elimu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanathamini madaraka kuliko elimu na ufahamu

    Watu wenye maarifa, elimu na ufahamu hawapewi kipaumbele sana hapa kwetu. Hawaheshimiwi, wala kuthaminiwa sana. Hii imekuwa moja wapo ya sababu za kurudisha maendeleo nyuma. Wapo watu waliojitolea maisha yao yote kwa ajili ya kuisaidia jamii, kwa mfano madakatari bingwa wanaotibu magonjwa ya...
  2. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Maendeleo na Elimu

    Siku ukijitambua utaelewa nilichoandika. Afrika tumekuwa program baada ya kutawaliwa, Maendeleo yametuondolea mambo yetu ya msingi (asili yetu) pia Elimu imebadilisha kila kitu chetu. Mfano mdogo.. Madawa, vyakula, imani n.k. Technology. Aliyeleta technology, lengo lake apate pesa sio...
  3. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu huku hali ni mbaya! Watoto mnawatengenezea Ulemavu

    Watoto siku hizi wamekuwa kama PUNDA kwanini Waalimu wanawabebesha watoto mabegi mazito na makubwa kuliko hata kilo zao?? Je hakuna ratiba maalumu ya masomo? Hili tatizo lipo kwa ngazi zote Msingi mpaka Sekondari. Vitu vinavyobebwa ni kama ifuatavyo 1_ Sweta 2_Chupa la maji 3_Vitabu si chini...
  4. African Geek

    JamiiForums Tanzania Niendelee na Elimu ya chuo au nijiendeleze mwenyewe mtandaoni?

    Yes
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Elimu sijaona Serikali ilichokusudia kubadilisha

    Lugha ya kufundishia inabidi kuwa kingereza lakini mmeamua kupiga siasa. Wanafunzi kufundishwa masomo kuhusu wazungu jinsi walivyowatesa it's none sense. Futeni masomo ya History wanafunzi wasome history ya Tanzania na Dunia kwa Mambo ya msingi na sio kumwambia Mtoto eti katokana nyani. So...
  7. blinder peaky

    JamiiForums Tanzania SoC03 Upeo wa Mabadiliko yenye Tija katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania

    Utangulizi Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na uwezo wa kujenga mustakabali...
  8. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Elimu inayozingatia Ukuzaji wa Umahiri

    Tunapozungumzia Elimu inayokuza umahiri kwa mtoto tunamaanisha nini?
  9. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni juu ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Je, Tunakidhi Mahitaji ya Kielimu ya Vijana Wetu?

    I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
  10. Patriot

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya sera mpya ya Elimu; Tunachezewa kama yale ya Kilimo kwa vijana

    Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe inayotoa majawabu kwa rais? Sera hii kama itapitishwa kama kawaida yetu kwa vision ndogo ya aina hii...
  11. J

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanachangia sana kushuka kwa elimu nchini

    Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu simu yao haipokelewi. Mwenye namba ya CEO wao tafadhari anisaidie

    Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa. Baada ya muda huo...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Karibu elimu, tiba na uzoefu wa kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvuka changamoto za ndoa, mahusiano na mapenzi

    Hello hello Family! Wasalaam? Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi. Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

    Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo. Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and...
  17. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Tanzania elimu ni kipaumbele cha mwisho

    Elimu ni silaha namba moja. Lakini Kwa Tanzania sio muhimu, kuna matatizo lukuki lkn watawala wanaigilolizia. Unawezaje kumuacha mzazi asilipie hata huduma za mwanae huko shuleni. Fine basi msijishauri kumhudumia huyu mwalimu, mmemtupa. Emergine mwalimu ndio anamnunulia mwanafunzi mahitaji mzaz...
  18. phael vet

    JamiiForums Tanzania Nifuate njia ipi kwa matokeo ya haya ya kidato cha nne

    Je ungepata nafasi ya kumshauri kijana huyu wa kidato cha nne mwaka jana afate njia ipi kufikia malengo yake ikiwa anapenda masomo ya science na ufaulu wake ni Div 3 ya 23 {chemistry C, Biology C, Math D, English C, History C, Kiswahili C, Physics F, Geographia D, Lit.English C }
  19. C

    JamiiForums Tanzania Elimu hailipi kama zamani, watumishi kutumia zaidi ya nusu ya mshahara kusomesha ni ukosefu wa maarifa

    Mtumishi wa kati kutumia zaid ya nusu ya mshahara wake kulipia watoto wake wa chekechea na shule za msingi ada shule za Englisha medium ni ukosefu wa maarifa ya matumizi ya pesa "lack of finance literacy", hili jambo lime fanya kuongeza umasikini miongoni mwa wa tumishi wa umma wa mishahara ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Badala wanasiasa wawaze kuongeza miundombinu ya Afya na elimu wanawaza kugawana majimbo; shame

    Wezi WA Kura mara nyingi wanakuwa wabinafsi, wanategemea kubebwa Ndipo waishi. Wapo radhi kuua ili wapate madaraka. Wapo radhi wawafunge wapinzani wao wanaokubalika ili wao wapite Bila kupingwa. Alichofanya Gambo na Tulia nikuonyesha kile wanachofikia walafi WA madaraka kwenye majimbo yenye...
Back
Top Bottom