Shule ya jiji la Mbeya iliyoko Mwanjelwa imetawaliwa na rushwa sana kipindi hiki ambacho watoto wanajindaa na kufanya usaili.
Yaani mwalimu anakuambia kabisa ili mwanao apate nafasi nipe laki tano (500,000) bila hata kupepesa macho anasema hayo.
Na anakwambia tuko wengi pale so tunahitaji pesa...
Naitwa Kapena. Nipo Dar es Salaam.
Ni mwanafunzi wa Masters ambaye week ijayo natakiwa ku-submit Masters Thesis/Dissertation yangu for examination purposes. Hivyo, natafuta mtu anifanyie English proofreading ya document yangu. Nimejaribu kutumia Grammarly naona haitoshi. Nahitaji human...
Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu.
Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.