Kenya yaziruka nchi Wanachama wa EAC na kusaini mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya uliokuwa unalalamikiwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,100
49,795
Rais wa Kenya William Ruto amesaini Mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya licha ya kwamba Mkataba huo ulikuwa unapingwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika Mashariki Toka 2016.

========

Kenya has signed one of the most ambitious trade deals between the European Union and any African country, unlocking immediate duty-free quota-free access for all her exports to the 27-member bloc while gradually lowering import duty for goods from Europe.

Nairobi and the European Commission on Monday agreed to implement the Economic Partnership Agreement (EPA) between the EU and the East African Community reached in October 2014 subject to approval by respective parliaments.

The implementation of the treaty, which Kenya signed and ratified in 2016, had stalled after the other EAC countries declined to endorse it.

Rwanda signed but did not ratify the EPA, while Tanzania and Uganda refused to approve the treaty for various economic and political interests, including the fear of European goods flooding the market.

Nairobi was forced to enter into a temporary special arrangement with the EU to allow duty-and quota-free entry of Kenyan goods ahead of the January 2017 deadline set by the EU.

The other EAC countries were shielded from higher tariffs on exports under the "everything but arms" trade arrangement, regardless of the EPA, which is provided for under World Trade Organisation’s (WTO’s) special and differential treatment (S&D) because they are least-developed countries (LDCs).

Kenya and the EU have, however, used the window opened by the EAC Heads of State Summit in February 2021 to sign the deal bilaterally and leave room for other EAC countries to join in future.

This is unlike the past when all EAC member states were required to sign and ratify the EPA with the EU for it to come into force.

“We want rapid and judicious conclusion [to the EPA deal] because we believe multilateralism is the way to go. There was no dispute, no variance by either Kenya or European Union,” Trade Cabinet Secretary Moses Kuria said, pledging to mobilise lawmakers to approve the deal.

“Protectionism has got no place in modern-day economy.”

The EAC-EU EPA, which the two parties have agreed to implement bilaterally, requires Nairobi to gradually open up to imports from Europe with a deadline of 25 years.

The deal, however, has a clause that bars the EU from applying subsidies to agricultural exports in the absence of deepened policy dialogue to safeguard agriculture and food security in the EAC region.

“We are looking at it in two ways. That we will enhance our exports because we now have an assured predictable market, but also we are negotiating because Kenya is now working on our manufacturing capacity,” President William Ruto, who witnessed the signing at State House, said. “Most of the products we export today, including tea and coffee, we now have to take them through the process of value addition, processing and manufacturing so that we can export finished products, we can derive more value and we can put more money in our farmers' pockets.”

Trade between Kenya and the EU bloc was yet to return to pre-Covid levels by the end of 2022.

Kenya exported goods worth Sh133.18 billion to the EU countries last year, while buying merchandise valued at Sh202.22 billion, according to the Kenya National Bureau of Statistics.

The EU remains Kenya’s largest destination for cut flowers and other horticultural produce, accounting for about 70 percent share.

“This Agreement considers our different stages of development. Kenya’s exports to the EU will be tariff-free from day one, while tariffs on EU exports will be liberalised over time and not on all products,” European Commission executive vice-president and EU commissioner for Trade, Valdis Dombrovskis, said in a statement.

“This agreement reflects our shared ambition to underpin our economic relations with strong protection of the environment and climate, labour rights and gender equality. We will work together with Kenya to meet global sustainability challenges and offer our support in this regard.”

The EU becomes the second party that Kenya has reached a deal to bilaterally enforce the EAC-EU pact after inking a similar arrangement with the UK in December in December 2020 before the latter left the EU bloc.

Business Daily Africa

======

My Take: Kwa mwendo huu ,Haina haja ya Kuwa na EAC, kila Nchi ikomae kivyake na bidhaa zitakazotoka Ulaya zipigwe ushuru wa Kutosha kabla ya kuvuka Mipaka.
 
Kaona tumeyashtukia mapandikizi yao kina Mbowe na Lissu hivyo kaona aanze kujitenga mapema maana kwa movie tuliomfanyia safari hii hadi kashindwa ku sabotage mkataba wetu na Dubai anajua Bandari zake zinaenda kufa siku si nyingi
Lakini anafanya vibaya maana inatishia ustawu wa Uchumi Wetu.
 
Tuko m

Tuko macho sana kiuchumi saivi. Acha aendelee kupambana na hali yake.

SGR kusini, SGR Dar- Burundi- Congo, tukimaliza tunarudi kuboresha TAZARA kuanzia Dar- Zambia- Lubumbashi alafu inapigwa SGR hadi bandari ya Kalema huku Bandari ile tunamweka DP World. Congo Mashariki yote tunakamata aisome namba vizuri
 
Nyinyi kutokukubali kusign ilikua inatuaffect sisi zaidi kuwashinda kwa kuwa tupo ranked middle class kwahivo hatukuwa na preferential treatment wakati tunaexport bidhaa bara ulaya. Nchi zilizopo LDC kama nyinyi hazilipii tariff wakati zinaexport bidhaa ulaya. Ni uhuni mkubwa kutarajia kenya iendelee kuumia pekee yake wakati nyinyi hampo affected kwa kutosign hio trade deal. Uhuni uliopo ni kuwa ni kama mlikua mnapania kutuhold hostage wakati nyinyi bidhaa zenu zinaenda ulaya tariff-free. Kila nchi ijitaftie deals zake si kuride on others
 
Nchi haiwezi kuwa macho kiuchumi kwa aina ya mawaziri kama akina Makamba na Mwigulu.
 
Hakuna bidhaa mtaingiza kutoka Ulaya harafu zivuke EAC Kwa visingizio vya Common Market,tutazipiga chini..
 
Nyinyi kutokukubali kusign ilikua inatuaffect sisi zaidi kuwashinda kwa kuwa tupo ranked middle class kwahivo hatukuwa na preferential treatment wakati tunaexport bidhaa bara ulaya. Nchi zilizopo LDC kama nyinyi hazilipii tariff wakati zinaexport bidhaa ulaya. Ni uhuni mkubwa kutarajia kenya iendelee kuumia pekee yake wakati nyinyi hampo affected kwa kutosign hio trade deal. Uhuni uliopo ni kuwa ni kama mlikua mnapania kutuhold hostage wakati nyinyi bidhaa zenu zinaenda ulaya tariff-free. Kila nchi ijitaftie deals zake si kuride on others
Wacha kujiliwaza, hivi Sasa uchumi wenu umesambaratika mnajaribu kutapatapa, katika hilo tunawaelewa na tunawasamehe. Ila kumbukukeni kwa kufanya hivyo mnaumiza maelewano ndani ya EAC, kwa maana hiyo bidhaa zote za Kenya kuingia nchi wanachama wa EAC zitapigwa Kodi 100%, msilalamike.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nchi haiwezi kuwa macho kiuchumi kwa aina ya mawaziri kama akina Makamba na Mwigulu.
we kweli akili umeihifadhi kwenye makalio. Kuna waziri kwa sasa anaweza kufikia utenfaji wa hao uliowataja? Makamba ni waziri mbunifu sana na amefanya makubwa sana na bado kulingana na bajeti iliyopitishwa ataifanyia nchi mambo mengi makubwa sana. Wakati wa bajeti yake kila mbunge alikuwa anampongeza. Mwigulu ni size ni Rais wala siyo waziri tena. The guy is more than good. Mwigulu ndiyo anafaa kumridhi Rais wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan mwaka 2030. We na wengine unaofanana nao kinachowasumbua ni wivu, husda, chuki na hofu.
 
Wacha kujiliwaza, hivi Sasa uchumi wenu umesambaratika mnajaribu kutapatapa, katika hilo tunawaelewa na tunawasamehe. Ila kumbukukeni kwa kufanya hivyo mnaumiza maelewano ndani ya EAC, kwa maana hiyo bidhaa zote za Kenya kuingia nchi wanachama wa EAC zitapigwa Kodi 100%, msilalamike.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
kilichosambaratika ni sukuma gang
 
we kweli akili umeihifadhi kwenye makalio. Kuna waziri kwa sasa anaweza kufikia utenfaji wa hao uliowataja? Makamba ni waziri mbunifu sana na amefanya makubwa sana na bado kulingana na bajeti iliyopitishwa ataifanyia nchi mambo mengi makubwa sana. Wakati wa bajeti yake kila mbunge alikuwa anampongeza. Mwigulu ni size ni Rais wala siyo waziri tena. The guy is more than good. Mwigulu ndiyo anafaa kumridhi Rais wa sasa Dr. Samia Suluhu Hassan mwaka 2030. We na wengine unaofanana nao kinachowasumbua ni wivu, husda, chuki na hofu.
Halafu hako katabia kakuj8fanya unamjibia wakati wewe ndiye ukaache.

Kwa hiyo kwa kuwa wewe una uwezo wa kuhifadhi akiki kwenye makalio basi unajua wote wanaweza.
HIcho ni kipaji ulichoumwa nacho, hakuna mtu wa kuweza kukuiga so manta hofu. Umekula lakini, au waona ya moto hivyo wataka nikupuliziee
 
Nyinyi kutokukubali kusign ilikua inatuaffect sisi zaidi kuwashinda kwa kuwa tupo ranked middle class kwahivo hatukuwa na preferential treatment wakati tunaexport bidhaa bara ulaya. Nchi zilizopo LDC kama nyinyi hazilipii tariff wakati zinaexport bidhaa ulaya. Ni uhuni mkubwa kutarajia kenya iendelee kuumia pekee yake wakati nyinyi hampo affected kwa kutosign hio trade deal. Uhuni uliopo ni kuwa ni kama mlikua mnapania kutuhold hostage wakati nyinyi bidhaa zenu zinaenda ulaya tariff-free. Kila nchi ijitaftie deals zake si kuride on others
Lakini EPA ilo skewed in favour of Europe also given their manufacturing prowess and agricultural subsidy which is common among European countries, I dont see Kenya being able to trade with Europe competitively instead they have turned themselves into a dumping ground for European products.
 
Lakini EPA ilo skewed in favour of Europe also given their manufacturing prowess and agricultural subsidy which is common among European countries, I dont see Kenya being able to trade with Europe competitively instead they have turned themselves as a dumping ground for European products.
Kenya hivi Sasa haina "direction", ni Meli ambayo "Engine zake zimezimika", ipoipo bila mwelekeo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Halafu hako katabia kakuj8fanya unamjibia wakati wewe ndiye ukaache.

Kwa hiyo kwa kuwa wewe una uwezo wa kuhifadhi akiki kwenye makalio basi unajua wote wanaweza.
HIcho ni kipaji ulichoumwa nacho, hakuna mtu wa kuweza kukuiga so manta hofu. Umekula lakini, au waona ya moto hivyo wataka nikupuliziee
Hivi haka kajamaa ni mtanzania au mkenya?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Lakini EPA ilo skewed in favour of Europe also given their manufacturing prowess and agricultural subsidy which is common among European countries, I dont see Kenya being able to trade with Europe competitively instead they have turned themselves as a dumping ground for European products.
Tuachane na hao Wakunya maana inaonekana tunapata faidia zaidi ku trade Sadc
 
Back
Top Bottom