Ili kuondoa mianya ya rushwa, mabishano nakadhalika. Polisi Usalama Barabarani wabaki kukagua mambo mengine, zitegwe speed detectors, ukizidisha mwendo message inakuja tu kwenye simu yako unapambana na hali yako, askari wapungue road wabaki vehicle inspectors tu na wakaguzi wa makosa mengine...