Familia ya Hamza ni ya kulaumiwa siyo kuchekewa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,358
27,976
Mzuka wanajamvi

Hii Familia ya Hayati Hamza siyo ya kuchekewa chekewa ni ya kulaamiwa kabisa.

Yani hadi napoandika huu uzi hawajaweka mchakato ni jinsi gani tutawapa rambirambi. Yani wakowako tu. Tunawaomba na kuwasihi waweke utaratibu ama namba Mpesa, Tigo Pesa ama Airtel Money ili rambirambi ziwafikie njia yoyote ile.

Ikifika kesho hawajafanya hivyo tutawepelekea hizi rambirambi kwa lazima na nguvu.
 
Polis ianze na wewe kwenye uchunguzi wao ili kubaini ukoje naye na ushirikiano wenu na jamaa ulijengwa kwenye misingi gani?
 
Ndio maana igp katukumbusha wazazi kuhusu malezi

Sirro atakua na taarifa nyingi kuhusu makuzi ya hamza

Na aliongea aliyongea yawafikie baba na mama hamza wengine na ma-hamza wao

Kulea hakuna ufundi ila linapokuja swala la kutumia silaha kwa kiwango cha hamza maswali kuhusu historia ya makuzi yake yapo mengi
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom