FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi.

Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii inayoelezea nikaona sio mbaya kushea na wenzangu wasiojua hili nao wafahamu umuhimu wa unywaji wa BIA, kupitia maelezo ya video hii nami basi nitaanza kugusa angalau mara moja moja.


View: https://youtu.be/JzHbHsbzusw?si=r5NhDHCOhNx1jphN
 
Kuwandanganya kivipi... Tafuta Daktari wako yoyote Unaemjua alafu muulize faida za Bia, atakueleza... Madkatari wenyewe unywa Bia, lakini umeambiwa usinywe kupindukia, kwa mwanaume angalau Bia mbili
 
Sayansi haihitaji ngonjera, ukibisha bisha kwa facts... Lete point zako za kutetea hoja zako
 
Nimekumbuka lile song la kibonde na rafiki yake Gardner

'mbinguni hakuna biaaa,
Ndio maana tuko hapa tunakunywa biaaa,
Hata siku ukiondoka hapa pia,
Rafiki zako tutakunywa zako biaa'

RIP Ephraim Kibonde
 
😂😂😂 Gardner anapenda sana Bia... Hata kipindi cha Jahazi, wale watangazaji wote pale ni walevi
 
eh
Screenshot_20230903-131642.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom