2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,457
Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga.
1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa zinatafutwa no unazowasiliana nazo kwa ukawaida zinapogwa ili kupewa taarifa. Kama umelock wahuni watatembea na simu na utabak hapohapo.
2. Faida ya pili. Ukiibiwa simu kama iko locked cha kwanza kabisa mwizi anawaza jinsi ya kuibanjua ili auze au atumie mwenyewe. Akienda kuflash au kurestore kila kitu kinafutika. Ila kama haijafungwa mwizi anaweza kuitumia hivyo hivyo bila kufuta au kuanzisha upya akihofia Factory Reset Protection (FRP) akitumia hivyo hivyo unaweza kutrack na kuipata simu yako.
Hizo ndio faida za kutofunga simu. No 2 ndio ilinifanya nipate simu yangu baada ya kuibiwa wk mbili hivi. Kama una hoja tofauti karibu mezani