Kipindi Samia anaweka tozo alikuja na ahadi lukuki ya kuendeleza miundombinu ya elimu na maji kupitia makusanyo ya tozo.
Nilikwenda mikoa ya kusini kuzungukia shule za msingi za vijijini, kisha nikaenda Morogoro DC kuzungukia shule za msingi na sasa niko Tabora.
Nilichokiona ni vitukuto. Hizo...
Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma.
Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
Habari zenu wapambanaji,
Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya laki kwa kila pc.
Bidhaa iyo haijalishi iwe inapatikana nchini mwetu au kuagizwa.
Asante
Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha...
Habari wanajukwaa,
Dhumuni langu kubwa la kuporomosha uzi huu ni kuomba au kuwataka wale magwiji au wazoefu wa mambo ya migodini (kununua na kuuza pia na kusimamia karasha ili kuzalisha pesa kwa wingi).
Jamani mimi nimepelekwa mgodini na mzee wangu kusimamia karasha la kusagia mawe ya dhahabu...
AEROPAK TYRE SEALER INFLATOR
Gets you back on the road
No dirty hands
Seals Punctures
Reinflates Tyre
No Jack Required
Aeropak Emergency tyre sealer inflator is designed to quickly seal small punctures and leaks, reinflating your tyre in seconds. Aeropak tyre sealer inflator does not...
Mtu amempa mimba msichana chini ya umri wa miaka 18 anafungwa miaka 30! Huyu ameua mtu anasamehewa kunyongwa kisa, haki za binaadamu.
Nirudi kwa aliyempa mimba msichana, msichana akisha zaa mtoto atabaki na mama yake huku baba hata muona huenda kabisa kwani miaka 30 mama na baba yake...
Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi.
Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu.
Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana?
Utasikia ooooh...
Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika.
Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki...
Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani?
Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa...
Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo
AFPCopyright: AFP
Wanajeshi wa Uganda Pamoja na wenzao wa DR congo wamefanikiwa kumuua kamanda mmoja wa kundi la ADF pamoja na wapiganaji wengine watatu kwa mujibu wa mamlaka siku ya Ijumaa kwa mujibu wa mtandao wa The Monitor nchini humo...
Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari
Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
Hello guys;
Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu...
Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa na USA na USSR 1966 na China 2013
Sasa nikajiuliza kichwani lengo linakuwa ni nini? Kufanya utafiti...
Natumaini mpo salama Napenda kuchukua fursa hii kuelezea dhamira yangu ya kuwa mshauri wa biashara kwa wajasiriamali, wafanyabiashara, na kampuni mbalimbali.
Ukitaka kufanya biashara yoyote ile unatakiwa kufanya utafiti na kuwa na mshauri. Kutokufanya utafiti ni chanzo cha biashara nyingi...
Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana....
Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
Juzi kati nilikuwa nazungumza na madogo fulani wawili kuhusu Jamiiforums. Wale madogo wakasema kuwa hawajawahi kuisikia Jamiiforums!! Nilishangaa sana, ni madogo wenye kazi na wako active kwenye mitandao ya kijamii. Yaani mtandao upo tokea mwaka 2006 hawajawahi kuusikia!!? Licha ya hayo...
Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja
01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara
02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
Moja ya faida kubwa ya kamata kamata ni kutia watu hofu. Kamata kamata siku zote uishia kwa wenye fedha siyo maskini pekee. Hakuna mtu ataaingika na kiumbe asiyetoa chochote lazima uwepo mchanganyiko wa wenye fedha na wasio na fedha.
Dola ikianza kukamata kamata watu tambua wafanyabishara wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.