ethiopia

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

    Yugoslavia ilivunjika na kutoa Mataifa kutokana na makabila, naona Ethiopia ikienda mlengo huo. Ethiopia ina makabila makuu manne. Oromo ndiyo kubwa kama 35 asilimia wanafuata Amhara asilimia 30, Tigray asilimia 6 na wasomali asilimia 6. Hawa wengi wanaishi kwenye majimbo yao ambayo yana Rais...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

    Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34. Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani Ethiopia kuanzia leo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani nchini Ethiopia kati ya serikali na maafisa wa eneo la Tigray. Kulingana shirika la habari la AFP, maafisa wa serikali ya Ethiopia wasiotaka kutajwa wamesema kwamba mazungumzo hayo yamepangwa kuanza Jumatatu, kaskazini mwa...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Sudan yafunga mpaka wake na Ethiopia kutokana na mapigano yanayoendelea Tigray

    Sudan imeamua kufunga mpaka wake na Ethiopia baada ya mvutano kati ya serikali ya shirikisho na utawala wa mkoa wa Tigray. Kulingana na shirika rasmi la habari la Sudan, Fethurrahman al-Emin, gavana wa jimbo la Kesele kwenye mpaka wa Eritrea na Ethiopia, amesema kwamba baada ya mapigano huko...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yatangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray

    Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Abiy Ahmed kulaumu Serikali ya majimbo inayoongozwa na upinzani kushambulia vikosi vya Jeshi vya serikali. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu inasema kuwa matukio ya vurugu...
  6. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania “Bwawa la Ethiopia litalipuliwa”Donald Trump

    Donald Trump awaonya Ethiopia bwawa la nchi hiyo litalipuliwa na Misri, akizungumza na Waziri Mkuu wa Sudan , Trump amekaririwa akisema Misri italipuwa bwawa hilo kutokana na Ethiopia kukataa ushauri wake pindi alipokuwa msuluhishaji wa mgogoro huo
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

    Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia yajiandaa kutupia chombo angani kwa mara ya pili - huyu ndiye jirani

    Hadi hapo ni mataifa machache Afrika yaliyofaulu kutupia satellite, Kenya kama kawaida ikiwemo, Ethiopia wanajiandaa kutupia chombo cha pili, huyu jirani anayejitahidi sana sio mzembe mzembe..... ----------------------------------- Ethiopia is in the final stages of launching its second...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ethiopia kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi wa Addis Ababa

    Mamlaka katika Mji Mkuu wa Addis Ababa,Ethiopia unapanga kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi kama sehemu ya sherehe za kuadhimisha mwaka mpya wa Ethiopia 2013. Ruzuku hiyo ya siku moja itakayotolewa Jumatatu ya tarehe saba Septemba, itakuwa mwanzo wa siku tano za sherehe za kuadhimisha mwezi...
  12. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

    Mabadiliko haya ya kiuchumi yakitazamwa na mabadiliko ya kihistoria na uongozi yanaweza kutuonyesha ni kitu gani kinaweza kusababisha uchumi kuimarika au kusambaratika.
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania 1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa kubwa la kuzalishia umeme...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania iwe upande gani Kama Ethiopia na Misri zinapigania maji ya mto Nile?

    Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda. Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
  15. IAfrika

    JamiiForums Tanzania Ethiopia Starts Filling Grand Renaissance Dam

    ADDIS ABABA (Reuters) - Ethiopia has started filling the Grand Renaissance dam, a giant hydroelectric project it is building on the Blue Nile, its water minister said on Wednesday, a day after talks with Sudan and Egypt on the issue became deadlocked. “The construction of the dam and the...
  16. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tanzania has what it takes to be ‘African economic giant'

    East Africa’s sleeping giant is finally awakening. Right in the middle of the global Corona virus pandemic, Tanzania has provided a rare piece of good news — on 1 July 2020, the country achieved its middle-income vision five years ahead of schedule. As a coastal economy bordering eight...
  17. LangatKipro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

    This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
  18. tzkwanza

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

    Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa. Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
  19. CORAL

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 12 aokolewa na Simba baada ya kutekwa kwa lengo la kuozwa kinguvu nchini Ethiopia

    Wanaume wapatao 7 walivamia nyumba moja katika kijiji kimoja nchini Ethiopia na kumkwapua binti wa miaka 12 ambapo mmoja wa watekaji alitaka kumuoa bila ridhaa yake wala kibali cha wazazi wake. Walipokuwa njiani wanaenda naye kwao huku wakimburuza kwa nguvu na kumpiga huku akilia walikutana na...
  20. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

    Ethiopian Troops In Somalia Shoot At Another Kenyan Plane Another Kenyan plane was shot at today allegedly by Ethiopian troops in Qansahdere, Bay Region in Somalia, sources have told Kahawa Tungu. The plane was carrying humanitarian aid when it caught fire mid-air after the shooting. Photos...
Back
Top Bottom