elimu

  1. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Utofauti ni mazingira tu; English Medium/Private na St. Kayumba wote wanatoa elimu mbovu

    Ukiondoa hizi international Schools ISM, Braeburn, IST, St. Constantine. Shule zilizo baki Tanzania zinatoa elimu mbovu utofauti ni mazingira ya upokeaji wa vilivyo vibovu. St. Kayumba na hizi English medium/private wote wale wale wanaendelea kutoa yale yaliyo mabovu yaliyo andaliwa na wizara...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda anafuata nyayo za Mungai ktk kuchezea elimu

    Nimefuatilia maelezo ya waziri na maafisa wengine wa wizara kuhusu mabadiliko ya mitaala ya elimu sijaona jipya zaidi ya ubabaishaji tu na kupiga posho kupitia semina uchwara. Hakuna changamoto yoyote inayowakabili wahitimu wetu itakayotatuliwa na mitaala mipya. Hoja kubwa inayosemwa kuwa ni...
  3. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Namna elimu ya chuo ya Tanzania ni kupoteza muda kwa kijana wa kitanzania hususa ni karne hii.

    Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata tamaa. Wasomi endeleeni kutafuta kazi n.k Ninajua juu ya uzi huu basi wasomi na wanazuoni wazee wa...
  4. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania SUMATRA muwe mnawapa madereva na makondakta elimu ya huduma kwa wateja

    Madareva na makondakta wengi hawana customer care kwa abiria yani si unapoingia kwenye gari wal inapoharibika wanakaa kimya tu wakati wanatakiwa kumwambia abiria samahani gari imeharibika lakini tunafanya jitihada za matengenezo ili tuendelee na safari. Wao wanakaa kimya tu abiria ndiyo...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TPF NET Arusha yasema elimu zaidi itamaliza vitendo vya ukatili

    Mtaandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha umesema elimu Zaidi itasaidia kuibadilisha jamii ya watanzania katika kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyotokea katika maeneo tofauti tofauti huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa elimu ili kubadilisha fikra potofu kwa wananchi. Kauli hiyo...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha unga sera na mitaala ya elimu 2023

    Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika. Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu. Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Elimu bure bado ghali kwa badhi ya wazazi, baadhi ya Wazazi Washindwa kupeleka watoto shule

    Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi. Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya sera mpya ya elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 hii hapa

    Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili. Nini maoni yako?
  9. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana kuwa Sera ya Elimu bure imefutwa

    Maafisa elimu mkoa, mpaka Wilaya hawana majibu, Wakurugenzi wa Halmashauri hawana majibu, wakuu wa mikoa mpaka wilaya hawana majibu, makatibu tawala hawana majibu, wabunge hawana majibu, zaidi ya tetesi kuwa serikali ipo kwenye mpango mwakani turudi kwenye elimu ya kulipia hii ni kutokana na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania CHINA wana viwanda vya kumwaga, wanatengeneza kila kitu ila bado Graduates hawapati ajira. Elimu ya chuo kikuu ni SCAM, degree hazina dili

    habari wadau. nimeona BBC article kuhusu soko la ajira la china. nimejifunza zama hizi kumsomesha mtoto chuo kikuu tena digrii zisizo za skills based, kama ufundi ni kuchezea hela. kuna siku mwanao atakulaumu kwa mnaojua kiingereza ama kizungu. mjisomee na nyinyi With Graduate Jobs Scarce...
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Naomba nijibiwe swali langu. Mtaala mpya wa elimu somo la dini

    Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
  12. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

    Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa, Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada. Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa Elimu 2023 (Kidato V na VI): Tahasusi zafutwa, nyingine kama HGFa, KArCh, KTeFi zaongezwa

    Katika Mtaala wa Elimu wa Kidato cha V na VI 2023 umefanya mabadiliko ya Tahasusi ambapo Tahasusi katika Kidato cha V na VI zimegawanywa katika maeneo saba ya ujifunzaji ya Sayansi ya Jamii, Lugha, Elimu ya Biashara, Sayansi, Michezo, Sanaa na Elimu ya Dini. Idadi na aina ya tahasusi zitapitiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Wizara ya Elimu; Walimu wa hisabati shule za msingi hawapo

    Uhakika wa uchunguzi uliofanywa ktk shule za mkoa wa Dar es salaam ulio na walimu wengi umeibua chanzo kikubwa cha kufeli kwa wanafunzi somo la hisabati katika matokeo ya mtihani wa taifa kuwa ni uhaba mkubwa Sana wa walimu wa somo la hisabati ambapo walimu karibia wote wanaofundisha somo la...
  15. pefla

    JamiiForums Tanzania Elimu ilifia Chuo Kikuu au ilizikwa chuo kikuu?

    ELIMU ILIFIA CHUO KIKUU au ILIZIKWA CHUO KIKUU? Imeandikwa na ASKOFU BAGONZA Mzee Jenerali Ulimwengu kasema vyuo vikuu vyetu ni kama Extended High School. Anayebishi anitafute. Sababu ni nyingi kama idadi ya wajinga wetu waliosoma vyuo vikuu. 1. Tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja, tulifuta...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahafidhina wengi huwa maskini na wenye elimu haitoshi?

    Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali? Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CВЕ 21 Novemba, 2023, DODOMA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Viongozi wa Elimu watakiwa kupandisha kiwango cha uandikishaji wa Wanafunzi

    Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoa wa Katavi wametakiwa kuhakikisha kila mtoto mwenye sifa za kuanza darasa la kwanza anaandikishwa haraka ili aweze kuanza masomo Januari 2024. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf wakati akimwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Katavi wakati wa kikao...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongeza Bilioni 654 bajeti Mikopo Elimu ya Juu

    "Mikopo ni fedha. Tangu shughuli ya kukopesha fedha imeanza miaka 19-20 takriban Tril.7. 3 zimewekezwa. Huu unaitwa ni uwekezaji wa Serikali katika rasilimali watu. Na wanufaika Laki Saba wamepata mikopo. "Katika miaka Mitano au Sita kuanzia 2020-21 kiasi cha bajeti kilichopitishwa ni Bil. 464...
  20. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa familia: Wazazi tunaopenda elimu ya kujitambua tupeane mbinu

    Nawasalimia nyote katika jina la Nguvu Kuu iletayo uzima na kifo. Hoja yangu ni mbinu za nyakati hizi kuwafanya watoto wetu wapanue uwezo wa kujitambua na kujitegemea katika kukabiliana na dunia ya sasa. Hapa naongelea wazazi wanaojua hasa nini maana ya kulea. Wanaotafsiri upendo...
Back
Top Bottom