Hali yazidi kuwa tete Ethiopia, Marekani yawataka raia wake kuondoka

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa

Hali inayoendelea Ethiopia imepelekea Marekani kutoa tahadhari kwa Raia wake kuondoka mapema iwezekanavyo kwasababu ya usalama

Serikali imesema itaendelea kupigana vita hiyo licha ya wito wa kumaliza mapigano kutoka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na wadau mbalimbali wa Kimataifa

=====

Ethiopia's military has called on former soldiers to re-join the army, as it battles to hold off a rebel advance.

The appeal comes as rebel forces - spearheaded by the Tigray People's Liberation Front (TPLF) - make advances towards the capital, Addis Ababa.

The US embassy has told all US citizens to leave Ethiopia as soon as possible amid a "very fluid" security situation.

Hours earlier, nine anti-government groups forged an alliance to dismantle PM Abiy Ahmed's administration.

The government has said it will continue to fight what it calls an existential war. The conflict has entered its second year, with millions displaced and more than 400,000 on the brink of famine.

This week, government officials declared a state of emergency, and called on residents to register their weapons, telling them to get ready to protect their neighbourhoods.

In a rare statement on the clashes, the UN Security Council called for an end to fighting, and reiterated their support for the African Union's mediation efforts.

Ethiopia's international partners have also called for an end to the hostilities.

UK Foreign Secretary Liz Truss urged both sides to agree a ceasefire in a call with Ethiopia's deputy prime minister on Friday.

"I made clear there is no military solution and that negotiations are needed to avoid bloodshed and deliver lasting peace," she said.

On Thursday, US Secretary of State Antony Blinken called for a ceasefire, saying the conflict "must come to an end". The US special envoy, Jeffrey Feltman, is visiting Addis Ababa to press for a peaceful solution.

The new rebel alliance includes the TPLF and Oromo Liberation Army (OLA).

Speaking in Washington, a Tigrayan representative and former Ethiopian ambassador to the US, Berhane Gebre-Christos, said the aim was to oust Mr Abiy's government by force or negotiations, and establish an interim administration.

"We're trying to bring an end to this terrible situation in Ethiopia, which is created single-handedly by the Abiy government," he said. "Time is running out for him."

The OLA and TPLF have already started fighting alongside each other and this week claimed to have captured the town of Kemise, 325km (200 miles) north of Addis Ababa, on the main road from Tigray to the capital.

Source: BBC
 
Safari hii wanaungana na kuiondoa hii serikali ya sasa

Machafuko yanakuja tena mabaya

Naona Tigrey wanakamatwa hovyo na wengine wanajificha huu ni uonezi kwa wasio na hatia

Ila Ethiopia hali mbaya miaka yote
 
Hyo yote sawa ila mimi najiulizaga sana Marekani ana jambo gani na nchi zenye mapigano? Kwani hpo ethiopia ipo balozi ya marekani pekee?
 
Nchi imeshagawanyika hali imekua tete.

Serekali.imeshindwa kuzima mapigano

Kila siku waasi walaadvanve huku serekali iko palepale
 
Wao wenyewe ndo wachochezi wa hizo vurugu badae mambo yakiharibika wanna allert watu wao waondoke huku nyie mkibaki kwenye heka heka
 
Waasi wamefika kilometers 187 kutoka Adis Ababa
Leo hii wamefika mji wa Afdea ulioko kilometa 98 kutoka Addis Ababa. Abiy Ahmed atumie busara kuzungumza na hao jamaa. Leo,Makundi 5 Kati ya 9 yaliyoahidi kujiunga na Tigray kuiondoa Serikali Madarakani yametuma Wapiganaji elfu 50 kuungana na vikosi vya Tigray. Hii Vita Serikali Kuu haiwezi kushinda.
 
Leo hii wamefika mji wa Afdea ulioko kilometa 98 kutoka Addis Ababa. Abiy Ahmed atumie busara kuzungumza na hao jamaa. Leo,Makundi 5 Kati ya 9 yaliyoahidi kujiunga na Tigray kuiondoa Serikali Madarakani yametuma Wapiganaji elfu 50 kuungana na vikosi vya Tigray. Hii Vita Serikali Kuu haiwezi kushinda.
Hapo Mazungumzo hayatakuwepo tena, inatabidi Atoswe tu
 
Leo hii wamefika mji wa Afdea ulioko kilometa 98 kutoka Addis Ababa. Abiy Ahmed atumie busara kuzungumza na hao jamaa. Leo,Makundi 5 Kati ya 9 yaliyoahidi kujiunga na Tigray kuiondoa Serikali Madarakani yametuma Wapiganaji elfu 50 kuungana na vikosi vya Tigray. Hii Vita Serikali Kuu haiwezi kushinda.
Kuna mkono wa us,abiy kailaumu us
 
Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..

Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?

Naona yaliyotokea Libya ...

Israel iwasaidie basi ndugu zao..
 
Back
Top Bottom