Hizi familia hizi zina mengi mazito.

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Habari wakuu.
Mmebarikiwà sana na Mungu WA Mbinguni.

Nilileta thread moja humu kuhusu kutokuwa na mapenzi na mama yangu. Nilipata kitu kikubwa toka kwenu. Ngoja Leo niwashirikishe na hili la Mzee wangu.

Mzee wangu alikuwa ananikubali Sana sana kitu ambacho niligundua kulikuwa kinatishia masirahi ya baadhi ya ndugu zake hasa shangazi zangu na ma mdogo ambaye alimpindua mama.
Mikakati mingi Mzee alikuwa akinishirikisha mpka kuwaongoza madogo pale home.

Kuna tukio lilitokea home Yule ma mdogo alikuwa na mdogo wake pale home mdogo sn kwangu maana alikuwa kidato cha pili Mimi ndo nmehitimu yaani nimegraduate mwaka huo.

Yule dogo alikuwa na kiburi sana aisee japo kwangu haikuwa shida maana alikuwa anavuta mpk bangi na ni mtoto WA kike. SKU moja nilikutana Naye njiani akanipta Tu Hana hbr mmmh nikamulza mbona hatupeani salamu eeeh kajibu hovyo kweli nilikawasha kibao Kila mtu akaendelea na Safari yake.
Eeeh kumbe kakaenda kushtaki Kwa Dada ake ambaye ndo ma mdogo kwamba nimekapga mi sina hili wala lile kumbe kuna bifu zito Kati yangu na ma mdogo Ila hasemi mara akampanga Mzee.

SKU moja kukawa na Ka kikao home yaani familia yote msemaji mkuu ni Mzee nashangaa kinachozungumziwa ni Mimi kumuwasha kibao Yule dogo hapo zmeshapita wk kama mbili tokea tukio like kutokea.

Mzee akawa ananimind sana mbele ya madogo bnafs skujibu kitu kbs Nikawa kimya Tu mpk kikao kikaisha nikaenda zangu kulala maana home kulikuwa na nyumba ndogo nje ambapo nilikuwa nalala Mimi na kubwa inalala familia.
Tokea kipindi hicho kukawa kama kuna Ka bifu fulan hakaeleweki Kati yangu na Mzee kufatilia kumbe kuna ndugu hasa shangaz zangu na ma mdogo wanampanga Mzee khs Mimi kimya kimya.

Bt skujali sn nilikuwa nikiamka asbh naenda zangu town kuangalia cha kufanya narudi jioni au wakti mwngn usafiri ukiwa Tata narudi night.
SKU moja nipo town nashangaa Mzee ananitext kwamba nikiwa natoka niwe naacha key za room kwangu mmmh nilishangaa sana ukizngatia room yangu IPO nje huko na Kila kilichomo mle ni Mali yangu nilinunua Kwa boom la chuo na nilikuwa silali na Mtu mle.

Nikaona huu ni mtego huu nikamwambia haina shida Baba kama ndivyo naona kama tawasumbua hasa nikirud usku kuwagongea kuomba funguo basi nipe wiki moja mi nitafute room nikabz kabisa chumba Tu. Uzuri nilikuwa nimeshapata kazi shule moja hivi kaz ya records.

Hakujibu kitu kweli nilipata salary yangu nikahama Ila niliacha kitanda godoro nikachukua.

Eeeh kitendo cha kuhama huku nyuma niliacha mashambuliz makubwa sana khs Mimi toka Kwa ndugu hasa shangaz mmoja hivi alikuwa ananishambulia sn Kwa Mzee.

Bifu lilikuzwa hasa sasa ulitokea msiba tukawa tumekutana karibu ukoo mzma kuna ndugu wakawa wanajua kuna bifu Kati yangu na Mzee wakasema lazma liishe nikaamuliwa kuomba msamaha Kwa Mzee kweli niliomba msamaha paspokujua kosa langu ni lipi Mzee akasema yameisha.

SKU moja nikaenda Kwa Mzee kuzungumza Naye eeeh si akasema ye hajasamehe lolote eti mpk nisafiri niende kwenye kaburi la mama yake niombe msamaha kisha nizunguke niende Kwa Kaka yake niombe msamaha kisha niende Kwa Dada zake niombe msamaha ndipo atasamehe. Ikumbukwe sjui hata kosa langu ni lipi.

Akaendelea kusema Kwanza ye alishani delete kuitwa Baba ni alama Tu Kwan yeyote anaweza kuwa Baba si lazma yeye. Kwahiyo Alisha delete. Uzuri wakati anayasema hayo skuwa peke yangu maana yake wengne nao walikuwa wanaskia.

