GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,034
Ukiona Mtu yoyote anapendwa au anakubalika na GENTAMYCINE jua huyo Mtu ana Akili Kubwa halafu Kabarikiwa na Mwenyezi Mungu na ukiona namchukia Mtu jua ni Mpumbavu na Mwendawazimu mno.
Mapema mwishoni mwa mwaka 2022 na mwanzoni mwa mwaka 2023 Rais wa Rwanda Paul GENTAMYCINE Kagame na Rwanda yake alipokea Shutuma nyingi kuwa Anaishambulia Congo DR na kumtaka aondoe Majeshi yake na pia aache Kuwaunga mkono Waasi wa M23 wenye Asili ya Ututsi na Kuiba Madini ya Congo DR.
Baada ya Shutuma hizo kutoka kwa Wapumbavu ( hasa baadhi Mataifa ya Afrika likiwemo moja lenye Mazuzu wengi linaloomboleza Watu Wawili waliokufa kwa UVIKO-19 ) Rais wa Rwanda Paul GENTAMYCINE Kagame akaona awatolee Uvivu na kuwajibu ifuatayo.
"Nawashangaa sana Wapuuzi wanaosema Mimi na Rwanda tunaishambulia Congo DR. Hivi kuna Taifa lolote la Ukanda huu wa EAC ambalo haliibi Madini ya Congo DR? au Rwanda inaonewa kutokana na Udogo wake? Ukweli ni kwamba Rais wa Congo DR Tshisekedi ni Muongo, Mkorofi, Mnafiki na hataki Amani na ipo Siku nyote mnaonishutumu mtanikumbuka kwani Yeye ndiyo sehemu ya Matatizo kwa Kushirikiana Kwake na Mataifa Makubwa duniani yanayomlinda ili yaibe Mali za Congo DR".... Mwisho wa Kumnukuu.
Hatimaye jana EAC imeamua Kumtolea Uvivu Rais wa Congo DR Tshisekedi na Kumtaka aheshimu Makubaliano ya Mkataba wa Amani ya Congo DR la sivyo itamchukulia hatua.
"Huyu Mtu hatumuelewi na sasa tunaanza Kumchoka. Kwanza alianza Kumlaumu Kagame na tukachunguza na kuona ni Uongo kisha akatugeuka na Sisi EAC kwa kusema hatumsaidii na kututaka tuyaondoe Majeshi yetu. Sasa tumemtaka aheshimu Makubaliano yaliyowekwa vinginevyo kama EAC tutamchukulia hatua na tutamuacha aendelee Kuteseka Mwenyewe kwani ni Kigeugeu mno" amesema Afisa wa EAC huko Mkoani Arusha Wikiendi hii.
Haya GENTAMYCINE nawauliza sasa wale VISOKOLOKWINYO / VIHEREHERE / WA KUWASHWAWASHWA ambao mlikuwa na mnamchukia Rais wa Rwanda Paul GENTAMYCINE Kagame na Wanyarwanda ( hasa wa Kabila la Tutsi ) je, Kauli aliyoisema Rais wa Rwanda na hii iliyosemwa Juzi na Afisa wa EAC juu ya Congo DR, Mzozo wa huko na Rais wao Tshisekedi zina tofauti gani?