Kiongozi wa waasi asema wako karibu kuchukua ushindi, Ethiopia

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Kiongozi wa waasi anayepambana na wapiganaji wa serikali, amesema vikosi vyake vipo karibu na mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na vinatayarisha mashambulizi mengine, akitabiri kwamba mapigano yatamalizika hivi karibuni huku wanadiplomasia wakiendelea na majadiliano ya kujaribu kusitisha mapigano.

Jaal Marroo, kamanda wa jeshi la ukombozi la Oromo OLA, amemuonya Waziri Mkuu Abiy Ahmed kwamba, wapiganaji wanaoiunga mkono serikali wanaendelea kuasi na wapiganaji wanaoipinga serikali wanaelekea kuchukua ushindi.

Jeshi la OLA pamoja na washirika wake wa Jeshi la ukombozi wa jimbo la Tigray TPLF katika wiki za hivi karibuni wamedai kupata ushindi kwa kudhibiti baadhi ya miji na hawajaondoa uwezekano wa kuukamata pia mji mkuu, Addis Ababa.

Kitisho cha waasi kuendelea kudhibiti baadhi ya miji kumesababisha mataifa ya kigeni kuendelea kujadili namna za kusitisha mapigano ambayo tayari yamesababisha vifo vya maelfu ya watu.
 
Muungano wa mashaka huu, TPLF na OLA wanapigana kwenye miji tofauti kabisa na hata sababu za kumpinga Abiy Ahmed ni tofauti.

Addis Ababa ipo chini ya waoromo na Kikundi chao kipo km 40 toka Addis Ababa kwa taarifa zisizothibitishwa.

Nani atamwachia mwenzake atawale endapo Abiy akitoka na je waoromo watakubali kugawana madaraka na watigray ambao waliwakandamiza walipokuwa madarakani?
 
Weekend iliyopita wenyekiti katika kila kata Addis Ababa waliitisha mikutano na lazima uhudhurie.

Ajenda kuu usimuamini jirani yako, uripoti jambo lolote lenye mashaka na muwafatilie kwa karibu nyendo zote za WaTigray kwaanzia watoto hadi wazee.

Mwenyekit anaorodhesha majina kama hujahudhuria wewe ni adui.

WaTigray sasa hivi hawatumii vitambulisho vyao kwasababu Waethiopia wanatambuana kwa vitambulisho na majina.

Vijana wengi wa Tigray hawana hatia wamekamatwa na kupeleka Magereza tofauti tofauti maporini huko ambapo kuna mbu hatarii wa malaria. Wanaachwa wafe tu hata bila kutibiwa.
 
Mkono wa marekani upo nyuma ya waasi hawa. Maana vifaa wanavyotumia hawangeweza kuvinunua hata kwenye ndoto zao. America is busy destabilizing the horn of Africa.
 
Ni propaganda za wamagharibi hizo zisikupotezee muda. Hakuna kikundi dhaifu kama OLA bora hata ungesema TPLF. Kwa siku kadhaa TPLF wamechapwa na ENDF na kupokonywa maeneo kadhaa mji wa Dessie waliojitangazaga kuuchukua na kiongozi wao mmoja kukamatwa.

Western media zimeendelea sana kupotosha ili kuichafua ENDF na ethiopia kwa ujumla.

Waendeleze porojo kuhusu miji mingine lakini wasijidanganye kuhusu Addis Ababa.

Kama wapo realistic kwanini wanaripoti taarifa za viongozi wa vikundi vya waasi tu?
 
Mkono wa marekani upo nyuma ya waasi hawa. Maana vifaa wanavyotumia hawangeweza kuvinunua hata kwenye ndoto zao. America is busy destabilizing the horn of Africa.
Baba wa demokrasia huyo

Anafadhili makundi kwa makundi ya waasi katika nchi mbalimbali ili waendelee kumwaga damu za wananchi wasio na hatia.

Demokrasia ya Marekani ina kiu sana ya damu za wanaadamu.
 
Ukiangalia umbali kati ya Tigray na Addis, the ni suala la muda tu kuiteka addis.

Insemekana kuna makundi tisa yameungana kumuondoa Abiy, lakini siyaoni yakiendelea kuungana baada ya hapo maana ajenda zao ni tofauti.

Ethiopia inaingia katika vita kali sana ya kikabila. Unajua kuna watu kwa hulka yao lazima watawaliwe kwa mkono wa chuma - nadhani na waethiopia wanaweza kuwa wamojawapo
 
Abiy Hana Cha kufanya,kiburi na utawala wa mabavu vimemponza,kikubwa akimbie na akatafute hifadhi nje ya nchi,hao tplf hawatanii na inaonekana wako well equipped.

Pole kwa abiy kwa kuishia kunawa mikono tu!!
Hivi kumbe Waarabu pia mko humu?? Waasi hawana lolote wale tutawanyonga tu!! hawa wanafadhiriwa na Misri, Sudan, na UAE!! hawataki lile bwawa la kufua umeme ajili ya uchoyo tu!