Alipomaliza nikamwambia sawa nikaingia ndani kuzungumza na ma mdogo kumwambia kwamba bnafs stakanyaga tena pale home Kwa namna yoyote Ile khs yeye ma mdogo sina tatazo Naye na awe na Amani astegemee kuskia mi namsema Kwa mabaya au kumchukia pale ni kwake na stegemei kuja kurithi chochote pale home na kama kuna mtu atamsema Kwa mabaya khs Mimi bs apotezee Tu maana mi sina tatzo naye.

Basi tukaagana hapo nikaondoka zangu ilikuwa mwaka 2018 na sjawahi kukanyaga tena home na nilihama kikazi na sina mawasiliano na Mzee ya aina yoyote Ile.

Pia simchukii maana najua kuna watu waliyoyaleta hayo tena Kwa njia za kishirikina japo sina ushahidi WA moja Kwa moja.

Sasa wakuu mpaka hapo mnadhani Mimi Nina hatia? Au nmekosea wapi zaidi huwa naskia watu wansema Baba anasema Mimi Nina kiburi, jeuri, dharau, mkorofi sa sjui kwa lipi hata sjui.

Ushauri wenu tafadhari.
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
195,217
2,000
Wewe mkorofi na mlalamishi mkuu. Ile salamu ya dogo isingekuongezea chochote,mtu unafahamu dogo jeuri ana dharau unalazimisha salamu maajabu.

Kwa style hio ya kujitoa kwenye lawama unawatupia wengine utaishi na vinyongo sana kaa chini samehe wote wazazi wako,shangazi zako hadi mifugo yao kisha songa mbele.
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,294
2,000
Unachokosa hapa ni kushindwa kujishusha mara kwa mara hasa kwa hao dnugu zako wasio enda shule.

Wewe ni mtu wa Kupenda haki sana na hupe di kuonewa, ukiwa na ndugu jaribu kujishusha.

Mjeuri inaweza semwa kwa sababu ukiambiwa jambo unalifanya lakini kwa njia tofauti tena kwa maamuzi yako binafsi, unapaswa kujadiliana na mtu anaekupa Amari iwapo unataka kutumia njia nyingine kutatua hiyo changamoto.

Mwisho. rudi nyumbani ukweke mambo swa kama hujaharibu kizazi chako kijacho.
 
Khs salama ya dogo bs niseme nilikosea hayo mengne unayoisema ni kwasababu hayajakukuta Tu Mzee kweli tena kuna watu ni pasua kichwa.
Kuhusu ulalamishi Kwa taarifa yako sinaga muda wa kulalamikia mtu hata SKU moja mi nilishaamua kufanya maisha yangu sina chuki na mtu aisee.
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Sjaelewa unaposema kuchanganya herufi Ka ni kuhusu herufi kubwa na ndogo ni simu yenyewe ukizngatia unapoandka Kwa kutumia simu hasa Kwa inshu isiyohitaji kuzngatia hayo haina haja ili kuokoa muda. Sjui unataka mtililiko gani ww
Jifunze kuandika kwa mtiririko acha kuchanganya herufi

Fanya maisha yako huwezi mrizisha kila mtu chini ya jua
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Unachokosa hapa ni kushindwa kujishusha mara kwa mara hasa kwa hao dnugu zako wasio enda shule.

Wewe ni mtu wa Kupenda haki sana na hupe di kuonewa, ukiwa na ndugu jaribu kujishusha.

Mjeuri inaweza semwa kwa sababu ukiambiwa jambo unalifanya lakini kwa njia tofauti tena kwa maamuzi yako binafsi, unapaswa kujadiliana na mtu anaekupa Amari iwapo unataka kutumia njia nyingine kutatua hiyo changamoto.

Mwisho. rudi nyumbani ukweke mambo swa kama hujaharibu kizazi chako kijacho.
Asan kwa ushauri wako bt Hilo la kujaribu kizazi kisa upuuzi WA watu na matakwa Yao bnafsi hakipo Kwa watoto wangu Mimi si pesa hata nipendwe na kusemwa vzuri na Kila mtu mzee
 
princess13

Member
Aug 30, 2018
87
125
Mi nadhani ungejishusha uongee na baba yako akwambie shida iko wapi,as hujatuambia je ni ile tu kumcharaza kibao binti au kuna lingine,baba yako ni baba yako tu anaweza kuwa amepewa maneno ya uongo bila ww kujua,wewe ndio wa kumuuliza ili kusawazisha,usijiamulie mambo bila kupata ukweli kama mpaka baba anakwambia ukaombe msamaha kwenye kaburi la mama basi ujue kuna makubwa zaidi dingi kaambiwa ambayo wewe hujui.
 
Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
11,793
2,000
Kwanini hukukaa na mzee wako umwulize tatizo liko wapi?
Mzee wako anayo haki ya kuamini aliyoambiwa na kukuona una kiburi sababu mmekutana mara kadhaa na hukuwahi kukana anayokutuhumu nayo.

Kama ungefunguka mbele ya babaako akajua ukweli kwamba unasingiziwa, kuna namna angekuchukulia ila sio kumsikiliza na kuondoka bila kujua tatizo na kujiweka wazi kwake kwamba iko hivi na hivi.
Mpaka muda huu umeacha sintofahamu kubwa kwa babaako kitu ambacho kinamfanya akufikirie vibaya japo sivyo ulivyo

Kwa kifupi tu hapa huwezi pata laana hata ikiachwa ila utakuwa umeshapoteza uaminifu kwa babaako.

Dawa ya moto ni moto!
Kilichobaki mbele yako focus kwenye mambo yako ya msingi tu maana umeshachafuliwa vya kutosha.... Songa mbele wale waliokuharibia ndio watakuja kujipendekeza kwako.
Na ikitokea wakaja kujipendekeza watumie kwa manufaa yako tu au uwageuze kama misukule maana wamekuchonganisha na dingi yako
 
Tatzo Mzee wangu Tyr alishatekwa na ma mdogo ambaye alimpindua max akishirikiana na Dada zake na Mzee
Pili Mzee ametawaliwa na Dada zake.
Tatu nilishakaa Naye kujua tatzo nn bt hakunielewa ukizngatia kuna taarifa za kuchezewa Kwa ndumba na wapinzani wangu.
Nne hata SKU ya mwisho nilipokanyaga home nilimuomba msamaha Kwa yote Kwa mara nyngn ndo akaleta masharti niliyosema hapo juu na hayo masharti Kwa Imani yangu spo Tyr kusujudia kaburi wala kusujudia wanadamu Kwa kitu ambacho si cha kweli.
 
COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
1,756
2,000
Mleta mada baada ya dogo kuto kuku salimia si ulimpiga na sufuria kichwani weeee!!!

Halafu dogo tatizo lako unamfanyia jeuri mamdogo hujui kula na kipofu.
Unajimwambafai kwa mama wa kufikia oohooo.
 
Sasa cha muhimu fanya mambo yako ikiwezekana makazi yako yawe mbali kabisa na makazi yao.

Kama wanaishi mkoa huu wewe hama huo mkoa ukaanze maisha yako... Kama ni ndugu utawapata tu ambao ni majirani au watatoka kwenye kiuno chako
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Mi nadhani ungejishusha uongee na baba yako akwambie shida iko wapi,as hujatuambia je ni ile tu kumcharaza kibao binti au kuna lingine,baba yako ni baba yako tu anaweza kuwa amepewa maneno ya uongo bila ww kujua,wewe ndio wa kumuuliza ili kusawazisha,usijiamulie mambo bila kupata ukweli kama mpaka baba anakwambia ukaombe msamaha kwenye kaburi la mama basi ujue kuna makubwa zaidi dingi kaambiwa ambayo wewe hujui.
Nilishaulza hakusema maana pia anaogopa sjui nikiwajua wabaya wangu uzuri hajui kuwa nawajua.
Halafu mkuu tatzo humjui Mzee wangu ujue kuna wazee wale wenye hulka za kzamani kitemi ubabe.
Nilishaomba msamaha Sana mbele ya ndugu zake akakubali kiuwongo uwongo nilipoonana nae private nikaomba tena ndo akaleta ya kwenda kwny kaburi la Bibi ambaye ni mama yake sasa sipo Tyr kusujudia kaburi Kwa namna yoyote Ile asahau Hilo spo Tyr.
Pili wakti nimemaliza chuo Mzee alimuita ofsn kwake kwamba wanipeleke Kwa mganga ili kuweka sjui Mambo sawa kifupi nilimkatalia live kumbe walikuwa wamepanga na Dada ake maana Naye alinipgia simu kuniulza nmeambiwa nn nikamjbu sjaambiwa kitu ili nmskie akanambia we si Baba ako kakwambia tukipeleke Kwa mganga nikamwambia ndiyo lakini staki.
Nadhani haya NI baadhi ya matukio ambayo yanaleta ugomvi na kuonekana nna dharau, kiburi, jeuri
 
