elimu

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki, Najma Murtaza na Rose Tweve Waibana Serikali Bungeni Kutoa Elimu kwa Watanzania Wasiojua Kusoma na Kuandika

    MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA "Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  3. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini, watakiwa kufuata Sheria za Usalama barabarani

    Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea maslahi yao. Meneja wa Leseni wa Mamlaka hiyo Bwana Leo Ngowi wakati akizungumza na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wamekubali kudanganywa kwamba kuna Elimu ya bure?

    Kuna msemo kwamba, " to every decision you make there is a price to pay or consequences"! Kwamba katika kila uamuzi ufanyao kuna gharama utakazolipa au athari zitakazo jitokeza. Suala la elimu kwa watoto wetu hapa Tanzania linafanyiwa mzaha sana na wazazi walio wengi na hata viongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile. Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
  6. JamiiForums Tanzania Je, uwekezaji finyu kwenye somo la Uraia, ni nia ya kuwafanya watu wasijue haki na wajibu wao ili kuiwajibisha Serikali?

    Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto...
  7. JamiiForums Tanzania The App: Kiingereza - Hatua kwa Hatua

    Habari zenu. Jina langu ni James Munn na mimi ni mwandishi wa kozi mpya ya msingi ya Kiingereza kwa wazungumzaji wa Kiswahili, inayoitwa Kiingereza - Hatua kwa Hatua. Ninaamini kuwa katika miaka ijayo, kozi hii itachangia kwa kiasi kikubwa katika elimu nchini Tanzania. Kozi hii ni muhimu kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mkenda kuharibu Elimu Kama Waziri wa Zamani au Kuboresha? Kubadili miaka ya darasani inabadili quality ya elimu?

    Tanganyika tangu mkoloni wa kijerumani mpaka Mkoloni wa Kiingereza elimu yetu ilikuwa bora sana, watu wengi ikiwamo wazungu walikuja kusoma Tanganyika kwenye shule za St.John, St Thomas, St Jude, [Ilboru,Old Moshi, Moshi Technical, Pugu, Minaki, Ifunda] hizi zote ni shule za Wakristo kwakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Elimu: Prof. Mkenda, kituo cha Walimu (TRC) Mawenzi Moshi Manispaa wanakusanya michango kutoka kila shule bila kibali chako

    TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina kesho, tarehe 25.01.2024. Kila shule au kituo kinatakiwa kuchangia bila kukosa ni TSh. 100...
  10. JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata: Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii isiyo na uhalifu

    Mkaguzi kata Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii Isiyo na uhalifu, atoa madaftari kwa Salim. Mkaguzi Kata ya Kerege, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Suleiman Ameir amewataka wazazi wa kata hiyo iliyopo Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga Kuhakikisha watoto wanapata elimu ambayo itawakomboa kifikra...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi, usianze vibaya kuwaambia CHADEMA wanatumia miguu kufikiri. Kumbuka orodha ya mafisadi wa elimu...

    Jiepushe na siasa za majitaka....talk sense, talk substance, leta hoja zijadiliwe siyo ad hominem arguments! c&p Mafisadi wa elimu Tanzania: David Mathayo atakaswa https://facebook.com/100057608486785?__tn__=< Faustine Ndugulile 23 February 2010 · 1-min read · Shared with Public Wiki...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

    ...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwekeza Katika Elimu ya Ajira na Ujasiriamali kwa Vijana

    Ajira kwa vijana imekuwa changamoto kubwa, na ni muhimu kutoa elimu inayolenga kuwawezesha kuchagua njia bora za maendeleo. Vijana wengi wanamaliza masomo yao na kukutana na ukosefu wa ajira bila uelewa wa changamoto za soko la ajira au fursa zilizopo kwenye ujasiriamali. Serikali inaweza...
  16. JamiiForums Tanzania Kuboresha Mazingira kwa Walemavu wa Macho: Jitihada za Miundombinu, Mafunzo, na Elimu

    Inaeleweka kuwa watu wenye ulemavu wa macho wanakabiliana na changamoto nyingi wanapotembea barabarani au kushiriki katika shughuli za kila siku. Baadhi ya mapendekezo kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuboresha hali yao na kuhakikisha wanaweza kushiriki kikamilifu katika jamii: Miundombinu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu wa elimu ya vipande BOT, mtaji wa 30,000,000 Tshs unaweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka?

    Kuna wale akina sisi ambao tunaona risk kufanya biashara ambayo mazingira yake hapa kwetu hayatabiriki na hubadilika badilika. Je endapo nina 30 M Halafu nafikiria kuweka bond za BOT, je naweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka? Masharti ni yapi? Nimepiga hesabu liquid fund ya UTT...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

    Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete. Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda. Kwa mujibu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaodharau na kukebehi elimu wadhibitiwe ikibidi walipe faini

    Kumetokea mtindo kwenye social media WA KAULI tata zinazo dharau elimu. Hii inapelekea watoto kuchukulia POA swala la elimu nakufeli mitihan South Korea Japan na China isingekua elimu ungekuta ni maskini. Miaka 60 iliyopita South Korea ilikua Sawa na Tanzania South Korea ikagundua bila elimu...
  20. JamiiForums Tanzania Waliopewa hii elimu hawawezi kushindwa kujitegemea.

    Kwa kweli enzi hizo maisha yalikuwa bam bam.. unapewa maelekezo na wazazi kibabe sana.. wahenga mnakumbuka?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…