elimu

  1. JamiiForums Tanzania Wayahudi wanavyojipenyeza wizara za elimu duniani kufuta kutajwa vibaya

    Saudi Arabia imechapisha upya vitabu vyote vya shule za nchi hiyo na kuondoa vipengele vilivyokuwa vikiwataja kwa ubaya Wayahudi pamoja na Wakristo. Baadhi ya vipengele hivyo ni kama vile utabiri wa kuzuka vita hapo baadae ambapo waislamu watawapiga vibaya mayahudi na kuwashinda. Kipengele...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Elimu ya Uvumilivu hasa wa Kimapenzi (Kimahusiano) kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama iwe ni lazima

    Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni. Kutoka: Habari Star TV Tanzania
  3. JamiiForums Tanzania TCRA achieni Twitter yetu! Tunaojitambua tunaihitaji kwa elimu yetu

    Tuko mikoani tukilamba x-mas yetu lakini tunataka kuwa connected na dunia. Tangu iliposikika kwamba kuna video ya ngono ya wanasiasa wawili, twitter haiko hewani. Tunahangaika kupitia njia za panya ili kuwasiliana na kusoma mambo ya muhimu. Hii kufunga funga itaendelea hadi lini wakati kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kwa Wanaotaka Kusoma vyuo vikuu Bora nje ya nchi.

    Habari! Kwa wale wanaotaka kusoma vyuo vikuu nje ya nchi naweza kuwasaidia hatua zote, iwe Ulaya, Asia au Marekani. Pia tunatoa ushauri wa vyuo bora, gharama na tunakusaidia kila hatua. Tunakuwa pamoja na wewe mpaka utakapomaliza chuo, Pia tunakuunhanisha na wenyeji. Tumesajiliwa kisheria...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Ramadhani Ighondu aendeleza mkakati wa kunusuru Elimu jimboni

    Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii. Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mfumo/sera ya elimu ya sasa ndio chanzo cha tatizo la madarasa na matatizo mengine

    Sera ya sasa ya elimu na mafunzo inayolenga kutoa elimu ya msingi kwa wote "Universal Primary Education For All" ni sera mbovu inayozalisha matatizo nchini. Awali, sera ya elimu ililenga kutoa elimu ya msingi kwa kila mtoto kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la saba. Baadae mfumo na sera ya...
  7. JamiiForums Tanzania Inter transfer for university

    Nimeandika barua ya transfer chuo na nmefata procedure zote za TCU lakin jina langu la waliochaguliwa na chuo husika halipo. Naomben msaada nini cha kufanya.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tusipobadili mfumo wa Elimu, kila mwaka tutajenga madarasa hadi viwanja viishe!

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo. Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu. Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mwanasheria Kabudi tusaidie, toa Elimu ya Haki yetu Kisheria

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa, Wilaya au mtu yoyote yule apige viboko Mtanzania mwingine ? Nani anampa hiyo haki, kwa Sheria gani ? Waziri Kabudi tuokoe hapa kujua haki zetu, Mkuu wa Mkoa akinipiga kibogo niende wapi kushitaki ? Tafadhali Waziri Kabudi ongea na mshua, tunadhalilishwa sana na weusi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Serikali pitieni upya Sera ya 'Elimu Bure', ikiwezekana ifutwe kabisa

    Ingawa ni jambo jema kwa serikali kutoa elimu bure ili kusaidia watoto watokao kaya maskini kupata elimu ya msingi lakini huu mpango unafaa kuangaliwa upya kwa sababu utekelezaji wake una hasara nyingi kuliko faida. Hasara ya kwanza: Tangu kuanzishwa kwa sera ya elimu bure, serikali imeshindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli. Niende sasa kwenye mada yangu lengo kubwa ni kutaka kujua hivi unajua kwamba Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino Zainab Kishegwe...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pesa za Umma sababu ya Raia kukosa elimu husika

    Jana tarehe 14-12-2020 nilisafari kwa basi dogo maarufu kama Coaster kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma muda ukiwa umeenda kidogo kwa sababu nilikuwa na ratiba ngumu iliyopelekea kusafiri usiku. Tulisfiri kwa tabu kidogo kwa sababu coaster tuliyopanda Mbezi mwisho ilipofika Morogoro ilitufaulisha...
  13. JamiiForums Tanzania Network marketing (biashara mtandao), sekta muhimu kwa uchumi ambayo inahitaji kutolewa elimu na kutungiwa sera

    WTF
  14. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Afrika

    Msikilize kwa umakini. Maoni yako ni nini?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunaomba utusaidie walimu DIT hatujalipwa tangu Juni

    Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa. Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester...
  16. JamiiForums Tanzania Muda wa kutumia elimu zetu umefika, twendeni!

    MATUNDA YA DEGREE ZETU NI MUDA KUYAONYESHA. Na, Robert Heriel Nafikiri huu ndio wakati uliosubiriwa kwa kipindi kirefu, wakati wa kuliinua taifa hili katika nyanja zote za maisha, kiuchumi, kijamii, kisiasa, na kiutamaduni. Kama taifa hatuwezi kufikiri jambo moja wakati wote, kufikiri jambo...
  17. JamiiForums Tanzania Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Maelezo kwa kifupi ya jinsi ya kuanzisha chuo cha elimu ya ufundi stadi nchini

    MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI 1 Utangulizi Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2006 kwa lengo la kusimamia, kuratibu na kuendesha elimu na mafunzo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

    WanaJF, Salaam! Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume mwenye elimu yake anayeweza kuoa mwanamke ambaye hajasoma?

    Mambo mengi mda mchache... Naombeni kuuliza hivi mwanaume ambaye mwenye elimu ya u Dkt. Engineering, Prof. akaoa mwanamke ambaye hana elimu yoyote yaani hajaenda shule hata kaenda alifeli darasa la nne na kurudi zake nyumbani huyu mwanaume yupo? Na je watoto watakuja kurithi akili za baba yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…