Ubora wa elimu yetu

captain 21

JF-Expert Member
Mar 27, 2021
583
1,181
Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari).

Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha umasikini hasa kwa wahitimu wanaotoka kwenye familia duni?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom