Wanaodharau na kukebehi elimu wadhibitiwe ikibidi walipe faini

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Kumetokea mtindo kwenye social media WA KAULI tata zinazo dharau elimu.

Hii inapelekea watoto kuchukulia POA swala la elimu nakufeli mitihan

South Korea Japan na China isingekua elimu ungekuta ni maskini.

Miaka 60 iliyopita South Korea ilikua Sawa na Tanzania South Korea ikagundua bila elimu Hawafiki popote.

Wakaweka nguvu kwenye education elimu ikwalipa wakapata Best doctors , Best pilots, bankers, lawyer's teachers had Leo hii hakuna maskini south Korea
 
Tukiacha mambo ya kulogana kaya ambazo ni masikini ni zile ambazo katika ukoo au kaya hakuna aliyeenda shule
 
Kumetokea mtindo kwenye social media WA KAULI tata zinazo dharau elimu.

Hii inapelekea watoto kuchukulia POA swala la elimu nakufeli mitihan

South Korea Japan na China isingekua elimu ungekuta ni maskini.

Miaka 60 iliyopita South Korea ilikua Sawa na Tanzania South Korea ikagundua bila elimu Hawafiki popote.

Wakaweka nguvu kwenye education elimu ikwalipa wakapata Best doctors , Best pilots, bankers, lawyer's teachers had Leo hii hakuna maskini south Korea
Hio elimu inayokufanya useme miaka 60 iliyopita south korea ilikua sawa na Tanzania NDIO TUNAIKATAA
 
Back
Top Bottom