Oooh! Ethiopia weee! polee! nchi yangu, nchi ya Mababuzangu inamwaga damu kila uchao! Mungu km unavoishi okoa Taifa la Ethiopia!! miss ZOMBOKO NAOMBA UFUNGE SIKU 40!!!! AJILI YA ETHIOPS! Sawa baby!
 
Ni propaganda za wamagharibi hizo zisikupotezee muda. Hakuna kikundi dhaifu kama OLA bora hata ungesema TPLF. Kwa siku kadhaa TPLF wamechapwa na ENDF na kupokonywa maeneo kadhaa mji wa Dessie waliojitangazaga kuuchukua na kiongozi wao mmoja kukamatwa.
Western media zimeendelea sana kupotosha ili kuichafua ENDF na ethiopia kwa ujumla.

Waendeleze porojo kuhusu miji mingine lakini wasijidanganye kuhusu Addis Ababa.

Kama wapo realistic kwanini wanaripoti taarifa za viongozi wa vikundi vya waasi tu?
Halafu hii habari CNN! bwanawe imekuwa km chai!! ethiopia tuuuuu!! jamani heee!! sababu kubwa wana kinyongo nayo!! haikuwahi kutawaliwa na weupe ile nchi Tangu zama, na zama! za Biblical age!! na pale kuna hazina kuuubwa ya watu weusi kujitambua asili yao ni wapi!! wazungu hawatki hiyo!

Sasa hizi ni agenda za free mansoni wanatumia kigezo cha Bwawa kuidhoofisha Ethiopia kihistoria!! walikuwa wapi tangu bwawa linajengwa? mpaka waje leo kuleta chokochoko? By the way Maji ya Mto Nile to misri yanawahusu nini wao USA?

hata ivo yale maji yanatosha!! basi tu!! km suala ni umeme kwa nini wasichuke Aswan ED, waulete Ethiopia kwa gahrama zao ili maji yatumike kama kawaida! na Ethiopia wagharimike kutunza huo umeme tu! waarabu hawataki!!

hapa wameipania Ethiopia wanataka kuigawa vipande vipande km Sudan! ili kumaliza HX ya mtu mweusi, angalia leo Pyramids zote kubwa kubwa ziko Sudani kaskazini, USA ndo Nephilims hasaaaaa! walio tajwa kwa Biblia!

Illuminat/ Fm-nsoni, wao ukiwa Generali wa jeshi USA, au Rais wa USA wanakupa cond. kuwa hatutaki moja, mbili, tatu tunakupa kazi ukapiganie! usimamie! kwa gaharama zozozte zile!! ndo km hvi! wanataka kuivuruga Ethiopia wala siyo mabwawa!

wataifanya km walivyo vuruga kumbukumbu za king Nimrod!! mweusi huyu mjuu wa Nuhu kulee Iraq!! hii yote kumvurugia mtu mweusi Historia yake asijijue! make ulaya kuna makundi meengi ya weusi wameanza kujijua.

Mfano ni kundi la Prince katega wa Bukoba, Malcomx, nk lkn hapa ndo utakuwa mwisho wa ukuu wa USA! Subirini nchi ya kinabii ile ooohhooo!! walishindwa weengi !!
 
Wangerikuwa hawakumfanyia ushenzi egypt kwenye swala la nile wangeimba msaada wa jeshi angewasaidia sana kuwavurumusha hao waasi. Lakini kwa ujinga wao na roho mbaya itawacost sana
 
Halafu hii habari CNN! bwanawe imekuwa km chai!! ethiopia tuuuuu!! jamani heee!! sababu kubwa wana kinyongo nayo!! haikuwahi kutawaliwa na weupe ile nchi Tangu zama, na zama! za Biblical age!! na pale kuna hazina kuuubwa ya watu weusi kujitambua asili yao ni wapi!! wazungu hawatki hiyo!

Sasa hizi ni agenda za free mansoni wanatumia kigezo cha Bwawa kuidhoofisha Ethiopia kihistoria!! walikuwa wapi tangu bwawa linajengwa? mpaka waje leo kuleta chokochoko? By the way Maji ya Mto Nile to misri yanawahusu nini wao USA?

hata ivo yale maji yanatosha!! basi tu!! km suala ni umeme kwa nini wasichuke Aswan ED, waulete Ethiopia kwa gahrama zao ili maji yatumike kama kawaida! na Ethiopia wagharimike kutunza huo umeme tu! waarabu hawataki!!

hapa wameipania Ethiopia wanataka kuigawa vipande vipande km Sudan! ili kumaliza HX ya mtu mweusi, angalia leo Pyramids zote kubwa kubwa ziko Sudani kaskazini, USA ndo Nephilims hasaaaaa! walio tajwa kwa Biblia!

