elimu

  1. JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu yetu

    Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari). Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha umasikini hasa kwa wahitimu wanaotoka kwenye familia duni?
  2. JamiiForums Tanzania Likizo Geresha ya Pasaka

    Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada". Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani...
  3. JamiiForums Tanzania Elimu bure iondolewe, watu waanze kulipa Ada

    ELIMU BURE IONDOLEWE, WATU WAANZE KULIPA ADA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Hakunaga kitu cha bure kikawa na thamani, sijawahi kuona popote pale tangu nimezaliwa; hivyo ndivyo naweza anza makala hii. Kitu cha thamani lazima kigharamiwe, na uthamani wa kitu upo kwenye gharama. Kusema elimu iwe...
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuipa hadhi Elimu, Wakuu wa Idara na Taasisi wawe na elimu kuzidi wafanyakazi walio chini yao.

    Unapoongoza watu ambao wanakuzidi elimu kuna changamoto yake, unakuwa hujiamini, unakuwa mwoga na hatimaye kushindwa kufanya maamzi sahihi. Ifike mahala wafanyakazi waliojiendeleza kielimu wapewe ukuu wa idara. Mfano: 1- Walimu Wakuu wa shule za musingi wawe na elimu ya degree, wenye degree...
  6. JamiiForums Tanzania Kenya Abdallah Hassan, Katibu Mkuu wa kwanza Muislam Wizara ya Elimu, amefariki

    KENYA ABDALLAH HASSAN KATIBU MKUU WA KWANZA MUISLAM WIZARA YA ELIMU AMEFARIKI Kenya Abdallah Hassan nimemfahamu toka utoto wangu Moshi katika miaka ya 1960. Siku hizo mimi nikiwa shule ya msingi madarasa ya chini sana yeye alikuwa Mawenzi Secondary School. Kenya alikwenda Makerere, Uganda...
  7. JamiiForums Tanzania DC wa Temeke, Godwin Gondwe hayuko sahihi katika kufukuza wanafunzi, watu wa haki za watoto na Haki Elimu nategemea sauti yenu katika hili

    Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi. Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Uhamiaji Tarime mnajua kuhusu hili?

    Wasalaam, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika? Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule inayotoa Elimu ya Watu wenye mahitaji Maalumu Mwanza

    Habari wakuu! Naomba kujua shule ya serikali nzuri ya msingi inayofundisha wanafunzi wenye ulemalevu wa akili Mkoa wa Mwanza. Ikiwa ya boarding itapendeza zaidi. Asanteni.
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu akipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kuanza kutoa Scholarship kwa vipanga wanaofanya vizuri Mitihani ya Sayansi Kidato cha Sita

    Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky. Although there are...
  11. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu aliwahi kuniambia, asilimia kubwa ya wahitimu wa elimu ya juu wanaohudhuria "Graduation Ceremony" ni wale wenye GPA za chini. Is he right?

    Habari za muda huu watanzania wa humu JamiiForums. Mdogo wangu aliwahi kuniambia, asilimia kubwa ya wahitimu wa elimu ya juu wanaohudhuria "Graduation Ceremony" ni wale wenye GPA za chini. Was he right? Mwaka wa 2017 nilipata fursa ya kuhudhuria mahafali ya wahitimu wa elimu ya juu pale chuo...
  12. JamiiForums Tanzania Elimu yako ni kwa ajili ya kufaidika wewe na si jamii

    Elimu uliyonayo sio kwa ajili ya kusaidia jamii, asije akakwambia mtu 'umemaliza elimu yako sasa itumie kusaidia jamii' mambo hayaendi kwa namna hii. In capitalist era, kitu chochote utachofanya hakikisha kinakufaidisha wewe mara zote angalia mazingira yatakufaidisha vipi wewe na si mwengine au...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Elimu Diploma (Animal Health and Production)

    Habarini za humu ndugu zangu, Naitwa Deus graduate wa diploma ya udactari wa mifugo (Ordinary diploma in animal health and production), nimehitimu mwaka 2019 katika chuo cha mifugo LITA TENGERU ARUSHA (Livestock training agency- TENGERU). Baada ya hapo nimekuwa nikijitolea kutibu mifugo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kipi kinachozingatiwa na Wizara ya Elimu kwenye kubadili mitaala ya vitabu?

    Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa? Sadiki na Chitemo Bwana Sikuelewi Muwa uliozamisha meli Hawafu mwenye nguvu Muwa uliozamisha meli KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya Sasa ni siasa au inaendana na wakati wetu wa sasa?

    Wananchi Wilayani Kasulu mkoani Kigoma wanaendelea kuchangishwa Madawati mashuleni, baadhi ya wananchi wenye wanafunzi katika shule ya Msingi kidyakidyama wilayani Kasulu wamesema nini maana ya Elimu bure huku wengine wakidai ni wajibu wao. Mimi nashauri pengine neno Elimu bure libadilishwe...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa na imani?

    Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani. Yaani vyote vilikuwa vya kishenzi. Mtoto wa Mchungaji sielewi.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    Hello, Ninatafuta Ajira
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, familia, ukoo au kabila likiendelea kuwekeza kwenye elimu kwa lengo la kazi, basi mbeleni kuna anguko kubwa

    Sote ni mashahidi wadau. Zamani familia au ukoo au kabila likikazania elimu kwa lengo la kuoata mafanikio kupitia elimu njia ilikuwa imenyooka kabisa. Kuna hata makabila fani akili za darasani ziliwabeba kweli na kurundikana kwenye vitengo kwasbababu walikuwa na vyeti na sifa. Ila kwa hali...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ununuzi wa ndege siyo kipaumbele sahihi kwa nchi yetu zaidi ya Elimu, Afya na Miundombinu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu. Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
  20. JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana Wizara ya Elimu, Wizara ya Afya, TAMISEMI, Wizara ya Habari na Wizara ya vijana kwa tangazo hili

    Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni. Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…