elimu

  1. JamiiForums Tanzania Kutoka "elimu elimu elimu" mpaka "ajira ajira ajira"

    Ajenda kuu mwaka huu iwe ni suala la ajira watanzania tujiulize nani ana sera nzuri za kuwapa watoto wa wenye Nchi ajira ili nao wafike mahali pazuri kama ambavyo na wenyewe walipata ajira wakafikia hizo nafasi kubwa kubwa. Tuache Kwanza habari za nyongeza ya mshahara kwa watumishi tujue...
  2. JamiiForums Tanzania Amon Mpenja, sio dhambi kwa asasi za kiraia kutoa elimu kwa mpiga kura wa Tanzania

    Kumekucha mapambano yanaendelea . mapambano kati ya wapenda haki na usawa na wasiopenda haki. Nimekusikia bwana Amoni Mpenja, Naibu katibu mkuu wizara ya sharia kupitia ITV ukisema ni marufuku kwa asasi za kiraia na NGO kutoa elimu kwa mpigakura wa Tanzania. Tena ukasema utazifuta milele na...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu zimulike school buses, Watoto wako hatarini kupata maambukizi

    Baada ya mashule kufungwa kupisha corona ipite zile Gari za kubeba wanafunzi maarufu kama school nyingi zilipaki majumbani, lakini baada ya mashule kufunguliwa wamiliki wa mashule wameamua kutumia mabasi machache kubana matumizi matokeo yake ni watoto kubanana sana mpaka wengine kukaa chini...
  4. JamiiForums Tanzania Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

    ...
  5. JamiiForums Tanzania Bora kutumia akili ya kuzaliwa nayo kuliko Elimu ya makaratasi

    Ni miaka imepita tangu nihitimu hii elimu ya makaratasi nimegundua kumbe ilikuwa mahususi kwa kuajiriwa na kunifanya niwe mtumwa wa kazi za wengine. Serikali Mungu anawaona mumeandaa mtaala wa kutumia muda mwingi shuleni, jamii nayo ikaaminishwa kuwa kusoma na kupata vyeti ndiyo kufanikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwako bwana Amon Mpenja: Sio Kosa kwa asasi zinazotoa misaada ya kisheria kutoa elimu kwa wapiga

    Ndugu wanajanvi, Nimemsikia naibu katibu mkuu wizara ya sharia na mambo ya katiba bwana Amon Mpenja akiyaasa mashirika ya kiraiya yanayotoa misaada ya kisheria yaache kutoa elimu kwa wapiga kura sijui kosa liko wapi. Haya yanakuja huku serikali ikiwa imeyabana na kuyanyima fursa ya kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

    Watoto wanaumia sana na hii ratiba hasa kwa mazingira ya shule zetu watoto wanafika majumbani saa mbili hadi saa tatu usiku ukiwauliza wanadai foleni mara daladala zinasumbua Hebu Serikali mlione hili hata kama ndio kusoma hapana
  8. JamiiForums Tanzania Bora Elimu: Kwa njaa ya masaa 20, mtoto atafundishika darasani?

    Mtoto anakula usiku saa 2 analala, asubuhi anawahi shule saa 1 anakaa shuleni hapo hadi saa 10 alasiri bila kula, kwa njaa hiyo ya masaa 20, atafundishika? Inaumiza Mwalimu anafundisha mtoto mwenye njaa anayesinzia darasani huku akijua mtoto huyo hamwelewi badala yake anaugulia njaa.
  9. JamiiForums Tanzania Tuwafundishe watoto wetu kutembelea tovuti hizi ziwasaidie katika elimu

    Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Elimu na IGP kuhusu kukatwa posho za ulinzi wa mitihani strong Room kuwalipa ma OCD

    Mhe. Waziri wa Elimu na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, naomba ufafanuzi natumai mnasoma swali hili, ni kwamba inapofika wakati wa Mitihani ya Form 6 na Form 4 Askari huwa ni walinzi pale Strong Room yalipo Mitihani, na huwa wanapewa posho kwa ajili ya ulinzi huo, sasa imeanza kuwa desturi au...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri wa Elimu kusikia malalamiko yangu niliyoyaweka JF japo walimu walinishambulia

    Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf. Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za...
  13. JamiiForums Tanzania Huenda wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu waliokaa na madeni kwa muda mrefu kupatiwa mwarobaini wake

    Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa mkuu wa chuo DIT na waziri wa Elimu Prof. Ndalichako

    Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali yetu chini ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli ambae anapambana usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga kwa kasi usiku na mchana. Pili niwapongeze baadhi ya watendaji wake akiwemo waziri wa Elimu Prof Ndalichako kwa kuendana na kasi ya Rais wetu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais wa kwanza ambaye ni zao la mfumo wetu wa elimu kwa 100%

    Ndiye Rais pekee wa Tanzania ambaye amepata elimu yake yote katika Tanzania huru kwa mfumo wa elimu wa Tanzania katika hatua zote. Waliomtangulia wote walipitia mfumo wa elimu ya kikoloni kwa hatua mbalimbali. Hongera kubwa sana ni kwa Mwalimu Nyerere ambaye alisoma katika mfumo wa elimu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

    Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada maswala ya Mikopo Elimu ya Juu

    Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa sababu niliuifadhi lakini haikua hivyo, nilipo riport loan board walinizngusha. Je, nikiapply tena...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu izibadilishe shule za msingi za Serikali ziwe English Medium. Soko kubwa sana, Serikali ipate hela ya ada yanayovunwa na watu binafsi

    Habari wadau Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana. Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli ya kasi uende sanjari na utoaji wa elimu ya matumizi yake sahihi

    Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea kufunguliwa kwa shule nchini elimu ya kujikinga na COVID 19, misaada yatolewa

    Kuelekea kufunguliwa kwa shule nchini elimu ya kujikinga na COVID 19, misaada yatolewa SHIRIKA lisilo la kiserikali la kutetea Hakiza wanawake na watoto la Kivulini mkoani Mwanza limeanza kampeni maalumu ya kutoa elimu na msaada wa vifaa kinga kwa shule za msingi na Sekondari. Msaada utatolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…