ethiopia

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Viongozi TPLF katika jimbo la Tigray wamepuuza tangazo la kusitisha vita lililotolewa na serikali kuu mjini Addis Ababa jana, na wameapa kuendeleza mapambano hadi pale watakawafurusha kikamilifu wanajeshi wa Ethiopia. Wanajeshi wa Ethiopia wakipiga doria katika mji wa Mekele (07.03.2021)...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  3. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kuingia Ethiopia, Angola waisihi SAFARICOM Ikawekeze huko.

    Yani bila hata kufanyiwa open international tender angalau Safaricom ijifanye inashindana na kampuni nyingine za kimataifa, serekali ya Angola imeketi chini na kuamua hakuna mwengine ambae ako na product kama M-PESA kwahivyo afadhali watumie diplomasia kuialika Safaricom ikaanzisha huduma hio...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu leo licha ya maandalizi duni

    Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu hii leo baada ya kuahirishwa mara mbili kutokana na mlipuko wa virusi vya corona na kutoa nafasi ya kukamilisha maandalizi. Huu ni uchaguzi wa kwanza unaompa changamoto Waziri Mkuu na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Abiy Ahmed aliyeingia madarakani mwaka 2018...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru in Ethiopia to witness award of telecom licence to Safaricom

    Kenya's President Uhuru Kenyatta has arrived in the Ethiopian capital Addis Ababa for an official visit on Tuesday that will include, among other bilateral issues, the formal award of a telecom operating licence to a consortium led by Safaricom. The official award of the licence will also...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka vizuizi dhidi ya Ethiopia na Eritrea

    Marekani imetangaza vizuizi vya Visa dhidi ya Maafisa wa Ethiopia na Eritrea wanaoshukiwa kwa vita katika Mkoa wa Tigray, ikisema waliohusika hawakuchukua hatua stahiki kumaliza uhasama. Maelfu waliuawa na wengine kulazimika kukimbia makazi yao tangu Novemba baada ya Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
  7. Sherlock

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia Awards Safaricom First Telecom License

    It's big win for Kenya. Safaricom consortium wins Ethiopia licence bid on Sh91.8bn offer Saturday, May 22, 2021 Safaricom CEO Peter Ndegwa during the telco's 20-year anniversary celebration at the Serena Hotel in Nairobi on October 27, 2020. Diana Ngila | Nation Media Group What you need to...
  8. Teargas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom takes 56pc stake in Ethiopia firm

    SUMMARY Details of the consortium’s latest ownership structure was disclosed Tuesday by South Africa-based Vodacom Group which owns a 34.9 percent stake in the Nairobi Securities Exchange-listed firm. Safaricom was allowed to lead the consortium for several reasons, including Kenya’s...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Intanet yarejea Ethiopia baada ya kuzuiwa mwishoni mwa juma

    Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana mwishoni mwa juma. Taasisi ya Huduma za Habari ya Ethiopia na Kampuni inayomilikiwa na Serikali ya...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bei za umeme zasababisha kampuni kuhamia Ethiopia

    Kampuni mbalimbali nchini Kenya zinaweza kuhamia Ethiopia kutokana na gharama kubwa za umeme zilizopo Kwa ufanano ni kuwa bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli zake kutokana na bei za umeme...
  12. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

    Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono. Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo...
  13. battawi

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

    Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu. Taratibu fuatilia Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania). Akiwa ndani ya ndege 'Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Misri na Ethiopia zipo katika hati hati ya kuingia vitani juu ya bwawa la kufua umeme linalojengwa na Ethiopia

    Bwawa la Grand Renaissance Dam ambalo limekuwa likijengwa nchini Ethiopia kwa zaidi ya miaka 10 sasa linatajwa kuwa ndio litakuwa kubwa kabisa Afrika kwa sasa. Bwawa hili limefikia hatua ya ujazaji maji, na Misri analalamika kwamba kiwango cha maji ya mto Nile yanayowafikia kitapungua na hivyo...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia deal earns KenGen Sh440m

    Kenya Electricity Generating Company (KenGen) has booked Sh440.34 million revenue from drilling geothermal wells in Ethiopia, offering a boost to its earnings. The earnings were booked by KenGen Ethiopia — a branch set up by KenGen in 2019 to facilitate the execution of commercial consultancy...
  16. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Dangote anavyopata wakati mgumu kuendesha kiwanda chake che Sementi Ethiopia

    Nadhani Aliko Alhaj Dangote hakuwafahamu vizuri kabila la Oromo ambalo wa Ethiopia wengine wanawaita barbaric kwa kuenda kujenga kiwanda chake cha Sementi kwenye ardhi yao ya Oromia. Yeye alikula deal na watu wa Serikali lakini wa Oromo wakamuwekea masharti jinsi ya kukiendesha hicho kiwanda...
  17. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Abiy Ahmed akiri kwa mara ya kwanza uwezekano wa uhalifu dhidi ya binadamu katika mapigano ya Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amekiri uwezekano wa kuwepo kwa matendo ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mapigano katika eneo la Tigray mwezi Novemba mwaka jana. Abiy Ahmed amekiri pia kwa mara ya kwanza, baada ya mamlaka kukanusha mara zote, kuwa vikosi vya Eritrea...
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari watiwa nguvuni Tigray - Ethiopia bila kuambiwa sababu ya kukamatwa kwao

    Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia kutangaza hatua za kijeshi dhidi ya kundi la TPLF akiwashutumu kuvamia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia katika ziara ya siku 2 nchini Burundi

    February 9, 2021 Bujumbura, Burundi The Ethiopian Head of State in an official two-days visit in Burundi The Federal Democratic Republic of Ethiopia Head of State made an official two-days visit to Burundi from this Thursday. The Ethiopian Head of State arrived at Ndadaye Melchior...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Madam Rais wa Ethiopia na ujumbe wake wamepiga barakoa

    Pamoja na kuaminishwa kuwa anakuja COVID free zone lakini Madam President alikumbuka kuvaa barakoa. Hata sanitizer bila shaka alibeba.
Back
Top Bottom