MWAMFUPE

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
876
1,000
Asan kwa ushauri wako bt Hilo la kujaribu kizazi kisa upuuzi WA watu na matakwa Yao bnafsi hakipo Kwa watoto wangu Mimi si pesa hata nipendwe na kusemwa vzuri na Kila mtu mzee
Hilo la kusemwa vibaya ukilichukulia juu juu unaweza kujiona mshindi, lkn fikiria we n mtu gan kweny familia hauna rafk, imagine kati ya hao baba na shangaz wawe wachaw si wanairoga hyo famili yako mpk panya wanaoishi ndani? Haya leo umekufa hao watoto si itabd warudishe mpra kwa kipa? Kipa mwenyw ndo mahuelewan
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Mleta mada baada ya dogo kuto kuku salimia si ulimpiga na sufuria kichwani weeee!!!

Halafu dogo tatizo lako unamfanyia jeuri mamdogo hujui kula na kipofu.
Unajimwambafai kwa mama wa kufikia oohooo.
Hapana mkuu sjawahi jimwambafai Kwa ma mdogo sjawahi kbs aisee hata yeye anajua shida ni pale Mzee alipoanza onyesha ananikubali sn kuliko hata mkewe na ndugu zake wote yaani ndugu upande WA Mzee ilikuwa shida ukizngatia hao ndugu wanaijua misimamo yangu ya haki Tu.
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Hilo la kusemwa vibaya ukilichukulia juu juu unaweza kujiona mshindi, lkn fikiria we n mtu gan kweny familia hauna rafk, imagine kati ya hao baba na shangaz wawe wachaw si wanairoga hyo famili yako mpk panya wanaoishi ndani? Haya leo umekufa hao watoto si itabd warudishe mpra kwa kipa? Kipa mwenyw ndo mahuelewan
Ndugu yangu ndugu yangu ndugu yangu.
Kama ni kufa hata wao wanaweza tangulia nikalea watoto wao.
Kama marafiki ninao ndani ya ukoo tena wengne ni haohao adui zangu wananikubali na ushahidi ninao kwamba wananikubali hata lilitokea tukio la wanaukoo lazma waniulzie kama nipo au sjafka pale haijalishi wengne nao hawajafka.
 
Mitchell

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
487
500
Habari wakuu.
Mmebarikiwà sana na Mungu WA Mbinguni.

Nilileta thread moja humu kuhusu kutokuwa na mapenzi na mama yangu. Nilipata kitu kikubwa toka kwenu. Ngoja Leo niwashirikishe na hili la Mzee wangu.

Mzee wangu alikuwa ananikubali Sana sana kitu ambacho niligundua kulikuwa kinatishia masirahi ya baadhi ya ndugu zake hasa shangazi zangu na ma mdogo ambaye alimpindua mama.
Mikakati mingi Mzee alikuwa akinishirikisha mpka kuwaongoza madogo pale home.
Kuna tukio lilitokea home Yule ma mdogo alikuwa na mdogo wake pale home mdogo sn kwangu maana alikuwa kidato cha pili Mimi ndo nmehitimu yaani nimegraduate mwaka huo.
Yule dogo alikuwa na kiburi sana aisee japo kwangu haikuwa shida maana alikuwa anavuta mpk bangi na ni mtoto WA kike. SKU moja nilikutana Naye njiani akanipta Tu Hana hbr mmmh nikamulza mbona hatupeani salamu eeeh kajibu hovyo kweli nilikawasha kibao Kila mtu akaendelea na Safari yake.
Eeeh kumbe kakaenda kushtaki Kwa Dada ake ambaye ndo ma mdogo kwamba nimekapga mi sina hili wala lile kumbe kuna bifu zito Kati yangu na ma mdogo Ila hasemi mara akampanga Mzee.
SKU moja kukawa na Ka kikao home yaani familia yote msemaji mkuu ni Mzee nashangaa kinachozungumziwa ni Mimi kumuwasha kibao Yule dogo hapo zmeshapita wk kama mbili tokea tukio like kutokea.
Mzee akawa ananimind sana mbele ya madogo bnafs skujibu kitu kbs Nikawa kimya Tu mpk kikao kikaisha nikaenda zangu kulala maana home kulikuwa na nyumba ndogo nje ambapo nilikuwa nalala Mimi na kubwa inalala familia.
Tokea kipindi hicho kukawa kama kuna Ka bifu fulan hakaeleweki Kati yangu na Mzee kufatilia kumbe kuna ndugu hasa shangaz zangu na ma mdogo wanampanga Mzee khs Mimi kimya kimya.
Bt skujali sn nilikuwa nikiamka asbh naenda zangu town kuangalia cha kufanya narudi jioni au wakti mwngn usafiri ukiwa Tata narudi night.
SKU moja nipo town nashangaa Mzee ananitext kwamba nikiwa natoka niwe naacha key za room kwangu mmmh nilishangaa sana ukizngatia room yangu IPO nje huko na Kila kilichomo mle ni Mali yangu nilinunua Kwa boom la chuo na nilikuwa silali na Mtu mle.
Nikaona huu ni mtego huu nikamwambia haina shida Baba kama ndivyo naona kama tawasumbua hasa nikirud usku kuwagongea kuomba funguo basi nipe wiki moja mi nitafute room nikabz kabisa chumba Tu. Uzuri nilikuwa nimeshapata kazi shule moja hivi kaz ya records.
Hakujibu kitu kweli nilipata salary yangu nikahama Ila niliacha kitanda godoro nikachukua.
Eeeh kitendo cha kuhama huku nyuma niliacha mashambuliz makubwa sana khs Mimi toka Kwa ndugu hasa shangaz mmoja hivi alikuwa ananishambulia sn Kwa Mzee.

