namshukuru...
  4. JamiiForums Tanzania Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2024/25

    TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2023/24 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/25 Upandishaji Vyeo Mheshimiwa Spika, kuanzia Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Wizara imewapandisha vyeo jumla ya watumishi 9,397 katika ngazi mbalimbali za uongozi. Hali hiyo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa? Baada ya Mwigulu...
  6. JamiiForums Tanzania Audit Manager Credit at NMB Bank May, 2024

    Audit Manager Credit (1 Position(s)) Job Purpose: Assisting Senior Audit Managers by supervising planning, on the field execution and reporting of credit audits and any other audit engagements assigned. The position is also responsible for assisting the Senior Managers in ensuring that key risks...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwekeza fedha

    Habarini WanaJF. Naomba mwenye best way ya kuinvest money na KUPATA hata 5% of it per month anisaidie maana nilijaribu kuweka tigo pesa kibubu tsh 300,000 TATU na KUPATA gawio la tsh 600 kwa mwezi.
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ifanye manunuzi, malipo na usimamizi wa fedha za miradi kidigitali ili kuzuia ubadhirifu na Rushwa katika ngazi zote

    UTANGULIZI Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara nyingine baadhi ya miradi kukwama kutokana na uhaba wa fedha kwa sababu ya ubadhilifu. Chanzo kikubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria Za Fedha: Kufikiri Kitajiri

    Rafiki yangu mpendwa, linapokuja kwenye fedha, kila mtu anajua umuhimu wake. Na umuhimu wa fedha siyo kwa sababu ni fedha, bali kwa sababu ya matumizi yake. Fedha ni muhimu kwa sababu inatuwezesha kupata mambo muhimu ya maisha yetu. Na fedha ndiyo kitu ambacho kinawagusa watu wote. Fedha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la mikopo umiza:Raisi Samia, unda Chombo au Taasisi maalumu itayohusika kusimamia na kudhibiti biashara ya kukopesha fedha

    Tatizo la mikopo umiza maarifu kama "kausha damu", linazidi kushika kasi hapa nchini huku Benki Kuu yenye dhamana ya kusimamia na kuendesha hii biashara, ikiionekana kushindwa kabisa kudhibiti uholela wa hii biashara japo teyar kuna sheria na Kanuni za kusimamia uendeshaji wa hii biashara...
  11. JamiiForums Tanzania MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungen

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya kwa kumtua Mama Ndoo kichwani, hii ilikuwa ni ajenda yake alipokuwa...
  12. JamiiForums Tanzania MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Mwaka wa Fedha 2024-2025 Bungeni, Dodoma.

    MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kwa bidii kuhakikisha azma ya kumtua Mama Ndoo...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  14. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wageni ni Tunu kwa Taifa

    Utangulizi Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani hakuna chochote katika dunia hii unaweza kufanya bila uchumi imara, bila fedha, bila mtaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mtutura: Mbolea ya Ruzuku haiwafikii wananchi, fedha zinazotengwa zinakwenda wapi?

    Waziri Kivuli wa Kilimo, Umwagiliaji na Maendeleo ya Ushirika, Ndugu Mtutura Abdallah Mtutura, ameitaka Serikali ieleze fedha za ruzuku zimepelekwa wapi ikiwa wakulima milioni 2.55 sawa na asilimia 75 ya wakulima waliosajiliwa katika mpango wa ruzuku hawakupata wala kutumia mbolea hiyo licha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watakatishaji fedha wanaotoa mikopo mitandaoni wanalindwa na nani? Wanapata wapi pesa za kukopesha watu wasiowafahamu?

    Tanzania kuna mtandao mkubwa umeibuka wa utakatishaji fedha unaoongozwa na wanasiasa na viongozi wa umma wanaokwapua fedha za walipa kodi zisizo haki yao. Kutokana na watu hawa kupata fedha wasizo na uchungu nazo wametengeneza application zakutoa fedha online kama mikopo. Masharti yao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  18. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maeneo matano ya kimkakati ambayo serikali inaweza kuyawekea mkazo kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma na rushwa

    1.IUNDWE TUME YA UDHIBITI UBORA WA MIKATABA NA USHAURI KWA SERIKALI (National Commission for Contracts Review and Consultation) Iwe taasisi huru yenye jukumu la kupitia mikataba yote ya kimkakati inayohusu fedha za umma. Taasisi hiyo ihusike kuchambua kwa kina mikataba yote kwa mapana yake na...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Kodi Zinazowezesha Maendeleo (Taxes for Progress); maoni kwa Waziri wa Fedha

    Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
  20. JamiiForums Tanzania Nyumba za Walimu 562 Kujengwa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kuenga jumla ya nyumba za walimu 562 zitakazochukuwa familia 1,124. Katimba ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu akijibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…