elimu

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Historia ya Elimu ya Chenge kwenye website ya bunge ina walakini

    Andrew Chenge ni mzee anayefahamika kwa wanaofuatilia siasa nchini. Video yake ya hivi karibuni ambayo alikuwa anamuuliza kijana mmoja kama amesoma imenifanya nimtafute huko bungeni ana elimu. Elimu yake imeanza kwa kuweka elimu ya msingi (CPEE) ila ghafla imeenda kwenye elimu ya sekondary ya...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafuatao siwezi kuwashauri kitu kingine zaidi ya kuwataka warudi shule na kuongeza elimu.

    1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule. 2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni...
  3. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa wasanii wa Bongo

    ELIMU KWA WASANII WA BONGO Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kipindi cha harakati ya kugombania uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu. Nukuu ya Mwalimu ilisema, "Hakika vita vya sasa sio vya mashoka wala upindi na mshale... Msishangae ndugu zangu, najua mnajiuliza...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Taasisi zetu za elimu hazina michango ya kimawazo juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa

    Taasisi za elimu ya juu miaka ya nyuma nakumbuka ziliweza kutoa mawazo na michango ya kimawazo juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa na yaliweza kusikilizwa na kufanyiwa kazi na serikali kwa niaba ya Watanzania ambao hawajapata elimu kubwa. Imekuaje kwa vyuo vyetu vya wakati huu. Au cku hizi...
  5. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Kupunguza Elimu ya Msingi kuwa darasa la sita sio suluhisho la ukosefu wa ajira, tengenezeni sera ya elimu inayogusa soko moja kwa moja

    Mifumo ya elimu Chuo Kikuu bado inaendeleza elimu ya kukariri kile mwalimu anachosema na sio kumuandaa kijana kujiajiri baada ya kumaliza Chuo kikuu. In fact, Soko la Ajira limesha dorora, Soko limejaa wateja wengi kuliko wanunuzi. Watu wa Uchumi mtuambie hii inaashiria nini.🤷 Wadau...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Elimu siyo vyeti!

    Nijuavyo, kuna namna mbili za kujifunza: ~ Informational learning! ~ Transformational learning! INFORMATIONAL LEARNING huhusisha kufundishwa. Ndiyo mfumo unaotumika shuleni. Lakini TRANSFORMATIONAL LEARNING hutokea kwa jitihada binafsi za mtu. Mara nyingi, matokeo ya maarifa yapatikanayo kwa...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Huduma za serikali zilizopo mipakani ni rahisi wasio raia kufaidika mfano elimu

    Nikweli kabisa mipakani kuna muingiliano mkubwa na muingiliano kwenye mipaka kuna jamii na vijiji vinavyo kuwepo vikipata huduma za serikali kama shule ,matibabu na n.k. jambo ambalo linaweza kumpa mtu fursa kupenya haraka ni ili swala la elimu kuanzia shule ya msingi pale wanafunzi kutoka...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunaanzisha Elimu kuhusu madhara ya Akili Mnemba (AI)

    Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Eng. Kundo A. Mathew amesema Serikali inapanga kuanza kutoa Elimu kuhusu athari za Akili Unde (AI) kwa watumiaji wake pamoja na kuandaa Sera zinatakazosimamia Teknolojia hiyo.
  10. Mpendwa

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na Afisa Elimu

    Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu. Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi. Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnaosimamia elimu tumienzi Lowasa tukijiuliza yeye aliwezaje kwenye elimu nyie mnashindwaje kwenye elimu

    Kifo cha lowasa kimeibua mijadala ya mazuri yake na mabaya yake katika safari yake ya maisha katika siasa zake, uzuri wa siye wabantu marehemu asemwi kwa mabaya ni mwiko marehemu anasemwa kwa mazuri tu hata kama mabaya yapo basi mnatasemea gizani Kuna jambo zuri kuhusu marehemu linasemwa la...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Jitihada zinahitajika kutoa elimu ya magonjwa yasioambukiza

    Bohari ya Dawa (MSD) imeshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo ulioandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na kuwakutanisha Madaktari Bingwa, wataalam na wadau wa afya, wauguzi na watunga sera kutoka mataifa zaidi ya 40 Duniani kwa lengo la kujadiliana na kubadilishana uzoefu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  14. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Wazazi wazembe wanatoa Elimu kama Urithi, Sheria ya Mirathi inakataa Elimu sio Urithi, Biblia inataka baba kuacha Urithi

    tunaanza na mistari ya biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana” NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA. Elimu ya Mzungu...
  15. conductor

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University, Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku-assess wanafunzi field lakini halipwi

    Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka? Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal tour yaongeza Watalii TAWA, Yatekeleza Miradi 6 kwa upande wa Elimu

    TAWA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE. RAIS SAMIA WILAYANI SERENGETI, YAGUSA MAISHA YA WANANCHI - DKT. VINCENT MASHINJI Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara na kazi za PCCB Tanzania zipoje kwa elimu ya form VI

    ni kwann pccb wanalipwa hela nyingi sana
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki, Najma Murtaza na Rose Tweve Waibana Serikali Bungeni Kutoa Elimu kwa Watanzania Wasiojua Kusoma na Kuandika

    MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA "Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
  19. Mtewele isaya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini, watakiwa kufuata Sheria za Usalama barabarani

    Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea maslahi yao. Meneja wa Leseni wa Mamlaka hiyo Bwana Leo Ngowi wakati akizungumza na...
Back
Top Bottom