elimu

  1. JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata: Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii isiyo na uhalifu

    Mkaguzi kata Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii Isiyo na uhalifu, atoa madaftari kwa Salim. Mkaguzi Kata ya Kerege, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Suleiman Ameir amewataka wazazi wa kata hiyo iliyopo Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga Kuhakikisha watoto wanapata elimu ambayo itawakomboa kifikra...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi, usianze vibaya kuwaambia CHADEMA wanatumia miguu kufikiri. Kumbuka orodha ya mafisadi wa elimu...

    Jiepushe na siasa za majitaka....talk sense, talk substance, leta hoja zijadiliwe siyo ad hominem arguments! c&p Mafisadi wa elimu Tanzania: David Mathayo atakaswa https://facebook.com/100057608486785?__tn__=< Faustine Ndugulile 23 February 2010 · 1-min read · Shared with Public Wiki...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

    ...
  6. JamiiForums Tanzania Kuwekeza Katika Elimu ya Ajira na Ujasiriamali kwa Vijana

    Ajira kwa vijana imekuwa changamoto kubwa, na ni muhimu kutoa elimu inayolenga kuwawezesha kuchagua njia bora za maendeleo. Vijana wengi wanamaliza masomo yao na kukutana na ukosefu wa ajira bila uelewa wa changamoto za soko la ajira au fursa zilizopo kwenye ujasiriamali. Serikali inaweza...
  7. JamiiForums Tanzania Kuboresha Mazingira kwa Walemavu wa Macho: Jitihada za Miundombinu, Mafunzo, na Elimu

    Inaeleweka kuwa watu wenye ulemavu wa macho wanakabiliana na changamoto nyingi wanapotembea barabarani au kushiriki katika shughuli za kila siku. Baadhi ya mapendekezo kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuboresha hali yao na kuhakikisha wanaweza kushiriki kikamilifu katika jamii: Miundombinu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu wa elimu ya vipande BOT, mtaji wa 30,000,000 Tshs unaweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka?

    Kuna wale akina sisi ambao tunaona risk kufanya biashara ambayo mazingira yake hapa kwetu hayatabiriki na hubadilika badilika. Je endapo nina 30 M Halafu nafikiria kuweka bond za BOT, je naweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka? Masharti ni yapi? Nimepiga hesabu liquid fund ya UTT...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

    Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete. Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda. Kwa mujibu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaodharau na kukebehi elimu wadhibitiwe ikibidi walipe faini

    Kumetokea mtindo kwenye social media WA KAULI tata zinazo dharau elimu. Hii inapelekea watoto kuchukulia POA swala la elimu nakufeli mitihan South Korea Japan na China isingekua elimu ungekuta ni maskini. Miaka 60 iliyopita South Korea ilikua Sawa na Tanzania South Korea ikagundua bila elimu...
  11. JamiiForums Tanzania Waliopewa hii elimu hawawezi kushindwa kujitegemea.

    Kwa kweli enzi hizo maisha yalikuwa bam bam.. unapewa maelekezo na wazazi kibabe sana.. wahenga mnakumbuka?
  12. JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa ya kuporomoka kwa elimu ya juu, Serikali sababu yangu izingatieni

    Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Farhan Jr kauliza kwanini elimu ya sasa imepungua mvuto? Majibu aliyo pewa, wanaosomesha English Mediums hawatayafurahia👇

    Bwana mdogo Farhan Jr kupitia ukurasa wake wa instagram alianza kwa kuuliza swali kama ifuatavyo 👇
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku shule kuweka michango ya lazima ambayo inawanyima Watoto kwenda shule. Pia Soma: - Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani - Malalamiko yaendelea kuhusu malipo...
  15. JamiiForums Tanzania Maafisa Elimu Watoa Milioni 20 kwa Waathirika wa Mafuriko ya Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi Sh.Milioni 20 kwa Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe.Jenista Mhagama kutoka kwa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mkoa na Halmashauri zote nchini kwa ajili ya waathirika wa...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu ya juu inakuzwa sana kuliko uhalisia kwenye biashara. Elimu ya form 4 inatosha sana kwenye biashara za Tanzania

    Kwanza kabisa huwa nawashangaa wanaopiga kelele kuhusu mtu asome mpaka chuo ili aweze kufanya biashara wakati wanachuo hao wapo bize kutafuta ajira na wakizipata wanaridhika na mishahara. Na hata wasomi wanaofanya biashara wengi wao wanafanya biashara hizi hizi wanazofanya watu walioshia darasa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

    Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe. Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina. Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
  19. JamiiForums Tanzania kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watoto zaidi ya 3,000 wapewa Elimu ya Ukatili wa Kijinsia, utoaji wa taarifa za uhalifu na matumizi ya barabara

    Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga ambaye pia ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin Kuzaga katika kilele cha Kongamano la Utoto Mtakatifu Jimbo la Mbeya lililofanyika Kanisa la Hija...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…