Media za Kenya na Uganda zinaelezea Fursa za EAC Pamoja AFCON FINALS 2027 za Tanzania zinahoji kwanini jina la Kenya limetangulia!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,175
Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally.

Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji kwanini katika Uwasilishaji wake Bendera ya Kenya ndiyo vimetangulia na siyo Tanzania?
 
Jina la Kenya limetangulia si kwa bahati mbaya, kuna vigezo vingi vimeipita Uganda na Tanzania, halafu walishawahi kupata nafasi mara mbili kuandaa michuano hiyo japo walinyang'anywa uenyeji kutokana na kutokukidhi viwango vya CAF. Tanzania imewekwa ya tatu, ndio ilivyo. Usishangae fainali zikafanyika kenya
 
Back
Top Bottom