Habari wana Jukwaa!
Anahitajika Mwalimu wa English katika Shule ya DECENT SCHOOL . Shule ipo Mwenge karibu na ITV. Mwenye uhitaji fika DECENT SCHOOL -Mwenge ukiwa na CV+Cover letter.
Mwalimu ni lazima awe na uwezo wa kufundisha O-LEVEL & A-LEVEL (A bachelor degree of education is mandatory...