familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Familia yakamatwa kwa kuozesha watoto wa miaka 12 na 16

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu saba, wakiwamo wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Kitarungu Wilayani Sereni kwa tuhuma za kuhusika kufanikisha ndoa ya wanafunzi hao wenye umri wa miaka 12 na 16 kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu alisema...
  2. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

    Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code. Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali "tena kamsifia sana". Kumbe yule mwali alisha olewa na jamaa ni member mtiifu hapa JF na ameuona ule...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwanafamilia abaka na kulawiti watoto wa familia moja

    JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa Kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa la tatu wa familia moja wa Shule ya Msingi Bukori. Wanafunzi hao wameumizwa sehemu zao za siri kiasi cha kushindwa kwenda haja. Kamanda wa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Masasi Mjini Geofrey Mwambe anusurika kifo akiwa na familia yake. Gari alilokuwa akisafiria lateketea kwa moto

    Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022. Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje pale Familia yako itakapokutenga?

    UTAFANYAJE PALE FAMILIA YAKO ITAKAPO KUTENGA? Anaandika, Robert Heriel Pengine hujawahi fikiri, na wengi hatufikirii Jambo hili, hata likitokea tunaona Kama ndoto Fulani hivi. "Watoto wangu wanitenge? Haiwezekani!" " Mke au mume wangu anitenge? Haiwezekaniki!" Wengi hufikiri hivyo, tena...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

    NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA? Anaandika, Robert Heriel Yule Mtibeli. Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache. Nani atakuwa wa kwanza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini familia za nchi zilizoendelea hazina wasaidizi wa kazi za nyumbani (house girls)?

    Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa. Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi? Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai. Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hiki kikohozi kisichoeleweka kimeikumba familia yangu tu, Au ni UPEPO?

    Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa! Mara nyingi navyojua kikohozi huwa ni cha mda mfupi kinapoa baada ya dawa! Lakini hiki cha awamu hii kinapungua tu lakini hakiishi...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tabaka tawala na tabaka tawaliwa. Je, familia yako iko katika tabaka gani?

    Tanzania kuna matabaka 2 makuu, tabaka tawala na tabaka tawaliwa. 1. Tabaka tawala Hili ni tabaka ambalo wengi husomesha watoto nje ya nchi licha ya wananchi wa tabaka tawaliwa kusotea msosi wa kila siku. Imagine, watu wanasema vyuma vimekaza lakini Ukraine pekee ilipokea vijana wa Kitanzania...
  10. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Surrogacy imeturahishishia maisha

    Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Familia ya watu 10 kutumia milioni 3 kwa mwaka kwa manunuzi ya vyakula

    Kuna mama alituekeza maisha ya familia yake. Yeye na mume wake wamebarikiwa kupata watoto wanne. Walichukua jukumu la kulea watoto wawili wa ndugu waliofiwa na wazazi wao. Msichana wa kazi na kijana wa shamba. Waliamua kuondoka mjini miaka mitano iliyopita baada ya kununua eneo la ekari tano...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

    Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu? Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  15. ARGAN MARA

    JamiiForums Tanzania Mfumo jike katika familia ni ushetani

    Tangu dhambi ilipoingizwa na mwanamke duniani, Mungu aliamuru mfume dume ktk familia. Soma { Mwa 3:16 akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako na kuzaa kwako kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye atakutawala} Siungi mkono wanaume kuwatesa na kuwanyanyasa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Kama Mtu anataka kuhama Ngorongoro, Serikali itamuhudumia

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo kama kuna watu watakaotaka kuhama kwa hiyari serikali itawahudumia. Pia amewataka wakazi wa Ngorongoro wasiwalazimishe watu watu kubaki kwa kuwa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Alijikuta ameshiriki tendo na familia nzima

    Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani kutoka Uturuki na bidhaa nyingi kutoka chini. Yote haya yalimfanya kijana kuwa busy mno, muda wake wa...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

    Familia ya msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ imejitokeza hadharani na kuelezea juu ya hali ya kiafya anayopitia staa huyo na kuomba msaada wa matibabu yake. Jay ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Mikumi, alipoanza kuugua alipelekwa katika hospitali mitaa ya Tegeta, akahamishwa...
  19. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Familia yangu imenigomea nisimuoe mpenzi wangu sababu wanahisi nitakuja kuteseka

    Ndugu zangu huyu binti nimetoka naye mbali sana zaidi ya miaka 5 tupo katika mahusiano na mimi ndio ninamjua vizuri sana. Ila shida inakuja familia yangu imenigomea kumuoa huyu binti kwa kigezo ntakuja kuteseka badaye na hii inatokana kuna kauli alipishana na mdogo wangu wa kike katika...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

    Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
Back
Top Bottom