familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kuoa katika familia ya kichawi?

    Hiko hivi kuna rafiki yangu mmoja amekuja kuomba ushauri. Kampenda mwanamke wako kwenye mahusiano ya mda sasa, alipo fanya maamuzi ya kuoa wazazi wakamwambia "huyo binti kwao ni wachawi" kwamba kuna scenario mama ake huyo binti alikamatwa akiwanga, wazazi hawataki hata kusikia kuhusu huyo...
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ayman al-Zawahiri: Jinsi shambulizi la Marekani lilivyomuua kiongozi wa al-Qaeda - bila kugusa familia yake

    Zaidi ya saa moja baada ya jua kuchomoza tarehe 31 Julai, mkuu wa muda mrefu wa kundi la al-Qaeda Ayman al-Zawahiri alitoka kwenye balkoni ya eneo la katikati mwa jiji la Kabul - inaripotiwa kuwa amekuwa akifanya hivyo kila baada ya maombi .Lingekuwa jambo la mwisho angefanya. Saa 06:18 saa za...
  3. Mwalimu Demitria Gibure

    JamiiForums Tanzania SoC02 Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia

    Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia Uwajibijikaji kwa tafsiri ya kikamusi ni kitendo cha mtu mwenye wadhifa kuchukua dhamana ya kosa lililofanywa ama na yeye mwenyewe au mtu mwingine aliye chini yake, agh. kwa kujiuzulu. Neno lingine la Kiswahili linaloweza kufanana kimaana na...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Byamtemba, Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi Mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa. Mwili wa Jonathan uliokotwa ukiwa umetelekezwa kando ya barabara...
  5. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 "Ulevi" wa mafanikio ya baba na madhara yake kwenye uwajibikaji wa familia

    Imeandikwa na : IDRISSOU02 Mdau wa JF. Picha na Sema Tanzania Hakika kila mtu anatamani mafanikio. Hata yule mtu mwenye mafanikio tiari, bado anatamani awe na mafanikio zaidi. Kutamani maisha yaliyo bora zaidi ndio kichochezi kikubwa kinachofanya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni kama mali ya Familia

    Wengi wetu Huwa tunaamini kwamba ukishachaguliwa au kuteuliwa kuwa Kiongozi basi nafasi hiyo ni yako milele, jambo ambalo tunakosea sana unapopewa nafasi haimaanishi kuwa wewe ni bora kuliko wote waliobaki na unavyoondolewa haimaanishi kwamba umefanya vibaya sana na ndio maana tunasema Uongozi...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watoto 5 wa familia moja wadaiwa kufariki kwa ugonjwa wa tumbo Arusha

    Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na matumbo kujaa. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Julai 19,2022, Dwani wa Mswakini...
  8. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Wenye majukumu ya kazi, biashara na familia jiungeni Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    WENYE MAJUKUMU YA KAZI BIASHARA NA FAMILIA JIUNGENI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA Kama wewe ni mtu ambaye una majukumu ya kazi, biashara au ya kifamilia na unapenda kujiendeleza kielimu, njoo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ndipo mahali pake. Chuo hiki cha umma kinaendeleza watumishi wa umma na...
  9. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Mko wangapi kwenye familia yenu mnaetumia mitandao ya kijamii?

    Katika familia yangu tuko watu 27 wa baba mmoja ila ni mimi pekee ninayetumia mitandao ya kijamii kuanzia FB, WhatsApp, Jamii Forums na kathalika, je kwenu mpo wangapi wa familia moja?
  10. M

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

    Habarini, Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli? Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini bangi ikatazwe wakati pombe inaleta madhara pia. Turekebishe Sheria za Kikoloni

    Kama pombe tuijuavyo, inaweza kumfanya mtu ajinyee (mnisamehe kwa luga kali ila imebidi), atapike, azimie (kuzima), kuropoka, kushindwa kujitambua kabisa, hupunguza umakini (rejea mheshimiwa Kitwanga), n.k. licha ya haya yote lakini pombe hii ni halali. Ni utumwa wa fikra huu, tulirithishwa...
  12. Iziwari

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

    Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu.. jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli. Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo Mtoto ukimsimamia...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watatu wa familia moja wafariki kwa kugongwa na gari Arusha wakipeleka mtoto hospitali

    Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa Kata ya Terat katika Jiji la Arusha wamepoteza maisha papo hapo kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakitoka hospitalini wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki. Tukio hilo la kusikitisha limetokea mapema leo Julai 13, 2022, majira ya saa...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha katika chumba kimoja ukiwa na familia

    Inamaana upande moja wa chumba ndiyo kuna kitanda chako na juu ni kitanda cha mtoto au watoto. Wasizidi wawili. Hizi ngazi ndiy pia kabati la kuweka nguo zenu. Upande wa pili kuna soda bed kama ikitokea unapata mgeni. Coffee tabel ndiyo dining table pia. Kuna jiko la gas hapo pembeni...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kagera: Ajali yaua watu nane wakiwemo watano wa familia moja Julai 12, 2022

    Watu wanane wamefariki Dunia watano wakiwa wa familia moja baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika Barabara Kuu ya kutoka Lusahunga kwenda Nyakahura Wilayani Biharamulo Mkoa wa Kagera, usiku wa kuamkia leo Julai 12, 2022. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, William Mwampaghale amesema...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kijana apigwa risasi hifadhini, Familia yadai ushahidi unapotezwa

    Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu. Familia ya mtoto...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Miili 6 ya familia moja iliyouawa Kigoma inaweza kufukuliwa, mtoto aliyefariki maziko yake yasitishwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro. Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya GSM yote ni Simba, wapo pale Yanga kibiashara tu

    Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi. Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Watu 6 wa familia moja wauawa kikatili usiku wa kuamkia Julai 3

    Watu sita wa familia moja wameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kukatwa na mapanga sehemu mbalimbali za mwili na Watu wasiojulikana katika Kijiji cha Kiganza wilayani Kigoma Mkoani Kigoma. Familia hiyo ya Mussa Cheche kwa sasa waliobaki hai ni Mtoto mwenye umri wa miaka 4 ambaye amejuruhiwa na...
Back
Top Bottom