Wazazi wengi wa Kikristo wanachelewesha maisha ya watoto wao sana. Wanatoa sapoti ya elimu tu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Habari wadau.

Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo.

Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka kusoma mpaka phd ada italipwa.

Nina jamaa nawaona wana wazazi wapo vizuri ila hawapewi sapot za maisha kama kupewa mitaji ya biashara mapema.

Naona sana mitaani, watoto wa hizo familia zenye kauwezo anakuja kurithi mali baada ya wazaz kufariki akiwa na age ya 35 ama 40. Ndipo anaanza kuanzisha familia na yeye maana enzi za wazazi alishindwa hata kuoa alikuwa hawezi kutunza mke ama familia. Huku mali wazazi walikuwa nazo zamani na hawajamgaia hata kamtaji. Watu wa pwani na Zanzibar wanasapot sana watoto ndio maana wajukuu wanawaona mapema

Mtu una vihela why usimtoe mwanao mapema zimsaidie ukiwa upo hai mzazi
 
Mmeponda kuhusu ukristo ili muongeze wapumbavu kwenye ule ushetani wa kukaririshwa tangu utotoni hola.......

Mkaanzisha vinyuzi vya kusifia sifia ndoa za dini yenu ni nzuri kuliko ndoa za ukristo hola.....

Mkaanzisha nyuzi za kipumbavu kuhusu kumtetea mungu wenu akidhihakiwa na yeyote mnamshushia kipigo ili kulinda dini yenu hola....

Mkaanzisha tena upumbavu wa dini yenu ndiyo inayoongoza kwa matajiri TZ bado pia mkapuuzwa.....

Kwanini msibaki na dini yenu tu muende peponi peke yenu pasipo kusumbua Watu wengine waliojichagulia maisha yao kwa hiyari zao wenyewe
 
Mkaanzisha tena upumbavu wa dini zenu ndiyo inayoongoza kwa matajiri TZ bado pia mkapuuzwa.....

Kwanini msibaki na dini yenu tu muende peponi peke yenu pasipo kusumbua Watu wengine waliojichagulia maisha yao kwa hiyari zao wenyewe

Hatujaponda dini tumeponda tabia za wazazi

Tazama ma rais tu.

Nyerere mkristo. Watoto wake aliwasapot vipi na wana vyeo gani now

Kisha tazama mwinyi muislam watoto wake walipewa sapoti gani na wana vyeo gani now

Kisha njoo kwa mkristo mkapa na watoto wake.

Kisha tazama muislam kikwete sapot ya watoto wake na hata mkewe

Kisha nenda kwa magufuli pia tazama watoto wake wako wapi

Kisha rudi kwa mama samia uone watoto wake na hata wakwe zake wana vyeo gani

Utajua wazaz wa kikristo wenye pesa wana tatizo gani
 
Kwani hao wazazi wa kiislamu ndio wanawasapoti watoto wao kwa kuwapa mitaji??
 
Mmeponda kuhusu ukristo ili muongeze wapumbavu kwenye ule ushetani wa kukaririshwa tangu utotoni hola.......

Mkaanzisha vinyuzi vya kusifia sifia ndoa za dini yenu ni nzuri kuliko ndoa za ukristo hola.....

Mkaanzisha nyuzi za kipumbavu kuhusu kumtetea mungu wenu akidhihakiwa na yeyote mnamshushia kipigo ili kulinda dini yenu hola....

Mkaanzisha tena upumbavu wa dini yenu ndiyo inayoongoza kwa matajiri TZ bado pia mkapuuzwa.....

Kwanini msibaki na dini yenu tu muende peponi peke yenu pasipo kusumbua Watu wengine waliojichagulia maisha yao kwa hiyari zao wenyewe
Siku nyingine jaribu kuficha upumbavu wako mbele za watu wengi.usifanye kila mtu akuone una chuki moyoni
 
Back
Top Bottom