Bifu lilikuzwa hasa sasa ulitokea msiba tukawa tumekutana karibu ukoo mzma kuna ndugu wakawa wanajua kuna bifu Kati yangu na Mzee wakasema lazma liishe nikaamuliwa kuomba msamaha Kwa Mzee kweli niliomba msamaha paspokujua kosa langu ni lipi Mzee akasema yameisha.
SKU moja nikaenda Kwa Mzee kuzungumza Naye eeeh si akasema ye hajasamehe lolote eti mpk nisafiri niende kwenye kaburi la mama yake niombe msamaha kisha nizunguke niende Kwa Kaka yake niombe msamaha kisha niende Kwa Dada zake niombe msamaha ndipo atasamehe. Ikumbukwe sjui hata kosa langu ni lipi.

Akaendelea kusema Kwanza ye alishani delete kuitwa Baba ni alama Tu Kwan yeyote anaweza kuwa Baba si lazma yeye. Kwahiyo Alisha delete. Uzuri wakati anayasema hayo skuwa peke yangu maana yake wengne nao walikuwa wanaskia.

Alipomalza nikamwambia sawa nikaingia ndani kuzungumza na ma mdogo kumwambia kwamba bnafs stakanyaga tena pale home Kwa namna yoyote Ile khs yeye ma mdogo sina tatazo Naye na awe na Amani astegemee kuskia mi namsema Kwa mabaya au kumchukia pale ni kwake na stegemei kuja kurithi chochote pale home na kama kuna mtu atamsema Kwa mabaya khs Mimi bs apotezee Tu maana mi sina tatzo naye.
Basi tukaagana hapo nikaondoka zangu ilikuwa mwaka 2018 na sjawahi kukanyaga tena home na nilihama kikazi na sina mawasiliano na Mzee ya aina yoyote Ile.
Pia simchukii maana najua kuna watu waliyoyaleta hayo tena Kwa njia za kishirikina japo sina ushahidi WA moja Kwa moja.

Sasa wakuu mpaka hapo mnadhani Mimi Nina hatia? Au nmekosea wapi zaidi huwa naskia watu wansema Baba anasema Mimi Nina kiburi, jeuri, dharau, mkorofi sa sjui kwa lipi hata sjui.

Ushauri wenu tafadhari.
Pole sana Mkuu kwa yanayokukabili. I hate to say this lakini mara nyingi watu wenye misimamo na kusimamia misimamo yao huwa wengi wanaitwa wana dharau, kiburi nk. mimi kuna wakati niliomba shangazi yangu msamaha kwa kunitoroshea binti yangu wa kazi. Imagine mtu anakukosea alafu umuombe msamaha. Ushauri wangu Mkuu, nenda muombe Baba yako msamaha atoe hayo maneno aliyosema juu yako. Pia nitakwambia kama mie nilivyoambiwa "jishushe tu kwani utapungua nini "? Maisha mafupi sana Mkuu najua huna chuki nao ila ndio hivyo tena
 
COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
1,756
2,000
Hapana mkuu sjawahi jimwambafai Kwa ma mdogo sjawahi kbs aisee hata yeye anajua shida ni pale Mzee alipoanza onyesha ananikubali sn kuliko hata mkewe na ndugu zake wote yaani ndugu upande WA Mzee ilikuwa shida ukizngatia hao ndugu wanaijua misimamo yangu ya haki Tu.
Mzee akikubali wewe kuliko hata mkewe????
Na shangazi zako je???
Kwani Nini wasikukubali wewe uzao wao???
Kwani Sasa upo mkoa gani Mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom