Tanzania imetajwa kung'ara katika utalii wa tiba kutokana na watu kutoka nchi mbalim- bali zikiwamo za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kujitokeza kwa wingi kupata matibabu ya kibingwa kwa magonjwa tofauti hususani moyo, mifupa na saratani.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema tangu Julai...