eac

The Eurasian Conformity mark (EAC, Russian: Евразийское соответствие (ЕАС)) is a certification mark to indicate products that conform to all technical regulations of the Eurasian Customs Union. It means that the EAC-marked products meet all requirements of the corresponding technical regulations and have passed all conformity assessment procedures. The mark was introduced in August 2013.

Before this marking came into use, the prevalent product marking was GOST R 50460-92: Mark of conformity for mandatory certification.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania 𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓 The EAC Heads of State are set to convene for the 25th Ordinary Summit of the EAC Heads of

    𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓 The EAC Heads of State are set to convene for the 25th Ordinary Summit of the EAC Heads of State on 7th March 2026, in Arusha, United Republic of Tanzania. Theme: ‘𝑫𝒆𝒆𝒑𝒆𝒏𝒊𝒏𝒈 𝑰𝒏𝒕𝒆𝒈𝒓𝒂𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒓 𝑰𝒎𝒑𝒓𝒐𝒗𝒆𝒅 𝑳𝒊𝒗𝒆𝒍𝒊𝒉𝒐𝒐𝒅𝒔 𝒐𝒇 𝑬𝑨𝑪 𝑪𝒊𝒕𝒊𝒛𝒆𝒏𝒔’. #25thEACSUMMIT...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha. Mkutano huo Maalumu wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC

    Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine, Katibu Mkuu ambaye anamaliza...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa Trump: Iwapo kuna Rais msumbufu EAC Tanzania inaweza kuandaa tukio la kumnyakua na kumleta ajibu mashtaka

    Hili ni somo au mfano mkubwa sana kwa nchi zetu zinazoendelea na zinakabiliwa na vitisho kutoka kwa vibaraka wa mabeberu au wasaliti wa kiuchumi. Kumbe hata Tanzania inaweza kuandaa tukio la kumyakua kibaraka mmojawapo aliye karibu naye na kuja kumfungilia mashtaka nchini. Hakika tunajifunza...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Uganda zaongoza EAC kasi ya Ukuaji Uchumi, Kenya Nchi Pekee Uchumi wa Kati, EAC, Tanzania yarejeshwa Kundi la Nchi Masikini!. WHY?!

    Wanabodi Rwanda na Uganda ndizo nchi mbili pekee kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC katika orodha ya nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huku Tanzania ikisukumwa chini na kutupwa tena kwenye kundi la nchi masikini za kipato cha chini...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Secretary at the EU Delegation to Tanzania and the EAC September 2025

    Job Opportunity: Secretary at the EU Delegation to Tanzania and the EAC About the European Union and the Delegation The European Union (EU) is an economic and political partnership of European countries, playing a significant role in international affairs through diplomacy, trade, development...
  8. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya CHADEMA Kuandika Barua UN, US, EU, AU, EAC ni sawa na kupaka rangi upepo.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mpango wa kuandika barua kwa mashirika ya kimataifa Umoja wa Mataifa (UN), Umoja wa Ulaya (EU), Marekani (US), Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kikilalamikia mifumo ya uchaguzi. Kulingana na Makamu Mwenyekiti wake...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

    GT Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia. === During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania yazuia waangalizi wa Uchaguzi wa EAC na SADC, bali imezipa vibali balozi 12 za nchi za Magharibi Uchaguzi wa Oktoba 29

    Tanzania imewazuia waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (#EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (#SADC), ambazo zote ni jumuiya ambazo nchi hiyo ni mwanachama, kushiriki katika uchaguzi wa Oktoba 29. Badala yake, imezipa vibali balozi 12 za nchi za...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sisi ndio nchi pekee yenye amani EAC " - Kenani Kihongosi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wamiliki na wafanyakazi wa saluni jijini Arusha kufanya kazi kwa bidii, kutunza kipato chao, na kuendelea kuishi kwa mshikamano na amani, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na wamiliki na wafanyakazi hao...
  12. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Waendesha Baiskeli wa Kimataifa EAC, SADC na Marekani washiriki Twende Butiama 2025

    Dar es Salaam, Julai 2, 2025: MSAFARA wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya kihistoria ya zaidi ya kilomita 1,500 kwa muda wa takribani siku 11 kutoka jijini Dar es Salaam...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hii hazi ilitakiwa ifanywe na viongozi wa EAC .nakubariana na Felix chitsekedi ,unafiki wa viongozi ni gonjwa baya

    https://youtu.be/18sRirxJAqo?si=LBEdYlUa0rtZF0dh Tulishindwa kumkemea Kagame aliyevamia DRC kwenda kuiba madini ya Kongo!! Mwafrica haendelei kwa sababu ya unafiki wa viongozi wa africa
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Is Kenya a weakest link to undermine EAC autonomy?

    All EAC Protocols and ministers need to immidiate meet and discuss how easy is the EU or US is able to subbotage EAC cohesion through Kenya. My observation is that ...there are so many activities and organisations working from there which are undermining the true and ultmate EAC intergration
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Nothing allows political activisim in EAC Treaty -EAC TREATY is here for reference!

    The EAC Traeaty has always been clear and Tanzania respects this important document.
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania EAC should add immigration rules in its priorities 2022-2026, any citizens breaking immigration rules should be deported and not arrested and detained

    Recently, there have been incidents where citizens from member countries have been traveling into countries territories to visit or for leisure and staying in hotels. Some citizens have been involved in political exchange activities and also attending court proceedings in member states. The...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuunganishe nguvu EAC tuwaondoe kwa chaguzi Marais wote madikteta

    Tanzania- full dikteta Kenya - full dikteta Uganda - full dikteta Rwanda- full dikteta Burundi- full dikteta Kongo-full dikteta Mozambique-full dikteta Tunazidiwa na nchi Kama Zambia Vijana wa East Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa Sheria Haki Uwajibikaji Uwazi Na kukomesha...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kutambua genge la wahaini wanaofanya kazi across EAC!

    Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Congo DRC imenufaikaje kuwa mwanachama wa EAC?

    Ilikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe hata kabla haijawa mwanachama wa EAC! Na ilipopata uachama, kadhia iliyokuwepo ya ukosefu wa amani iliendelea kuwepo, huku Rwanda ikituhumiwa kuhusika pakubwa kuyumbisha amani kwa ndugu yake, Congo DRC! Ninajaribu kuwaza! 1. Congo ilitarajia kupata nini...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
Back
Top Bottom