Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

African Geek

JF-Expert Member
Jul 29, 2022
781
1,356
Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini?

Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati?

Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi, ana elimu au ana ujuzi?

Je, mtu aliyejifunza fani fulani inayofundishwa chuo bila yeye kwenda chuo na akaweza kuifanya, amepata elimu au amepata ujuzi? Na aliyeenda chuo kusomea fani hiyo hiyo tuseme amepata nini?

Msomi ni nani? Anayejua nadharia au anayejua vitendo? Yaani nachanganyikiwa na sijapata majibu!
 
Yes it's possible

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
"you can't be skillful without first being knowledgeable However, you can easily be knowledgeable without being very skillful. Knowing something intellectually is a very different thing than knowing how to make practical use of knowledge." - Source: Google
 
Back
Top Bottom