Illuminat/ Fm-nsoni, wao ukiwa Generali wa jeshi USA, au Rais wa USA wanakupa cond. kuwa hatutaki moja, mbili, tatu tunakupa kazi ukapiganie! usimamie! kwa gaharama zozozte zile!! ndo km hvi! wanataka kuivuruga Ethiopia wala siyo mabwawa!

wataifanya km walivyo vuruga kumbukumbu za king Nimrod!! mweusi huyu mjuu wa Nuhu kulee Iraq!! hii yote kumvurugia mtu mweusi Historia yake asijijue! make ulaya kuna makundi meengi ya weusi wameanza kujijua.

Mfano ni kundi la Prince katega wa Bukoba, Malcomx, nk lkn hapa ndo utakuwa mwisho wa ukuu wa USA! Subirini nchi ya kinabii ile ooohhooo!! walishindwa weengi !!

Wazungu ni hatari shee
 
Wangerikuwa hawakumfanyia ushenzi egypt kwenye swala la nile wangeimba msaada wa jeshi angewasaidia sana kuwavurumusha hao waasi
.Lakini kwa ujinga wao na roho mbaya itawacost sana
Kwamba hawaruhusiwi kutumia Mto Nile kwa maendeleo ya nchi yao kisa kumuogopa Egypt? Unajisikia unachoongea mkuu?
 
Nini hasa wanakitaka waasi au wapiganaji wa ki Africa kwa baadhi ya nchi.
Hapo ni wachache sana, viongozi wa waasi!! wanapewa hela kufunguliwa makampuni ya ki Biashara USA, CANADA, UFARANSA nk na familia zao zina kaa huko!! safe heaven, and escaping route salama in case km mambo yakiwa mabaya wanapewa!

Lengo nikuweka mtu amabe ataleta uharibifu Ethiopia na kurusu kuitumia Ethiopia km wanavotaka soon watasema siyo nchi ya kiafrica ile! bali waarabu!! alafu hao waaarabu wahindi wataletwa kwa maelfu kukaa humo bure!

hivi ndivo walivo fanya kwa, Africa kaskazini, Mashariki ya kati na waka faulu! walishindwa kwenda kusini ajiliya Sun scorch ajili ya low Melanin, Mbung'o, mbu nk walikuwa wanakufa sana na ferltity rate yao ikawa ndoogo sana!
 
Ukiangalia umbali kati ya Tigray na Addis, the ni suala la muda tu kuiteka addis.

Insemekana kuna makundi tisa yameungana kumuondoa Abiy, lakini siyaoni yakiendelea kuungana baada ya hapo maana ajenda zao ni tofauti.

Ethiopia inaingia katika vita kali sana ya kikabila. Unajua kuna watu kwa hulka yao lazima watawaliwe kwa mkono wa chuma - nadhani na waethiopia wanaweza kuwa wamojawapo

Kama ni mkono wa chuma, Mangistu Haire Mariam angefanikiwa sana. Lakini jibu si hilo kwa Ethiopia na nchi nyingi za Kiafrika.

Jibu halisi la Ethiopia ni kuunda states, yaani Autonomy states. Kila jimbo lina lipo huru ktk mambo yanayowahusu jimboni. Serikali kuu iwe na mambo ya msingi tu watayokubaliana. Hapa ndio tatizo lilipo si tu kwa Ethiopia bali nchi nyingi za Afrika, na TANZANIA hatupo salama katika hili, mfano halisi ni Zanzibar.

Na kimsingi si Zanzibar tu, bali hata mikoa ni muhimu ikue na kuipa madaraka ya kujiamulia mambo ya msing ya maendeleo wenyewe. Si kila kitu lazima usubiri maamuzi ya serikali kuu, Tunachelewa.

Tigray na hayo makundi mengine yanahitaji hilio la full autonomy katika majimbo, na kwa hilo hawatofautiani na wa-Oromo na makundi mengine. Abby alitaka kuuwa utaratibu huo na kuchukua maamuzi yote yeye mwenyewe (central goverment).
 
Hapo ni wachache sana, viongozi wa waasi!! wanapewa hela kufunguliwa makampuni ya ki Biashara USA, CANADA, UFARANSA nk na familia zao zina kaa huko!! safe heaven, and escaping route salama in case km mambo yakiwa mabaya wanapewa!

Lengo nikuweka mtu amabe ataleta uharibifu Ethiopia na kurusu kuitumia Ethiopia km wanavotaka soon watasema siyo nchi ya kiafrica ile! bali waarabu!! alafu hao waaarabu wahindi wataletwa kwa maelfu kukaa humo bure!

hivi ndivo walivo fanya kwa, Africa kaskazini, Mashariki ya kati na waka faulu! walishindwa kwenda kusini ajiliya Sun scorch ajili ya low Melanin, Mbung'o, mbu nk walikuwa wanakufa sana na ferltity rate yao ikawa ndoogo sana!
Mkuu hivi wale waarabu wa kule morocco na Algeria kumbe waliletwa ili kuzifanya hizo nchi zioonekane kuwa ni za kiarabu
 
Back
Top Bottom