duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyie mnaokesha kumpotosha Rais ipo siku mtaondoka Duniani

    Ni kweli mmechota fedha nyingi kupitia udhaifu wake. Ni kweli mmetorosha mali kupitia udhaifu wake. Ni kweli mmeiba kupitia udhaifu wake Ni kweli mmenunua mahekalu nje ya nchi kupitia udhaifu wake Ni kweli mnamtengenezea safari hata zile hazina tija kwa nchi kupitia udhaifu wake. Watanzania...
  2. Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalorushwa na CMG lazidi kujibebea umaarufu duniani

    Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
  3. R

    Mzee Lowassa amesubiri Dr. Nchimbi awe Katibu Mkuu CCM ndipo aondoke duniani akiwa na amani kwamba waliostahili wamestahimilishwa

    Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa...
  4. J

    Kuna Rais anayependwa duniani kama Kim Jong Un? Hata Magufuli hakumfikia

    Kuna Rais anapendwa duniani kuliko huyu? Amepata ushindi wa asilimia 100 kwenye majimbo yote nchini kwake. Hata Magufuli hakufikia kupendwa hivi.
  5. Haya ni baadhi ya mashirika ya kikristo yanayotoa huduma mbali mbali kwa jamii zote duniani

    Kumbuka mashirika ya kikristo yapo kwa ajili ya kuwahudumia watu wote bila kujali Imani zao. na mashirika haya yana ajiri watu bila kuangalia misingi ya Imani yako licha ni mashirika ya kikristo. yapo mashirika ambayo bado yanaendeshwa na kanisa na yapo mengine yanajiendesha yenyewe ila mali...
  6. Ile duniani ya ushindani wa wanasayansi imenda wapi mbona kimya?

    Uvumbuzi siku hizi duniani umekwisha ? Au watu wenye akili nyingi wamepungua ? Ile dunia wakati huo wanasayansi mbalimbali wakipigana vikumbo na mchaka mchaka wa kushindana kubuni formula, vitu na mambo mbalimbali ya kisayansi sasa kimya. Ukisoma historia mchaka mchaka duniani enzi hizo wakina...
  7. C

    Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

    Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
  8. The problem of evil and jealousy solved. ( Suluhisho la kuondoa tatizo la wivu na husda duniani)

    Wakati akina mwenzangu na Mimi bado wapo gizani waki ji stress kutafuta hela za kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za English Mediums ili waje wapate ufaulu mzuri secondary ili wafike Chuo kikuu ili wakimaliza Chuo kikuu wawe marketable kwenye soko la ajira ( a very stupid mission), akina...
  9. Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba moja duniani

    Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani. Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake, akimshinda bilionea wa Ufaransa na Mkurugenzi mtendaji wa LVMH Bernard Arnault. Elon Musk anarejea...
  10. Maswali 5 ya kusisimua zaidi duniani ambayo sayansi haijaweza kujibu

    Ni vitu vichache ambavyo vinasisimua zaidi kuliko kuwa na uelewa wa mambo fiche ya ulimwengu kama ulivyo na umbo lake. Na vitu hivyo sio vya watu werevu tu, bali pia ni vya kila mtu kuviwaza na kuvifikia. Hebu tafakari pale ambapo kwa mara ya kwanza unafaulu kulifumbua fumbo, sana sana kwa...
  11. Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani

    Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni 207.9. List ya mabilionea 10 duniani: 1. Bernard Arnault & family - TZS Trilioni 524.3 2. Elon Musk -...
  12. Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

    Kijana ukiwa mvivu utaanza kuwa na wivu. Yaan ukikuta watu wanaongelea au wanaonesha mafanikio yao wewe utaona kero, na wivu ukizidi sasa huko kwenye ubongo inafanyika reaction moja unaanza kuwa na nyege nyege tu kila muda. Hizo nyege ndo zinakufanya uendelee kujichua kila kukicha. Ukizidisha...
  13. R

    Mume mmoja, wake Saba, umejiandaaje na ujio wa SHERIA hiyo ijayo duniani?

    Salaam, Shalom!!! (Isaya 4:1) NA SIKU HIYO, WANAWAKE SABA WATAMSHIKA MTU MUME MMOJA WAKISEMA, TUTAKULA CHAKULA CHETU, NA KUVAA NGUO ZETU WENYEWE, LAKINI TUITWE TU KWA JINA LAKO, UTUONDOLEE AIBU YETU. Maneno ya unabii huo yanakwenda kutimia, inakwenda kutungwa SHERIA kabisa kuruhusu wanawake...
  14. T

    Mama ni dhahabu yenye thamani kubwa duniani

    Salaama? Leo nilkuwa napitia picha za zamani, nikakutana na picha ambayo ilinifanya nilie kwa furaha, mwanamke shupavu, aliyejaa tabasamu usoni akiwa na beseni lake nyuma akiwa amebeba mtoto aliyefungwa na kanga. Hakika nimekumbuka mbali sana. Mimi kipindi nakua mzee wangu alikuwa mlevi sana...
  15. L

    Ziara ya Bw. Wang Yi barani Afrika na Latin Amerika yaonesha kuwa China inaendelea kupanua ushirikiano wa kunufaishana duniani

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo mitatu kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika. Lakini safari hii...
  16. D

    Huyu ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea Duniani (GOAT)

    Zaki Khellaf huyu ni mmoja wa wasakata kandanda 'mahiri' zaidi kuwahi kutokea duniani. Ni mraibu wa soka anayetokea nchi ya Algeria anayefahamika kwa jina la Chouchaa(Shusha) maarufu duniani kote. Choucha ni mchezaji wa 'ajabu' ambaye aliweza kutambulika kwenye mitandao kutokana na mapenzi yake...
  17. Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja. Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya...
  18. Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

    Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu. Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali. Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
  19. L

    Diplomasia ya China kwa mwaka 2024 itaendelea kuwa ya kuhimiza amani duniani na kuleta mambo ya kisasa

    Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua changamoto mbalimbali duniani. Sera hii imekuwa endelevu, na msingi wake umekuwa imara, lakini huwa...
  20. Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…