familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania NIMEMISI FAMILIA TUBADILISHANE JAMANI

    HABARI NDUGU ZANGU WANA JF ...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem SIMU: 0623450048/ 0746443601
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Familia yagoma kumzika ndugu anayedaiwa kuuawa kwa kipigo

    Mwili wa Ibrahim Shakiru (16) utaendelea kusalia katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Bugando mpaka pale familia ya mtoto huyo itakapoelezwa hatua zilizochukiliwa dhidi ya watu waliomshambulia na kusababisha kifo cha mtoto wao. Ibrahim anadaiwa kufariki Jumatano Oktoba 26, katika...
  3. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

    Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha? Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
  4. Mr Death

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Mkenya aliyekwama Guantanamo yataka Rais Ruto aingilie kati

    JAMAA za Mkenya mmoja anayezuiliwa katika gereza la Amerika la Guantanamo Bay nchini Cuba, imeomba serikali iwasaidie kumrejesha nyumbani mpendwa wao baada ya wakili Bw Miguna Miguna kurudi nchini. Amerika haikumpata Bw Malik Mohammed Abdul na hatia na ikamwachilia huru mnamo Januari, lakini...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Code alizonipa mzungu zimenisaidia kuona mwanga wa mafanikio yangu na familia yangu hapo baadaye

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza nianze kusema kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliozaliwa katika familia ya maisha ya kati, sio familia tajiri wala masikini. Pilika pilika za hapa na pale, zilinifanya nihamishie maisha yangu Kaburu ili kuweka mambo fulan sawa. Nikiwa Kaburu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

    Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia...
  7. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Pombe ilimfanya apoteze utu wake, akose familia yake na kumzika mama yake mzazi

    Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika. Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
  8. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Usilazimishe mapenzi unaharibu 'brand' ya familia yenu

    Kuna hawa wanawake hawashawishiki hususani pisi kali, kama wamekaza msamba kaa nao mbali. Kuwalazimisha unashusha 'brand' ya familia yako. Kuwa makini usije potea njia ukakutana na ngumi mchomoko au ndoige inayokata kona.
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere aliwezaje kuwazuia Wanafamilia yake kutoingilia mifumo ya utawala wake?

    Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa...
  10. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mnasababisha mikosi kwenye ndoa na familia

    Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika! Naomba usome hiki kisa👇👇👇👇 Wamama nimekuta sms mchepuko anamtumia mume wangu nanukuu, "Baby vipi...
  11. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

    Tushirikishane bajeti yako hasa nyakati hizi ambazo bidhaa muhimu kama nafaka zilivyopanda bei. Je, wewe kwenye familia yako bajeti kwa siku ni shilingi ngapi?
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uzinzi unavyogharimu mipango ya familia nyingi

    Na Christian Bwaya Ninapata chai ya jioni na Injinia. Jamaa kafanikiwa. Maisha yake yanaongea na kuhamasisha wengi. Jamaa anaheshimika na kanipa heshima ya kikao. Simu zimeachwa yatima mezani kwa takribani saa mbili zilizopita. Injinia anaomba kutoka akateme mate kidogo. Namruhusu...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa weledi na ujasiri alionao angekuwepo Tanzania angezitetea familia za ndugu waliouawa na polisi huko Serengeti na haki ingepatikana

    Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu. Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu. Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Familia isiyokuwa na mwanaume (baba) huwa inapwaya.

    Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi. Kwa wale ambao hawaishi na wanaume, wanalijua vizuri gepu lililopo hasa pale mwanaume asipokuwa katika maisha yao. Ndio maana...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  16. Nashengena

    JamiiForums Tanzania Changua kuambatana na familia au mwanamke unayetaka kumuoa

    Hatimaye kijana wetu amaeamua kuchangua familia dhidi ya mwanake aliyetaka kumuoa. Mwingine alikengeuka lakini kilichotokea hadi leo anajuta. Kijana wetu huyu wa kwanza ana miaka 26, yeye alikuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ana watoto 2 kila mmoja na baba yake. Kijana kamaliza shahada yake...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye familia ya Mama Amina Mohamed Mughenyi yapokea hundi ya fidia shanta

    HATIMAE FAMILIA YA MAMA AMINA MOHAMED MUGHENYI YAPOKEA HUNDI YA FIDIA SHANTA Familia ya Mama amina mohamed mghenyi wa kitongoji cha taru kijiji cha Mang'onyi kata Mang'onyi jimbo la singida mashariki wamefikia muafa na ofisi ya Mkuu wa wilaya kwa kuridhia kupokea hundi ya fedha ikiwa ni fidia...
  19. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Umeandika Wosia kwa familia na ndugu zako au kila mtu atajijua huko mbele?

    Migogoro mingi ya mirathi kwenye familia hutokea pindi mhusika anapofariki dunia, huku akiwa hajaacha wosia. Wosia ni maandishi au kauli inayoachwa na mtu anapokuwa hai ni namna gani angependa mali zake zigawanywe kwa warithi wake pindi atakapofariki dunia. Kuna aina mbili za wosia ikiwemo wa...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
Back
Top Bottom