ethiopia

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika Jimbo jirani la Ahmara. Waasi hao wa Kaskazini mwa Ethiopia ambao wamekuwa wakipigana na vikosi vya...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waomba Ethiopia kuruhusu upelekaji misaada bila pingamizi

    Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Jumatano ameitaka serikali ya Ethiopia kuruhusu utoaji wa haraka wa misaada ya kibinadamu kwa mamilioni ya watu kaskazini mwa nchi bila pingamizi. Hayo yanajiri wakati maafisa wa Umoja wa mataifa wakiripoti vifo kutokana na njaa. Wakati wa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu, Abiy Ahmed aapishwa kwa muhula mwingine wa miaka 5

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia Serikali ya Abiy ambaye alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2018 inakabiliwa na changamoto mbalimbali...
  5. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa UN: Nimeshtushwa na hatua ya Ethiopia kuwatimua maafisa wetu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na msemaji wake mjini New York, Guterres amesema, "nimeshtushwa na habari kwamba serikali ya...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

    Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani ya nchi hiyo. Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imewapa maafisa saba wa Umoja wa Mataifa muda...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waasi wa TPLF watuhumiwa kuharibu maelfu ya vituo vya Afya

    Serikali Nchini humo imesema Waasi wa TPLF wameharibu maelfu ya Vituo vya Afya eneo la Kaskazini mwa Nchi hiyona kupelekea watu zaidi ya Milioni 1.9 katika Mikoa ya Amhara na Afar kukosa huduma. Waziri wa Afya, Lia Tadesse amesema Waasi wameharibu Hospitali 20 na Vituo vya Afya vipatavyo 277...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  9. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Tambua sababu kuu za vita ya Ethiopia

    Wakati Watu wengi wakiamini sababu kuu ya vita Ethiopia ni ukabila, Jambo hilo siyo kweli. Sababu kuu ya vita ya Ethiopia ni maslahi mapana ya mabeberu. Hii ni baada ya kutishika na msimamo wa Ethiopia haswa katika utekelezwaji wa miradi ya maendeleo. Je, ni vipi Ethiopia inatishia maslahi...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Tigray, Ethiopia: Umoja wa Mataifa waonya hali kuwa mbaya zaidi

    Miezi kumi tangu kuanza kwa vita vya Tigray, Umoja wa Mataifa umeonya hali ya kibinadamu katika mkoa huo wa kaskazini mwa Ethiopia inaelekea kuwa mbaya zaidi, ukilaumu kile ulichokiita mzingiro wa misaada kwa hali hiyo. Mapigano yalizuka Novemba 2020 kati ya vikosi vya serikali ya shirikisho na...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yafunga Ubalozi wake Nchini Algeria

    Serikali ya Ethiopia imefunga Ubalozi wake uliopo Algiers Nchini Algeria, ikiwa ni hatua ya kupunguza gharama za majukumu yake ya Sera za Kigeni Ubalozi wa Ethiopia Nchini humo umesema uamuzi uliochukuliwa unaweza kubadilika siku za usoni ikiwa hali ya Uchumi ambayo pia imeathiriwa na janga la...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Tigray yaituhumu AU kwa upendeleo katika mzozo wa Ethiopia

    Vikosi vya waasi kutoka mkoa uliokumbwa na vita kaskazini mwa Ethiopia wa Tigray, vimeushutumu Umoja wa Afrika kwa upendeleo, siku chache baada ya Jumuiya hiyo kumteua rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, kuwa mpatanishi katika mzozo huo. Msemaji katika chama cha ukombozi wa watu wa...
  13. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

    Habari zenu. Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC. Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  15. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wale wenye sera ya Majimbo waangalie Ethiopia

    Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa mizozo ili wamiliki kirasi uchumi wake. Nchi kama Ethiopia imehangaika miaka mingi kujenga uzalendo wa...
  16. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka Ethiopia: Taifa vitani mbioni kugawanyika, kisa kiongozi kukataa ushauri

    Watsup comrades, Taifa la Ethiopia mbioni kugawanyika kama hali iliyopo isipodhibitiwa kwa hekima na busara sio miguvu tena. Vita ni kati ya majeshi ya serikali ya shirikisho ya Ethiopia chini ya waziri mkuu Abiy Ahmed na vikosi vya chama cha TPLF - Tigray People Liberation Front, katika jimbo...
  17. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Kwanini vita vya Ethiopia dhidi ya TPLF vimekuwa mwiba mchungu

    Hivi karibuni Waziri Mkuu wa Ethiopia amewaomba wananchi waungane na wale wenye uwezo wajiunge na majeshi ya Ethiopia ili kupambana na waasi wa TPLF. Hii imetokea baada ya kuonekana kuzidiwa kwa jeshi la Ethiopia kwenye mapambano dhidi ya wahasimu wao wa TPLF. Vita hii mwanzoni ilionekaba...
  18. idoyo

    JamiiForums Tanzania Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia ahakikishiwa kubaki madarakani baada ya Chama chake kushinda Uchaguzi

    Prosperity Party imeshinda Uchaguzi kwa kupata viti 410 kati ya 436, hatua ambayo inamhakikishia Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed miaka mingine mitano madarakani Uchaguzi huo haukufanyika Jimbo la Tigray ambapo maelfu ya watu wanakabiliwa na uhaba wa Chakula. Raia wengine hawakupiga kura...
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia will not close Kenyan Embassy

    NAIROBI, Kenya July 6 – Ethiopia is set to close more than 30 embassies across the world, but Kenya will not be affected. Sources told Capital FM on Tuesday that it is true more than 30 embassies will be closed. ”It is true, but the Ethiopian embassy in Kenya will not be closed,” a source...
Back
Top Bottom