Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,035
6,907
Habari zenu.

Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC.

Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya kuchepusha maji kutoka mto Congo na kuunga na Nile Ili waendelee kupata maji ya uhakika.

Hongera Sana Ethiopia kwa kuwa na msimamo wa kiume.Sasa Egypt wako bise na Bwawa la Umeme la stiglaz kama bribe ya kuihonga Tzn Ili eti tusitumie miradi mikubwa ya kuchota maji Ziwa Victoria.Kwa taarifa yao wanajisumbua.

Hiki hapa walichoamua Mafarao 👇👇

Screenshot_20210826-213113.png
 
View attachment 1914421
Wa egypt wakikosa kabisa maji ya mto Nile, au yakipungua kiasi cha kuhatarisha maisha yao, wataishambulia Ethiopia.
 
Back
Top Bottom