ethiopia

  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Marekani zajadili mgogoro wa Ethiopia na masuala ya Afrika

    Waziri wa mambo ya nje Marekani amewasiliana na rais Uhuru kwa simu wakaijadili Ethiopia na udhabiti wa Afrika kwa jumla..... Kenya's President Uhuru Kenyatta and US Secretary of State Antony J. Blinken on Tuesday held talks with peace in Ethiopia and Somalia topping the agenda. State...
  2. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom itatumia nambari ya mwanzo ya 07 katika kampuni mpya ya Safaricom Ethiopia.

    Kampuni mpya ya Safaricom itakayoitwa Safaricom Ethiopia, itatumia nambari ya simu ya 07..... ambayo inatumika hapa Kenya. Kila la kheri kwa Safaricom wanapoanzisha kampuni ya pili ya mawasiliano katika historia nzima ya Ethiopia. Safaricom set to use 07 prefix for Ethiopia phones...
  3. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia arudi ofisini baada ya kukomboa miji 6

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa. Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yadai kuidhibiti miji miwili kutoka kwa waasi

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuidhibiti tena miji miwili ya kimkakati ya Dessie na Kombolcha, mwezi mmoja baada ya kushikiliwa na wapiganaji wa Tigray Hatua hiyo ni ya hivi karibuni katika mfululizo wa ushindi wa haraka katika uwanja wa vita unaotangazwa na vikosi tiifu vya waziri mkuu Abiy...
  5. Alice Gisa

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Updates on war against TPLF

    Salaam, Kwa mahaba yangu Nitakua naweka updates za mapigano yanayoendelea huko Ethiopia Kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa TPLF na Jeshi lao liitwalo TDF. Kwanza Kuna vitu vya kuweka sawa 1. Vita siyo Kati ya Ethiopia na Jimbo la Tigray. Bali ni Vita ni Kati ya Ethiopia na Chama Cha TPLF...
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Video: Umoja wa Ulaya ma Marekani wanapanga serikali ya mpito Ethiopia

    Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni. Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray. Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Ujerumani, Ufaransa zawataka raia wake kuondoka Ethiopia

    Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi. Ufaransa imewataka Raia wake kuondoka mara moja bila kuchelewa. Ujerumani nayo imetoa wito kwa Wananchi wake kuondoka Ethiopia. Marekani...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

    Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama. TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu machache kuhusu Ethiopia

    IJUE NCHI YA ETHIOPIA Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na Somalia kwa upande wa mashariki, imepakana na Kenya kwa upande wa kusini, imepakana na sudani kusini kwa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania UN: Takriban watu 1,000 wanashikiliwa Nchini Ethiopia

    Umoja wa Mataifa (UN) umesema takriban watu 1,000 (wengi kutoka Tigray) wanashikiliwa katika Miji mbalimbali Nchini humo tangu Hali ya Dharura ilipotangazwa Novemba 02, 2021 Maelfu wamefariki dunia na zaidi ya watu milioni mbili wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na mzozo kati ya Mamlaka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list

    The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund. The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage. Out of 36 countries on the list, African countries dominate...
  12. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

    Habari wanajamvi, Kama ilivyo kawaida, kufanya tafakuri ya mambo yale mtu anayoyasikia maredioni na magazetini kuhusu yanayoendelea kwenye siasa za nchi mbalimbali. basi nami nimejikuta nikiyatafakari sana yale yanayoendelea huko Ethiopia na vita vyao vya serikali ya kitaifa na wanamgambo wa...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa waasi asema wako karibu kuchukua ushindi, Ethiopia

    Kiongozi wa waasi anayepambana na wapiganaji wa serikali, amesema vikosi vyake vipo karibu na mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na vinatayarisha mashambulizi mengine, akitabiri kwamba mapigano yatamalizika hivi karibuni huku wanadiplomasia wakiendelea na majadiliano ya kujaribu kusitisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha Ethiopia Inasikitisha sana, vibaka wanavamia nyumba za watu kuiba chakula

    Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani. Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete Ethiopia, Marekani yawataka raia wake kuondoka

    Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa Hali inayoendelea Ethiopia imepelekea Marekani kutoa tahadhari kwa Raia wake kuondoka mapema...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makundi 9 ya wapiganaji yaungana dhidi serikali ya Ethiopia

    Makundi 9 yanayopiga vita serikali ya Ethiopia, yametangaza kuunda muungano hii leo ili kulazimisha mabadiliko ya kisiasa nchini humo. Hatua hiyo inaongeza shinkizo dhidi ya Waziri mkuu Abiy Ahmed, wakati makundi ya wapiganaji yakiendelea kukaribia mji mkuu wa Addis Ababa. Makundi kadhaa...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika Jimbo jirani la Ahmara. Waasi hao wa Kaskazini mwa Ethiopia ambao wamekuwa wakipigana na vikosi vya...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waomba Ethiopia kuruhusu upelekaji misaada bila pingamizi

    Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Jumatano ameitaka serikali ya Ethiopia kuruhusu utoaji wa haraka wa misaada ya kibinadamu kwa mamilioni ya watu kaskazini mwa nchi bila pingamizi. Hayo yanajiri wakati maafisa wa Umoja wa mataifa wakiripoti vifo kutokana na njaa. Wakati wa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu, Abiy Ahmed aapishwa kwa muhula mwingine wa miaka 5

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia Serikali ya Abiy ambaye alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2018 inakabiliwa na changamoto mbalimbali...
Back
Top Bottom