faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani. VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
  2. Mjadala: Kwanini tusiwe na Ukomo wa kuwa Mbunge na Udiwani? Kuna faida nyingi sana kufanya hivyo

    Ndugu Wajumbe, Taifa letu lina raia zaidi ya Milioni 60 na kila baada ya Miaka mitano tunafanya uchaguzi wa kuchagua wabunge madiwani.Lakini katika hio miaka mitano mitano huwa tunakuwa na zaidi ya Wabunge 350 pamoja na wa viti maalumi ambao wote hulipwa kila mmoja zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa...
  3. M

    Je, hizi chaguzi za ndani CCM zimetuletea faida au zina athari kwa mwenendo wa chama?

    JE, HIZI CHAGUZI ZA NDANI CCM ZIMETULETEA FAIDA AU ZINZ ATHARI KWA MWENENDO WA CHAMA? NITOE PONGEZI NA SHUKRANI ZANGU KWA UCHAGUZI WA HAKI, WENYE UTULIVU NA WA BUSARA ULIOTEKELEZWA NA CHAMA CHETU USHAURI WANGU: CHAGUZI WA NDANI: Uchaguzi umekwenda vizuri na wanachama wamefanya Maamuzi yao...
  4. Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

    Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini? Kwenye chupa za maji...
  5. Hivi faida ya "show off" ni nini?

    Kujionesha kwamba una nyumba kubwa! Kujionesha kwamba una ujauzito (Tumbo kubwa!) Kujionesha kwamba na wewe unaitwa baba mtandaoni. Kujionesha kwamba una gari kali. Kujionesha kwamba wewe una Shamba kubwa! Tupia picha za mahindi yako, matikikiti yamejaa shambani huku umenyoosha mikono na...
  6. Ahadi za faida kubwa, hufanya masikini wengi watapeliwe kirahisi

    Maskini hutapeliwa zaidi na hii ni sababu kubwa, weka laki moja baada ya miezi mitatu utarudishiwa laki tatu Utapeli kimsingi upo tangu enzi na kila mtu anaweza kutapeliwa kwa namna moja au nyingine James Randi alisema, No matter how smart or educated you are, you can easily be deceived. So no...
  7. Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

    Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12. Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
  8. Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi. Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi. Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye...
  9. Biashara ipi inatoa faida ya haraka zaidi kati ya Genge duka na biashara ya chakula?

    Habari za mchana kila mmoja wetu. Poleni na majukumu. Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea. Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na...
  10. Jana nimeona faida ya ukali kazini, hongereni Watumishi wakali kazini

    Kwanza kabisa pongezi kwa mkuu wa nchi kwa kuwa mkali. Kabla ya Rais Magufuli discipline kazini ili 20% kwa sasa imepanda sana tunaweza kukadiria 80%. Ule ujinga wa "unanijua mimi ni nani"? Haupo tena. Mada husika Jana katika Ofisi za Manispaa ya Temeke niliona umuhimu wa Rais Magufuli na...
  11. Fahamu maua ya Rosela na faida zake

    Rosela ni ni maua yanaoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu MATUMIZI YA ROSELA NA FAIDA ZAKE KWA BINADAMU Maua ya rosella utengenezwa...
  12. Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

    Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga. 1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa...
  13. T

    GE2020 Faida zitatazotokana na upinzani kumweka Tundu Lissu au Bernard Membe kugombea Urais

    Hata kama hakutatokea Vyama vya Upinzani vikashinda lakini kutakuwa na faida kubwa sana kati ya hawa wawili wakipewa kipaumbele cha kugombea Urais hapa nchini. Kwangu mimi wote wakigombea ni sawa au hata mmoja kati ya hao ni sawa. Ukiacha hao hata Zitto Kabwe pia inagwa sijamtaja ila ana uwezo...
  14. GE2020 Boniface Budodi atangaza kugombea Ubunge Maswa Magh kwa TLP,atuma salamu kwa Mashimba Ndaki " Nakuja mtumishi wenu nisiye na faida Maswa nipokeeni "

    Hakika TLP kumenoga, Mhe Boniface Budodi atangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia TLP, Atuma salamu kwa Mhe Mashimba Ndaki, Awaomba wana Maswa wampokee mtoto wao na mtumishi wao, Awaomba wamuunge mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuelekea Oct 2020,
  15. T

    Kuna faida gani nchi kuhamia kundi la nchi zenye uchumi wa kati?

    Ninavyojua mimi kuna nchi ambazo hazitaki kuhamia huko kwa sababu ukishakuwa huko unajiondoa kwenye kundi la nchi zinazotakiwa kusaidiwa na kupata misamaha baadhi na unahamia haraka kwenye kundi la nchi zinazokopesheka. Kwa maana hiyo Tanzania imepata sifa ya kuwa nchi ya kupata mikopo zaidi...
  16. Ipi faida yangu, mbona siioni?

    IPI FAIDA YANGU, MBONA SIIONI? Na, Robert Heriel Nipo nipo, sina hili wa lile, sina lila wala fila. Sina mbele wala nyuma. Nimekuwa mtu wa hivi hivi, Loooh! Niite Taikon wa Fasihi, nisiye na faida. Hata nyanya linatumika kwenye kachumbari, tena ni kiungo kizuri cha mboga. Tena lafaa kwa...
  17. N

    Biashara ya hisa Tanzania, faida inapatikana?

    Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future. Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
  18. Kwa jinsi tulivyo na Dreamliners na Bombardiers za kutosha hadi zinabeba Samaki badala ya Abiria, kwa Tanzania nahisi ATCL imepata Faida Kubwa sana

    Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limekadiria kupata Hasara ya Dola Milioni 100 katika Kipindi hiki cha janga la CORONA. Kwa jinsi Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilivyo na Ndege zake nyingi tu na zikibeba Sato na Sangara wakikaa Vitini nadhani Wamepata Faida. ======== Kenya Airways...
  19. Faida kuu tatu za udongo maalum wa kupandia miche uitwao Peat Moss

    PEAT MOSS NI NINI? Peat moss ni udongo maalumu unaotumika kwa ajili ya kuandaa miche hasa kwenye upande wa miche ya mboga mboga na matunda kama vile nyanya,hoho,papai n.k Udongo huu huzalishwa katika nchi za ulaya kama vile Norway,Finland na husambazwa duniani kote ili utumike katika shughuli...
  20. S

    Maana, aina na faida za "Connection"

    "CONNECTION" Nimekosa Kiswahili fasaha labda Watalaamu mtaniambia Kiswahili cha "Connection". " "Connection" hapa namaanisha kupata urahisi kutoka kwa mtu, watu au mazingira ili kuweza kukusaidia wewe na mwisho wa siku ufanikishe kusudi ulilonalo maishani mwako/jambo unalolifanya maishani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…